Nimeisikiliza hotuba ya Dk Slaa kuhusu Legacy ya Magufuli, sikatai kuwa Magufuli ana mambo mazuri na ana legacy yake inayopaswa kuenziwa, lakini alikuwa na mapungufu mengi ambayo hata wana CCM...
Taasisi ya Umoja wa Mataifa imeipatia Tanzania msaada wa jumla ya dola za Marekani bilioni 1.85 ambazo ni takribani shilingi trilioni 4.3, kwa ajili ya kutekeleza afua mbalimbali katika maeneo...
Habarini wakuu,
Leo nimeona nilete huu uzi wa kufanya kumbukizi ya mzee wetu shujaa aliyefanya siasa za upinzani na zenye heshima katika taifa letu.
Kwa kifupi Dr. Slaa atakumbukwa kwa mengi na...
Kwanza hakuna mtu anayeweza kumvua uanachama wa CHADEMA Mdee kwa sababu ana mizizi ndani ya chama kama alivyo Freeman Mbowe, Lucy Owenya na Grace Kihwelu.
Pili, Mnyika anajaribu kufahamu...
WANAVYUO MWANZA WATOA KONGOLE KWA RAIS SAMIA
Leo Jumamosi 26 Machi, 2022 Wanafunzi wa Vyuo na Vyuo Vikuu Mkoa Mwanza wamempongeza Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutimiza Mwaka Mmoja...
DPP na DCI wameweka mapingamizi manne katika maombi yaliyofunguliwa na Saed Kubenea, kupata kibali cha kumfungulia kesi ya matumizi mabaya ya madaraka, aliyekuwa RC wa Dar es Salaam, Paul Makonda...
Baadhi ya Viongozi wa Kijiji cha Kisimiri Juu Wilayani Arumeru Mkoani Arusha, wametishia kujihudhulu nyadhifa zao za uongozi endapo Mamlaka za juu za Serikali, zitashindwa kuingilia kati mgogoro...
Wenye uelewa na hili jambo la gesi yetu huko kusini kuuzwa kwa mabeberu au wachina wanieleshwe.
1.Kuuzwa huko kwa hiyo gesi kunamaanisha kwamba hiyo gesi si mali yetu tena na sisi tumebaki kama...
Hii ndio taarifa tunayoisambaza kwenu kwa sasa , kama wewe ni mkazi wa Mbagala bado hujachelewa unaweza kufika Hapo Mgeni Nani , mambo yote yapo kwenye Ukumbi unaoitwa MTI WA NJIANI .
Wote...
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imetiliana saini na Umoja wa Ulaya (EU) msaada wa mikataba ya miradi sita yenye gharama ya bilioni 307.9 itakayofadhiliwa kupitia mpango wa ushirikiano...
CCM imeliongoza taifa hili kwa zaidi ya miaka 60 kuanzia enzi za Tanu na ASP hadi sasa.
Ni ujinga kusema mtu anatoka upinzani kuja kuunga juhudi CCM kwa sababu CCM imekuwepo miaka nenda rudi na...
Wanajanvi,
Kwa waliomsikiliza mzee padre wilbroad sla leo watakubaliana nami kwamba mzee ni muongo kwelikweli.
Anasema na kutoa maoni yake mengi ya kumsifia Magufuli.
Alisema alikuwa mwana...
Je,Tanzania ingekuwa wapi kama ingepata kiongozi mzalendo?
1: Uchumi wa Tanzania ungekuwa wa kati daraja la juu tofauti na hali ilivyo sasa ambapo Tanzania imeporomoka kutoka nafasi yake ya 8...
Tangu atolewe gerezani mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe amekuwa akikutana na watu maarufu mbalimbali kwa nyakati tofauti tofauti.
Wengi wataamini kuwa wanaenda kumpa pole kwa madhila...
......
Katibu wa Halmashauri kuu ya CCM Taifa Nec Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka amevitikisa vyama vya Upizani vya ACT- Wazalendo na CUF katika Jimbo la Tumbe kijiji cha Chimba, Wilaya ya...
Chama kimeshatekwa na wahuni hakuna atakae kikomboa tena kwa sasa kwani wale wazee waliokuwa na nguvu hizo wamejichokea kwa sasa na wengine tayari wameenda zao.
Wahuni wakiongozwa na boys 2 men...
Habari jukwaani,
Tutaenda kwa codes ili tusiharibu thread,
Kulikuwa na viranja fulani Wa shule mbili tofauti,kiranja shule x na yule shule y.
Ilitokea kiranja shule y alikuwa na mgogoro na...
Wakuu msichoke , sisi kazi yetu ni kuwaletea tu habari zilizopo , Huyu Mbowe aliwekwa gerezani miezi 8 , sasa kwa vile alikuwa jela na sasa ametoka , wadau wengi wa haki wanakwenda kwake...
Prisca Ulomi na Faraja Mpina, WHMHT, Dodoma
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Nnauye amewataka wafanyakazi wa Wizara anayoiongoza kutambua kuwa wao ni sehemu ya...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amesema baada ya Rais kuunda kikosi kazi cha kuratibu maridhiano na tumehuru ya uchaguzi, sasa ni wazi Kiongozi wa ACT Wazalendo yuko upande gani...