Nauona ushujaa wa nguli Winston Churchill katika Dkt. John Pombe Magufuli

MKINGUZI

Member
Apr 17, 2015
40
85
Na Claudio Kisake

Mbabe huyu wa Kiingereza wa vita ya pili ya dunia, baada ya kutendwa vibaya na vikosi vya Mbabe mwingine wa ki-Nazi Adolf Hitler hakukata tamaa na alijipa matumaini sana na kuwapa motisha vijana kwamba waendelee na mapambano. Kuna kipindi aliwaambia "this was their finest" akimaanisha walivyoshambuliwa ndio ulikuwa uwezo wao wa mwisho kumbe wao watajibu mapigo Mara mia na watashinda. Kumbe kuna "pini" nyingine ya kitasha lakini tutataitafsiri kwa kiingereza chetu cha kuunga unga kama ifuatavyo.

"We shall go on to the end, we shall fight in France, we shall fight on the seas and oceans, we shall fight with growing confidence and growing strength in the air, we shall defend our island, whatever the cost may be, we shall fight on the beaches, we shall fight on the landing grounds, we shall fight in the fields and in the streets, we shall fight in the hills; we shall never surrender"

"Tutaendelea hadi mwisho, tutapigana huko Ufaransa, tutapigana baharini na hadi kwenye kingo sake, tutapigana kwa ujasiri unaoongezeka na nguvu zinazoongezeka angani, tutalinda kisiwa chetu, kwa gharama yoyote ile, tutapigana kwenye fukwe, tutapigana ardhini tutapigana mashambani na barabarani, tutapigana milimani; hatutajisalimisha kamwe. ”

INAHUSIANA NINI NA USHUJAA WA MAGUFULI?
Kumekuwapo na sokomoko na songombingo za hapa na pale kwamba serikali ya CCM ndiyo imetufanya tuwe maskini hadi Leo. Jibu LA haraka haraka sisi siyo maskini ndio mana tupo kwenye uchumi wa kati. Na nikikuuliza kwamba nchi zilizo maskini kama msumbiji, Zimbabwe ya sasa, Burundi na nyinginezo ni kwasababu ya CCM? Siyo kweli. Hii ni matumizi mabaya ya taa ya ubongo.

Ni kweli katika porojo nyingine za Ufisadi na wizi, umetokea katika vipindi vilivyopita. Hapa hoja yangu ni kwamba Rais Magufuli ameona hill tatizo na akatangaza " HATUTAJISALIMISHA KWA WAPINZANI" Bali tukiwa humu humu CCM na kwa nguvu zaidi, tutashambulia Ufisadi (Tukujue au tusikujue), tutashambulia wizi ( viongozi na wasio viongozi), tutashambulia watumishi hewa, maofisini, maviwandani, baharini, angani au ardhini bila kumuonea mtu haya. Lakini tutashambulia ubaguzi na kulinda rasilimali zetu za nchi kwa gharama yoyote ile. Tutashambulia upotevu wa miradi hewa na kuvumbua miradi yetu inayolenga kuwasaidia Watanzania wote bila kuogopa miruzi mingi ya "mbwa". Sanjari na hivyo Huduma za jamii zitasogezwa kwa wananchi wote bila upendeleo. Kwa hali ya kawaida, Rais Magufuli angekuwa alimezwa na mfumo, pasi na shaka angefumbia macho suala la Ufisadi, Wabadhirifu, Wizi wa madini, suala la kulipa watumishi hewa, na safari za nje zisizo na ulazima. Shida inaanzia alipojitoa kwenye mfumo na kuanza kusimamia ukweli na kuwasomesha number watafuna nchi. Na ni kweli namba wanazisoma.

KATIKA KAMPENI USHUJAA WAKE UNADHIHIRIKA KWA NAMNA GANI?
Anatambua hitaji kuu la waTanzania ni maendeleo binafsi na ya miundombinu. Hatuwezi kuwa na Tanzania ya viwanda kama umeme ni wa " kuungaunga". Bwawa la Nyerere ni suluhisho huku tukiendelea na vyanzo vingine. Pamoja na umeme kufika karibia vijiji vyote maana vilivyobaki ni vijiji takribani 2200, kwa Iringa kwa kadri ya hotuba yake leo vimebaki vijiji 38 tu. Ni maendeleo makubwa. Miradi huo wa umeme utakapoisha kama aalivyoahidi anasema atashusha bei ya unit za umeme(Maendeleo makubwa sana). Na hivyo vijiji 38 especially kwa Iringa ndani ya mwakaa mmoja atakamilisha. Ndugu zangu hatuoni faida hapo ya kinachoonekana kulikoni faida za ndotoni kama zinavyonadiwa na wengine wasio na uthubutu?

