Haki huwinua Taifa. Sasa ndugu zangu natabiri natabiri yatakayotokea siku za usoni.
Kutakuwa na ishara ya mtikisiko kutoka kati kati ya Taifa. Mtikisiko huu utasumbua wenye mamlaka. Inashauriwa...
Mpaka sasa Rais wetu ndiye aliyetukanwa sana kuliko wotewaliomtangulia.
Haya ni baadhi ya majina na hulka alizopewa kama Rais mpaka sasa.
Bulldozer
Dikteta
Dikteta uchwara
Pogba
Dinasour
Rogue...
Waziri mkuu wa Uingereza anatarajiwa kutembelea nchi za Chini ya jangwa la Sahara.
Ni muda mrefu umepita toka waziri mkuu wa Uingereza kufanya ziara barani Afrika haswa haswa nchi za chini ya...
Kumekuwa na mazowea kwa baadhi ya viongozi wakitumia andiko la Waraka wa Mtume Paulo kwa warumi, kama njia ya kuwafanya watu wasiikosoe serikali wala wasiipinge hata pale inapokosea.
Watu hao...
Hizi ni baadhi tu ya sifa alizokuwa akipewa Dikteta Adolf Hitler na yafuatayo ni baadhi ya maneno yaliyokuwa kwenye kitabu maalum kilichoandaliwa na waliojulikana kama vijana kutoka chama chake...
Niwakumbushe wale wote waliohusika kukata mkia wa Bernad Membe na Abdalahmani Kinana.Inaoneka mikia imeshaanaza kuota upya.Itakumbukwa kwamba Ndugu Membe aliwahi kukili kuwa AMEKATWA MKIA
Sasa...
Vyama vya upinzani vilivyopo ni maswahiba wa CCM na hawana nia thabiti ya kuiondoa CCM madarakani.
Wananchi wameichoka CCM na wanataka mabadiliko.
CCM ilishawadharau wananchi na kuwaona wajinga...
Habari wakuu
Nimekuja kugundua sisi maskini ule msoto tunaopitia utotoni, kuchunga mbuzi, ng'ombe ,kulima jembe la mkono na kushindia mlo mmoja ,viazi na maboga shambani na maji ya bondeni...
Nimesikiliza press conference ya Chadema, Mh. Freeman Mbowe akiongea kuhusu 'vituko' wanavyoshuhudia mahakamani. Moja kati ya mbinu za madikteta wa Afrika ni kutumia vyombo vya dola na vile vya...
Tukio kama lililotokea kwa Mdude Nyangali kwa mara ya pili huko Mbozi sio geni kwa awamu hii maana watu wengi walitekwa na kurudishwa wengine kupotea kabisa.
Hiyo style ilitumika sana na kikosi...
Ukifuatilia matamshi na matendo yake, ni dhahiri Kabudi ndiyo Goebbels wa leo.
Wakati Adolf Hitler akiwa kwenye kilele chake, alikuwa na mpiga propaganda huyo- Goebbels.
Kabudi anataka kumpiku...
Waziri wa fedha Dr Mpango amesema Serikali imefanikiwa kukusanya trilion 7.37 ndani ya miezi mitano tu.! Na amebainisha kuwa kwa sasa Tanzania inaongoza kwa kasi ya ukuaji wa uchumi kwa nchi zote...
Na Claudio Kisake
Mbabe huyu wa Kiingereza wa vita ya pili ya dunia, baada ya kutendwa vibaya na vikosi vya Mbabe mwingine wa ki-Nazi Adolf Hitler hakukata tamaa na alijipa matumaini sana na...
Kaanza mapema mno na hakika anaogopa upepo unaomtikisa!,Tena zaidi anaogopa upepo wakaka yake maana inaonekana upepo wa kaka ni mkali zaidi unampa shida,madira yake yanapeperuka huku na kule...
CCM mpya ya awamu ya tano haikuishia kuongoza kwenye kuwaletea maendeleo watanzania tu mbali iliongoza pia kwenye kutoa misamaha ya dhati kwa wanachama wake waliofanya makosa mbalimbali kwenye...
Hakuna asiyejua umuhimu wa katiba mpya katika zama zozote.
Katiba mpya ni mustakabala ulio bora zaidi katika nchi katika wakati husika. Nani anaweza kupinga uwapo wake?
Mustakabala huo hauwezi...
“Kitu kikubwa tulichojadiliana ni kuwa, Tanzania ni yetu sote na tunapaswa kufanya kazi pamoja, kuijenga, lakini hili linawezekana tu iwapo tutajenga uaminifu na kudai HAKI, pamoja na...
Mgombea Urais wa CUF, Prof Lipumba amemshukia vikali Tundu Lissu kwa kumuita mnafiki asiyejua chochote kuhusu Sera, Amani, Maendeleo na Demokrasia ya Nchi yetu.
Prof. Lipumba amehoji sababu za...
Malipo ni hapa hapa duniani.
Mdude amekuwa bingwa wa kutoona juhudi za rais Magufuli katika kuwaletea maendeleo watanzania ikiwemo kuwajengea hospitali na zahanati kila mahali. Mdude amekuwa...