Eti Waziri Nape! Watanzania hawana shughuli za kufanya mpaka mnawarudishia Bunge 'Live'

Replica

JF-Expert Member
Aug 28, 2017
1,446
7,822
Mwaka 2016 wakati Waziri wa Habari na Utamaduni wa wakati huo, Nape Nnauye akitoa sababu za kusitisha matangazo ya Bunge live, pamoja na gharama alisema watanzania wengi mchana wako maofisini na wengine wanajenga taifa hivyo wakaamua kutengeneza kupindi maalum usiku kuonesha 'Edited clips' za Bunge ili wapate fursa ya kuona.

Leo Bunge 'LIVE' limerejeshwa na kamati ya Bunge huku Waziri akiwa yuleyule na hoja za kusitishwa zikiwa bado hazijayeyuka. Tofauti sasa, mamlaka ya kulirudisha inatoka mhimili tofauti. Katiba yetu bhana.

JIONEE

Mwaka 2016 wakati waziri wa habari na utamaduni wa wakati huo, Nape Nnauye akitoa sababu za kusitisha matangazo ya Bunge live, pamoja na gharama alisema watanzania wengi mchana wako maofisini na wengine wanajenga taifa hivyo wakaamua kutengeneza kupindi maalum usiku kuonesha 'Edited clips' za Bunge ili wapate fursa ya kuona.

Leo Bunge 'LIVE' limerejeshwa huku Waziri akiwa yuleyule na hoja za kusitishwa zikiwa bado hazijayeyuka. Tofauti sasa, mamlaka ya kulirudisha ikiwa tofauti.

JIONEE

Kisingizio ni marehemu
 
Rais ashasema kipindi kile kulikuwa na nidham ya woga sababu ya SIMBA WA YUDA, sasa uzuri siku hizi mawaziri hawafanyi mambo kwa kumuogopa Rais ila wanatumia common sense.

Mbona alikuwa na free mind suala la Makonda na Clouds mpaka akakubali matokeo ya kuachia uwaziri.
 
Mwaka 2016 wakati Waziri wa Habari na Utamaduni wa wakati huo, Nape Nnauye akitoa sababu za kusitisha matangazo ya Bunge live, pamoja na gharama alisema watanzania wengi mchana wako maofisini na wengine wanajenga taifa hivyo wakaamua kutengeneza kupindi maalum usiku kuonesha 'Edited clips' za Bunge ili wapate fursa ya kuona.

Leo Bunge 'LIVE' limerejeshwa na kamati ya Bunge huku Waziri akiwa yuleyule na hoja za kusitishwa zikiwa bado hazijayeyuka. Tofauti sasa, mamlaka ya kulirudisha inatoka mhimili tofauti. Katiba yetu bhana.

JIONEE

Bunge lenyewe la ccm tupu sidhani kama lina mvuto tena kama ulivyokuwa huko nyuma kabla ya yule Ibilisi kuja kuteuwa bunge analolitaka yeye.
 
Mwaka 2016 wakati Waziri wa Habari na Utamaduni wa wakati huo, Nape Nnauye akitoa sababu za kusitisha matangazo ya Bunge live, pamoja na gharama alisema watanzania wengi mchana wako maofisini na wengine wanajenga taifa hivyo wakaamua kutengeneza kupindi maalum usiku kuonesha 'Edited clips' za Bunge ili wapate fursa ya kuona.

Leo Bunge 'LIVE' limerejeshwa na kamati ya Bunge huku Waziri akiwa yuleyule na hoja za kusitishwa zikiwa bado hazijayeyuka. Tofauti sasa, mamlaka ya kulirudisha inatoka mhimili tofauti. Katiba yetu bhana.

JIONEE

Tuseme wazi tu, Magufuli hakutaka kabisa watanzania wajue ushenzi alioufanya despite ya fact that bunge alilizima kabisa.
 
Mwaka 2016 wakati Waziri wa Habari na Utamaduni wa wakati huo, Nape Nnauye akitoa sababu za kusitisha matangazo ya Bunge live, pamoja na gharama alisema watanzania wengi mchana wako maofisini na wengine wanajenga taifa hivyo wakaamua kutengeneza kupindi maalum usiku kuonesha 'Edited clips' za Bunge ili wapate fursa ya kuona.

Leo Bunge 'LIVE' limerejeshwa na kamati ya Bunge huku Waziri akiwa yuleyule na hoja za kusitishwa zikiwa bado hazijayeyuka. Tofauti sasa, mamlaka ya kulirudisha inatoka mhimili tofauti. Katiba yetu bhana.

JIONEE

Uchawa ni profession kamili.
 
Bunge la kijani na Nape akiwa kijani halinogi.
 
Back
Top Bottom