*Utalii* Hapa sasa kuna upanuzi wa viwanja vya ndege takribani 16. Hii sekta ikitunzwa vizuri kwa kadri ya ilani na maapio ya Rais ni kwamba watalii wataongezeka kutokana na ufikivu. Mm nikienda kutalii Ngorongoro au Manyara au Ruaha national park au Bugiri, nafika mapema na kurudi mapema kuendelea na Mishe mishe zangu.Katika sekta zinakuza pato la Taifa ni utalii. Kwanini tusimuunge mkono Rais wetu ili pia kutokana na faida ya kijiografia tuliyonayo sisi Watanzania itupaishe?

*Ujenzi* Hizo Barabara za km 6000 zinazotarajiwa kujengwa kwa awamu ijayo kama hazitanifaidisha Mimi basi zitawafaidisha wanangu au wajukuu wangu. Na Miradi hii kwa kadri mambo yanavyoeenda vizuri Rais anasema hatutakopa. Mazingira mazuri ya nishati yatapelekea uzalishaji uliotukuka na hivyo wafanya biashara na wamaliki wa makampuni watalipa kodi kwa ufasaha na wakati. Pato la taifa litaongezeka. Lakini kwa vilivyojengwa hadi sasa ni ujasiri mkubwa.

*Afya* Hapa sasa; ujenzi wa majengo ya hospitali kama yalivyojengwa kwa wingi na yatakavyojengwa kwa wingi yatapelekea uwepo wa Bila kwa kila mwananchi. Ukifikiria hili bila vionjo ni kwamba Bima kwa kila mwananchi itawezekana kwakuwa tuna miundombinu ya kutosha sisi wenyewe na wahudumu. Ingekuwa ni kutwanga maji kwenye kinu kama Bima IPO lakini huduma haipo. Tutegemee makuu kwa serikali hii ya awamu ya tano muhula wa pili.

*Nafuu ya maisha* Siku zote ukiamua kujitoa mhanga kuwekeza kwa kipindi cha awali utegemee kuvuja jasho yaani "Crisis" halafu hapo baadae ulie kivulini yaani "Boom". Baada ya miradi mikubwa hii kukamilika tutegemee kulia kivulini huku tukiindeleza miradi mingine kwa kujinafasi bila kuteseka kama mwanzo. Uvumilivu watakiwa ila taa ya Kijana inaonekana. Nisiwe muongo, endapo tutaleta/kuchagua upinzani kwa sasa tusitegemee kuanza na kulia kivulini yaani " boom" . tutapigwa spans Tena kuanza hatua ya kwanza ya kuvuja jasho yaani "crisis"; tutakuwa tumepiga hatua mia moja nyuma. Tuendelee mbele (ndio ushauri wangu).

Mwisho niseme, udhaifu uliooneshwa huko nyuma kutokana na sababu za kimfumo, basi umepata suluhisho. Suluhisho ni nani ni Dr.Magufuli aliyeamua kutumikia wananchi na siyo kutumikiwa. Ama sivyo yaani angekuwa safari za nje kila mwezi kupiga divai kama yeye alivyosema. Halafu kitu cha kujivunia Rais anataka kuwategemeza watanzania na anasema ukipata mgodi wako chimba madini na uuze bila masharti kama ya huko nyuma. Ndugu zangu tunauhakika wa kuibadilisha nchi tukiwa ndani ya CCM kwa kuongozwa na kiongozi shupavu na shujaa asiyeogopa tumepigwa Mara ngapi na maadui, Bali ni muda wa kusimama kushika silaha na kuingia uwanja wa vita kwani adui yetu ameshafika kiwango chake cha mwisho cha kushambulia, pumzi imekata kwahiyo tutamuwini. Connection ni muhimu.
Rais-Mbunge-Diwani.
Ahsanteni; karibuni kwa hoja na mapovu.
ckisake@gmail.com
 
John asingejenga uwanja wa ndege wa kimataifa huko Chato, ningekubaliana na wewe.

Shime tumuunge mkono Hashimu Rungwe.......ubwabwa kwa wote
 
Achezi Basi sifa za kijinga, KILAZA Huyu unamfananishaje na Churchill? Mmekuwa Mafala sana yan
 
Winston Churchill umulinganishe na Magufuli anayebagua na kufanyia wananchi wake ukatili!
Peleka utopolo wako Lumumba kwa waimba mapambio.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
JPM kiboko kweli kweli-walianza kutuambia anafanana na Nyerere, wakamgeukia Trump mpaka TBC wakaja na habari ndani ya Taarifa ya habari ya Salamu kwa JPM toka kwa Trump, sasa naona wamerukia kwa Churchil. Sijui tunaelekea wapi sasa kwa Putin?
 
Idd Amin
 
  • Kicheko
Reactions: BAK
Winston Churchill alishindwa uchaguzi na akakubali matokeo...unamlinganisha na ambae anatumia mbinu chafu kushinda?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom