Andiko la kutii mamlaka. Je, watu watii mamlaka?

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2015
Posts
14,242
Reaction score
34,917
Kumekuwa na mazowea kwa baadhi ya viongozi wakitumia andiko la Waraka wa Mtume Paulo kwa warumi, kama njia ya kuwafanya watu wasiikosoe serikali wala wasiipinge hata pale inapokosea.
Watu hao hutumia andiko ilo la Paulo hukunukuu baadhi ya maandishi yake yaliopo kwenye kitabu cha Warumi(waroma ;13:1-6) kwa ufupi kitabu hicho kinaeleza kuwa

Kila mtu na aitii mamlaka iliyo kuu; kwa maana hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu; na ile iliyopo imeamriwa na Mungu.

Kitabu kinasistiza zaidi kuwa,Hivyo amwasiye mwenye mamlaka hushindana na agizo la Mungu; nao washindanao watajipatia hukumu.(mwisho wa kunukuu).

Lakini ni kweli kila mamlaka hutoka kwa Mungu?, maana kama kila mamlaka hutoka kwa Mungu na hivyo hatupaswi kuipinga mamlaka yoyote basi bila shaka kwa andiko hili wakina Nyerere, King Sobhuza wa Swaziland, King Mashoeshoe wa Lethoto na akina Ahmed Sekoutoure walifanya makosa makubwa kuutoa ukoloni.

Maana ukoloni nao ulikuwa ni utawala(mamlaka) hivyo kwa andiko hili bila shaka wapigania Uhuru walifanya kosa kuupinga.

Ni kweli kwamba kuna baadhi ya mambo watawala humwakilisha Mungu matharani tawala nyingi upinga ubakaji, matendo ya wizi(ufisadi na rushwa), uzinzi, uonevu, uuaji n.k lakini inakuwaje pale serikali inapogeuka na kuanza kutenda mambo hayohayo?

Tunajua fika kwamba Idd Amin alikuwa Muuaji na mtesaji ina maana kwa andiko hilo ilibidi watu wa Uganda wamvumilie Idd Amin?

Na kama kila mamlaka hutoka kwa bwana ina maana tuamini kuwa ule uvamizi wa Idd Amini kule Kagera ulikuwa na baraka kutoka kwa Mungu?

Mauaji ya waisrael 6mil yaliyotendwa na utawala wa serikali ya Hitler uko Ujerumani kwa andiko hili inamaana yale mauaji yalipewa baraka na Mungu kiasi kwamba ilibidi watu na jumuhia za kimataifa zimkalie kimya bila kumpinga wala kumkosoa (bila shaka sivyo)

Kumbe kuna siri gani juu ya hili andiko ? Mtume Petro anatujibu juu ya andiko hilo la Paulo , jibu hili na liwe dira hasa kwa wale watu wenyetabia za kukalili vifungu kama njia ya kuwatendea wengine uovu.

2 Petro 3:15-16 anasema;
Nanyi uhesabuni uvumilivu wa Bwana wetu kuwa ni wokovu, kama vile na ndugu yetu mpenzi Paulo alivyowaandikia kwa hekima aliyopewa;

16 vile vile kama katika nyaraka zake zote pia, akitoa humo habari za mambo hayo; katika nyaraka hizo yamo mambo ambayo ni vigumu kuelewa; na mambo hayo watu wasio na elimu, wasio imara, huyapotoa(huyapotosha), kama vile wayapotoavyo maandiko mengine, kwa uvunjifu wao wenyewe.

Hapa mtume Paulo anatueleza kuwa watu wasio na elimu( juu ya mambo ya kiroho) wasio imara( katika imani) huyapotosha maandiko hayo kwa makosa yao wenyewe( mtu anafanya kosa ananukuu andiko ili kuhalisha kosa kumbe ilo andiko msingi wake huitaji imani kuliewa na siyo kulisomasoma tu kama wafanyavyo viongozi.
 
Je hayo yote ukiyoyaandika ynafanyika tz, nakama yanafanyika unamjua nani anayafanya alafu bado huyo ana3fanya hivyo anakwambia utii mamlaka?
Kiufupi unapoambiwa tii mamlaka maana ake tii sheria bila shuruti.
 
