Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,756
Magufuli City ni mji wa kiserikali ulio kilomita 17.5 Kutoka Dodoma Mjini.
Mji huu umebuniwa na Hayati Kipenzi Chetu Rais Magufuli ili uwe wa ofisi za serikali na BALOZI ZA NCHI MBALIMBALI.
Baada ya uamuzi wa KUHAMISHIA WIZARA ZA NCHI jijini DODOMA na kuendelea na kazi mjini huko basi utastaajabu uzuri wa ofisi hizo ambazo zinaonekana kuwa BORA ,NZURI ,NDOGO na zilizojengwa kwa GHARAMA NAFUU.
Eneo hilo ndiko zitapojengwa OFISI BALOZI ZA NCHI ZOTE ambazo ZITAZIDI KUIONGEZEA DODOMA UCHUMI MKUBWA NA FURSA TOFAUTI.
*****************************
WITO WANGU.
Wakazi wa Dodoma ni fursa ADHIMU kwenu KUENDELEA kuongeza KASI YA KUSOMESHA WATOTO NA VIJANA WENU ili waendane na KASI YA UKUAJI WA JIJI LA DODOMA ambako WATAALAMU WA AINA MBALIMBALI na wabunifu wa BIASHARA Watakuwa na SOKO KUBWA huko MBELENI in shaa Allah.
MWENDA ZAKE HAYATI MAGUFULI ataendelea KUBAKI MIOYONI MWETU KWA MIAKA MINGI kutokana na MAONO YAKE YA *DHAHABU NA UTHUBUTU WENYE UTEKELEZAJI KUNTU.
#SiempreCCM
#Hasta la Victoria Tanzania
#KAZIINAENDELEA