Nakumbuka baada ya Nelson Mandela kutoka jela iliundwa tume ya UKWELI na MARIDHIANO iliongozwa na askofu Desmond Tutu.
Hadidu za rejea ilikuwa ni
1. Wafungwa waachiwe huru
2. Waliouwawa serikali...
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan amedhamiria kuchochea uwekezaji na kukuza uchumi wa Tanzania.
Waziri Mkuu ameyasema...
Hayawi hayawi, sasa yamekuwa!
Hatimaye ile kesi aliyoifungua mwanasiasa nguli nchini Tanzania, Mh Christopher Mtikila, akipinga uwepo wa Bunge Maalum la Katiba (BMK) imeamuliwa na kumpa ushindi...
Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi CUF, Profesa Ibrahim Lipumba, leo Jumapili Februari 20, 2022 ameongoza mapokezi ya wanachama takribani 50 wanaorejea kwenye Chama hicho akiwemo Masoud Hamad Masoud...
Salaam Wakuu,
Baada ya Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara, Philip Mangula kuzungumzia Bandari ya Bagamoyo kwamba haipo kwenye ilani, Mbunge wa Mtama Moses Nnauye(CCM) ameibuka...
Background check zinaleta mrejesho huu muhimu:
Prof. Samuel Manyele ni msomi mbobevu wa shahada ya Ph.D katika iliyokuwa department ya Chemical and Process Engineering ya Chuo Kikuu cha Dar es...
Wakurugenzi wa tume ya uchaguz Tanzania nadhani Kuna mnapaswa kuendelea kujitafakari; hakuna namna nchi itakuwa na maridhiano mkiwa ofisini kwa sababu ninyi ni Moja ya Watu waliotumika vibaya...
Jaji Warioba akichangia kwenye mkutano wa TCD leo Dodoma, amenena haya
Miaka yote watu wanaelewa na wanajaza fomu vizuri lakini Mwaka 2020, ghafla watu hawajui kujaza fomu (wanaenguliwa). Hapa...
Waziri wa Elimu, Sanyansi na Teknolojia Prof Adolf Mkenda amesema, katika Vyuo vyote 35 vya Ualimu, Wanafunzi Wanatumia Komputa ambapo Uwiano sasa ni Komputa moja kwa Wanafunzi wawili awali...
Kuna watu humu wanajipa moyo eti CHADEMA hii ya Lissu, Mbowe, Mnyika, Heche, Halima, Bulaya Matiko na Wenzake wanaweza kuishinda CCM ya Magufuli, Bashiru Ali, Mangula, na mfumo mzima wa Chama Cha...
Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Athuman Kihamia amejitokeza kujibu kauli zilizotolewa na Chama kuhusu hujuma na njama zinazofanywa dhidi ya CHADEMA na mamlaka zinazohusika kusimamia...
Tutawaletea Moja kwa Moja Mkutano wa Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe na Wandishi wa Habari wa Tanzania na wakimataifa Kuhusu Mambo mbalimbali ya Nchi
Updates
------------
Mbowe atahadharisha...
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Dkt. Athumani Kihamia.
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Dkt. Athumani Kihamia amethibitisha kwamba mgombea wa...
Rais Samia amesema japo bei ya mafuta imepanda duniani lakini serikali inajitahidi kuona bei hiyo hapa nchini haiwaathiri wananchi.
Rais amesema hata ukilinganisha bei za petrol na diesel kwa...
WAZIRI ENG. MASAUNI
Naomba nikurudishe nyuma kidogo, miaka miwili nyuma ukiwa naibu waziri wa mambo ya ndani, ukiwa kama mwenyeketi wa usalama barabarani uliagiza kila mkoa ukusanye fedha za WIKI...
Na. M. M. Mwanakijiji
Sijui lipi ni bora katika siasa au yote ni sawa tu? Yaani, unamheshimu mtu si kwa sababu anastahili heshima hiyo bali kwa vile unamuogopa. Unaogopa huyo mtu atakufanya...
Mwaka 2016 wakati Waziri wa Habari na Utamaduni wa wakati huo, Nape Nnauye akitoa sababu za kusitisha matangazo ya Bunge live, pamoja na gharama alisema watanzania wengi mchana wako maofisini na...