Ni kweli kwamba kuna baadhi ya mambo watawala humwakilisha Mungu matharani tawala nyingi upinga ubakaji, matendo ya wizi(ufisadi na rushwa), uzinzi, uonevu, uuaji n.k lakini inakuwaje pale serikali inapogeuka na kuanza kutenda mambo hayohayo?.
Tunajua fika kwamba Idd Amin alikuwa Muuaji na mtesaji ina maana kwa andiko hilo ilibidi watu wa Uganda wamvumilie Idd Amin?.
Na kama kila mamlaka hutoka kwa bwana ina maana tuamini kuwa ule uvamizi wa Idd Amini kule Kagera ulikuwa na baraka kutoka kwa Mungu?.
Mauaji ya waisrael 6mil yaliyotendwa na utawala wa serikali ya Hitler uko Ujerumani kwa andiko hili inamaana yale mauaji yalipewa baraka na Mungu kiasi kwamba ilibidi watu na jumuhia za kimataifa zimkalie kimya bila kumpinga wala kumkosoa (bila shaka sivyo).
Kumbe kuna siri gani juu ya hili andiko ? Mtume Petro anatujibu juu ya andiko hilo la Paulo , jibu hili na liwe dira hasa kwa wale watu wenyetabia za kukalili vifungu kama njia ya kuwatendea wengine uovu.
2 Petro 3:15-16 anasema;
Nanyi uhesabuni uvumilivu wa Bwana wetu kuwa ni wokovu, kama vile na ndugu yetu mpenzi Paulo alivyowaandikia kwa hekima aliyopewa;
16 vile vile kama katika nyaraka zake zote pia, akitoa humo habari za mambo hayo; katika nyaraka hizo yamo mambo ambayo ni vigumu kuelewa; na mambo hayo watu wasio na elimu, wasio imara, huyapotoa(huyapotosha), kama vile wayapotoavyo maandiko mengine, kwa uvunjifu wao wenyewe.
Hapa mtume Paulo anatueleza kuwa watu wasio na elimu( juu ya mambo ya kiroho) wasio imara( katika imani) huyapotosha maandiko hayo kwa makosa yao wenyewe( mtu anafanya kosa ananukuu andiko ili kuhalisha kosa kumbe ilo andiko msingi wake huitaji imani kuliewa na siyo kulisomasoma tu kama wafanyavyo viongozi.

Umeanza kuijibu mada mwenyewe hata umeivuruga.
 
Je hayo yote ukiyoyaandika ynafanyika tz, nakama yanafanyika unamjua nani anayafanya alafu bado huyo ana3fanya hivyo anakwambia utii mamlaka?
Kiufupi unapoambiwa tii mamlaka maana ake tii sheria bila shuruti.
Hujui ulipo, rudi kaso.e alichoandika.
Tii sheria ya kuuwawa kwasababu tu wewe ni myahudi? Sheria gani hiyo,

Tii agizo ka kutofanya siasa kinyume na sheria ambayo mamlaka i anakiwa kuifuata?
 
Safi sana. Umewaweza wale mburukenge wa kijani.
 
Hatuitaji shahada ya uzamivu kutambua kwamba sio kila mamlaka ina baraka za Mungu hata kidogo, Wanasiasa huitumia kauli hiyo pale tu inapoweza kukidhi na kuneemesha ubaradhuli na ufisadi wao na wakishamaliza kutamka hivyo udhaifu wa kibinadamu na dhambi ya asili hujibainisha kwa wao kujivuruga kwenye maovu dhidi ya binadamu wenzao yasiyokuwa na mfano! Agizo hilo lilitolewa katika muktadha tofauti na kwa malengo tofauti na wala sio kwa ajili yetu sisi Bin-Adamu vichaa, wakatili, majitu ya kujikweza, wahuni, wabadhirifu, wachoyo, wabinafsi, walaghai, wazinifu nk nk!
 
Usijitaabishe kwa kulazimisha dunia kuwa paradiso_Hutaweza

Na pindi utakapotambua haikuumbwa kuwa eneo la kuvinjari ndipo utakua Huru

Watoto wachanga Umilele umeumbwa kwenye nyoyo ya mwanadamu, Hakuna mwisho wa kuridhisha mwanadamu.

Hivyo usitatarajie binadamu kukupa mapumziko

Mpaka atakapo jiwekea mipaka mwenye, ndipo mwisho wa riadha huisha.

Inachukiza kufikiri hivi ila ndio ukweli.
 
