Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mwenyekiti wa chama cha Nccr Mageuzi James Mbatia kwenye video hii amenukuliwa akisema kwamba kwenye swala zima la kudai katiba mpya na uhuru wa vyama vya siasa wamemshitukia Zito Kabwe kuwa ni...
15 Reactions
56 Replies
5K Views
Hakika vijana walitukosea sana, waliongoza taasisi ama nafasi zao kwa mihemuko bila kufuata taratibu. Hii siyo kwamba vijana hawafai kupewa madaraka la hasha Bali vijana wengi walioaminiwa na...
9 Reactions
39 Replies
2K Views
John Perkins, kachero wa National Security Agancey (NSA) ya U. S anasimulia jinsi ambavyo US huzifanyia nchi masikini duniani ili kuweza kuzinyonya na kupata rasilimali zake. Katika kitabu chake...
30 Reactions
297 Replies
32K Views
2025, ni general election Tanzania, ni uchaguzi ambao unaonekana Mgombea wa CCM uenda akawa SSH. Na endapo SSH atagombea namuona kama weak candidate kutoka CCM toka mfumo wa vyama vingi uanze...
7 Reactions
173 Replies
8K Views
Baadhi ya wananchi wanaoishi eneo la Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) wamesema 'kiburi' walichonacho viongozi wa vijiji, wazee wa mila wa jamii ya wafugaji wa Kimasai na baadhi ya...
0 Reactions
1 Replies
956 Views
Wanabodi, Mjadala wa TBC kusitisha matangazo ya moja kwa moja, live ya vikao vya bunge unaendelea asubuhi hii Star TV. Miongoni mwa waalikwa ni Mbunge wa Kigoma Mjini, Mhe. Zitto Zuberi Kabwe...
21 Reactions
66 Replies
12K Views
Umekuwa nasi bega kwa bega. Hakuna kipindi kama cha awamu ya tano ambacho sisi wafanyabiashara wakubwa tuliishi kwa wasiwasi na mashaka Hili la kuwajulisha watanzania kuwa vitu vitapanda bei...
4 Reactions
9 Replies
744 Views
Nadhani wote tunashuhudia namna wabunge wanavyolinda na kupiga kelele zinapotajwa posho na maslahi Yao. Ni mashuhuda kwamba Mzee Pinda linapokuja suala la ufugaji wa nyuki yupo radhi afunge safari...
7 Reactions
18 Replies
2K Views
Hili ni swali maalumu kwa Bavicha. Katika chama cha Demokrasia na chenye kuhubiri maendeleo ya watu kama Chadema tunategemea wanachama wake kuwa huru katika kugombea, kuchaguliwa na kumpigia kura...
0 Reactions
7 Replies
629 Views
TAARIFA KWA UMMA: Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Daniel Chongolo ametilia mkazo umuhimu wa Kilimo Biashara kwa kuondokana na kilimo tumbo yaani kilimo kwa ajili ya chakula pekee...
0 Reactions
5 Replies
706 Views
Amani iwe nanyi, Habari kuu kwa sasa duniani ni kupanda kwa bidhaa adimu kutokana na vita vinavyoendelea vya Russia v Ukraine. Bidhaa adimu kama mafuta na Gesi zinazidi kupanda kwa kiwango cha...
4 Reactions
26 Replies
3K Views
Hii ni rejea muhimu kwetu sote na kwa manufaa ya Taifa letu. KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
5 Reactions
35 Replies
2K Views
Leo Ewura wamaetoa jedwali la bei ya mafuta kwa baadhi ya nchi za Africa, Ulaya na US . Nadhani lengo lao kubwa ni kuwaandaa watanzania na ongezeko la bei ya mafuta linalotarajiwa kitangaza kesho...
2 Reactions
13 Replies
908 Views
Kwakuwa suala la maendeleo halisubiri muda, na kiongozi wa taifa Rais Samia alisema wazi kwamba hatuwezi kwenda tofauti na dunia inavyotaka. Swali lililopo kwa sasa, kuhusiana na ugawaji na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Baada ya kuangazia makundi ya watu wanaochukia utawala wa Rais Samia sasa ni zamu ya makundi yanayoridhishwa ama kufurahishwa na utawala wake. 1. WAFANYABIASHARA Katika kipindi cha miaka mitano...
4 Reactions
29 Replies
3K Views
Mama Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anategewa kuwa mgeni rasmi siku ya uzinduzi wa kitabu Cha maisha ya rais wa awamu ya pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi al maaruf Mzee...
10 Reactions
194 Replies
20K Views
Naomba kuwaasa wana CCM wote Nchini. Mkitaka kufeli kila kitu, endeleeni kujaribu kumdhihaki JPM Watanzania hawa wa sasa si wajinga kama mnavyodhani. Wanajua kazi aliyoifanya JPM vizuri sana...
5 Reactions
23 Replies
2K Views
Nimesikia hivi karibunI serikali ya CCM inatwagawia maafisa ugani nchi nzima vifaa vya usafiri na kupimia afya ya udongo. Hapa mmegusa maisha ya watanzania walio wengi
5 Reactions
26 Replies
1K Views
Nakumbuka kipindi kile walimtosa mpinzani mwenzao Raila na kumuunga mkono Uhuru Kenyatta tena nakumbuka mzee Lowassa alifunga safari mpaka Kenya kwenda kuwashawishi wamasai wamuunge mkono Uhuru...
0 Reactions
5 Replies
712 Views
Katika siasa ni kawaida kabisa kila Rais anayeingia madarakani kukubalika ama kutokukubalika na makundi mbali mbali ya watu. Kadhalika, Rais anapokuwepo madarakani huwa na mema yake na madhaifu...
10 Reactions
36 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…