Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kile kikosi kazi cha demokrasia ni tofauti kabisa na ile Tume ya Warioba ya akina Polepole. Zitto Kabwe na Mkandala hawawezi kushughulikia katiba mpya bali watakuwa wanapiga danadana na vikao...
40 Reactions
127 Replies
11K Views
Kwa kweli hiki chama kimekaa kama cha kichawi kila kinapokwenda maelfu ya watu wanakiunga mkono na sasa kipo mbali sana ,inakuwa ni ile hadithi ya mpiga filimbi, kwa kweli sasa ACT Wazalendo ni...
1 Reactions
49 Replies
4K Views
Kwa maoni yangu Tanzania ya leo inapaswa kuondoka katika fikra za kushabikia ujenzi wa madarasa, vituo vya afya na barabara na badala yake tuwekeze kwenye tafiti na interventions za kistratejia...
2 Reactions
8 Replies
836 Views
“Rais Samia Suluhu Hassan, umesahau watanzania wanaitaka katiba mpya au ni hofu tu?” Katika nchi yoyote, msingi wa uendeshaji wa nchi unategemea Katiba. Katiba ni sheria kuu/sheria mama katika...
12 Reactions
31 Replies
3K Views
Najaribu kufikiri kwa kina ! Inavyoonekana Rais Wetu Mhe. Samia Suluhu Hassani anatuelekeza kuwa na umoja wa kitaifa kwa ajili ya kuendeleza Taifa. Amegusa maeneo yote muhimu yalioonekana ni...
0 Reactions
4 Replies
652 Views
Yule mchungaji maarufu pale mitaa ya river side, Mzee wa upako. Askofu Antony Lusekelo ametoa yake ya moyoni juu ya hali ya ccm. Nimewawekea video clip yake muisikilize na kama mtaamua kuchukua...
18 Reactions
54 Replies
6K Views
Ukiwa waziri kiongozi wa Zanzibar si unalipwa hadi kufa? Sasa ubunge wa Viti Maalum wa nini tena?
8 Reactions
80 Replies
8K Views
Katibu mkuu Wizara ya maji Anthony Sanga imezitaka Mamlaka za maji nchini kuhakikisha ifikapo 2025 lazima huduma ya maji iwe imefika mijini kwa asilimia 95 na vijijini kwa asilimia 85 kutokana na...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Kwa sababu za kijografia , Wilaya hii imekuwa na changamoto ya kufikika kwa urahisi na hivyo kwa miaka mingi wakazi wake wamekuwa wakitumia huduma ya kivuko cha ferry au kutumia njia ya Barabara...
2 Reactions
10 Replies
5K Views
VETA, NACTE na TCU ni vyombo ndani ya wizara hii. Kulikuwa na malalamiko na matukio ya wanafunzi kunyanyaswa kingono. UDOM na Uhasibu Arusha vimekuwa ni mfano wa wazi. Hata hivyo hatujasikia...
3 Reactions
31 Replies
3K Views
Mhe Rais wavumilie wenye Dola, wakumbushe umuhimu wa wao wenyewe kuwa na wivu dhidi ya vyombo vyao, usiendelee kuwateua, waelekeze wazifanyie mabadiliko sheria zao, waunde waweze kujisimamia...
25 Reactions
26 Replies
3K Views
Kwa nini mjadala wa Katiba ni muhimu?Sababu ni kuwa. 1.Hii ya 1977 iliandikwa ili kuuimarisha mfumo wa siasa za Chama kimoja na ililenga kukifanya chama cha Siasa kuwa juu ya hata Mihimili ya...
4 Reactions
15 Replies
1K Views
Corona, Covid 19? Imeisha? Imeishaje ishaje? Mbowe si alikuwa mpaka anavaa gloves zile za waendeshea pikipiki? It was stupid. Nliwahi sema aachane na hayo mambo ya kijinga mkanitukana sana. Mimi...
18 Reactions
50 Replies
4K Views
Omar Ramadhani Mapuri ni mwanasiasa ambaye alikuwa ni balozi wa Tanzania nchini China kabla ya balozi wa sasa Philip Marmo. Napenda kujua yuko wapi hivi sasa mwanasiasa huyu?
0 Reactions
21 Replies
8K Views
Katika nchi ya Pueto rico Rais analalamika akilisema jeshi la Police halifanyi kazi vizuri anajibiwa na IGP / Mkuu wa Jeshi la Police wa Pueto rico. Naomba kunukuu maneno ya Rais wa Pueto rico '...
25 Reactions
79 Replies
7K Views
Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe amezungumza na waandishi wa habari leo Alhamisi Machi 24, 2022: “Tutashirikiana na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) katika uzalishaji wa mbegu za mazao mbalimbali, ili...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ni ushauri tu. Kwa muda mrefu chama kilikuwa busy na kesi ya mwenyekiti kwahiyo hakikuweza kufanya siasa ipasavyo. Nadhani badala ya kila wanapopata fursa ya kuongea na Media basi Mwenyekiti...
6 Reactions
36 Replies
2K Views
Amani iwe nanyi wanabodi Leo nimeona nishare na nyie tofauti ndogo niliyoiona kati ya JPM na Samia Hadi sasa 1. Samia anafanya kazi kubwa sana ila haja invest kwenye mapambio ya kusifu na...
15 Reactions
94 Replies
8K Views
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Nnauye (Mb) akiwasilisha taarifa ya utekelezaji ya Wizara hiyo ya mwaka wa fedha 2021/2022 na bajeti ya mwaka wa fedha 2022/2023...
0 Reactions
1 Replies
644 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…