Kumekuwa na mazowea kwa baadhi ya viongozi wakitumia andiko la Waraka wa Mtume Paulo kwa warumi, kama njia ya kuwafanya watu wasiikosoe serikali wala wasiipinge hata pale inapokosea.
Watu hao hutumia andiko ilo la Paulo hukunukuu baadhi ya maandishi yake yaliopo kwenye kitabu cha Warumi(waroma ;13:1-6) kwa ufupi kitabu hicho kinaeleza kuwa

Kila mtu na aitii mamlaka iliyo kuu; kwa maana hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu; na ile iliyopo imeamriwa na Mungu.

Kitabu kinasistiza zaidi kuwa,Hivyo amwasiye mwenye mamlaka hushindana na agizo la Mungu; nao washindanao watajipatia hukumu.(mwisho wa kunukuu).

Lakini ni kweli kila mamlaka hutoka kwa Mungu?, maana kama kila mamlaka hutoka kwa Mungu na hivyo hatupaswi kuipinga mamlaka yoyote basi bila shaka kwa andiko hili wakina Nyerere, King Sobhuza wa Swaziland, King Mashoeshoe wa Lethoto na akina Ahmed Sekoutoure walifanya makosa makubwa kuutoa ukoloni.

Maana ukoloni nao ulikuwa ni utawala(mamlaka) hivyo kwa andiko hili bila shaka wapigania Uhuru walifanya kosa kuupinga.

Ni kweli kwamba kuna baadhi ya mambo watawala humwakilisha Mungu matharani tawala nyingi upinga ubakaji, matendo ya wizi(ufisadi na rushwa), uzinzi, uonevu, uuaji n.k lakini inakuwaje pale serikali inapogeuka na kuanza kutenda mambo hayohayo?

Tunajua fika kwamba Idd Amin alikuwa Muuaji na mtesaji ina maana kwa andiko hilo ilibidi watu wa Uganda wamvumilie Idd Amin?

Na kama kila mamlaka hutoka kwa bwana ina maana tuamini kuwa ule uvamizi wa Idd Amini kule Kagera ulikuwa na baraka kutoka kwa Mungu?

Mauaji ya waisrael 6mil yaliyotendwa na utawala wa serikali ya Hitler uko Ujerumani kwa andiko hili inamaana yale mauaji yalipewa baraka na Mungu kiasi kwamba ilibidi watu na jumuhia za kimataifa zimkalie kimya bila kumpinga wala kumkosoa (bila shaka sivyo)

Kumbe kuna siri gani juu ya hili andiko ? Mtume Petro anatujibu juu ya andiko hilo la Paulo , jibu hili na liwe dira hasa kwa wale watu wenyetabia za kukalili vifungu kama njia ya kuwatendea wengine uovu.

2 Petro 3:15-16 anasema;
Nanyi uhesabuni uvumilivu wa Bwana wetu kuwa ni wokovu, kama vile na ndugu yetu mpenzi Paulo alivyowaandikia kwa hekima aliyopewa;

16 vile vile kama katika nyaraka zake zote pia, akitoa humo habari za mambo hayo; katika nyaraka hizo yamo mambo ambayo ni vigumu kuelewa; na mambo hayo watu wasio na elimu, wasio imara, huyapotoa(huyapotosha), kama vile wayapotoavyo maandiko mengine, kwa uvunjifu wao wenyewe.

Hapa mtume Paulo anatueleza kuwa watu wasio na elimu( juu ya mambo ya kiroho) wasio imara( katika imani) huyapotosha maandiko hayo kwa makosa yao wenyewe( mtu anafanya kosa ananukuu andiko ili kuhalisha kosa kumbe ilo andiko msingi wake huitaji imani kuliewa na siyo kulisomasoma tu kama wafanyavyo viongozi.
Kwanza serikali karibia zote ni za mpinga Kristo. Mtawala au serikali yoyote ambayo haijapatikana kwa utaratibu unaompa Mungu wa mbingu na nchi utukufu haitokani na Mungu.
Kutoka 18:21 Zaidi ya hayo utajipatia katika watu hawa watu walio na uwezo, wenye kumcha Mungu, watu wa kweli, wenye kuchukia mapato ya udhalimu; ukawaweka juu yao, wawe wakuu wa maelfu, na wakuu wa mia, na wakuu wa hamsini, na wakuu wa nakumi. Mungu anampa Musa sifa za viongozi anatakiwa kuwaweka kwenye taifa. Sasa wengine wasio na sifa njema hawapaswi kuwaheshimiwa maana ni wadhalimu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom