Falsafa na itikadi za Hayati Magufuli ni mwarobaini kwa maendeleo ya Afrika

Mhafidhina07

JF-Expert Member
Aug 1, 2014
2,546
2,989
ITIKADI ni moja ya msingi muhimu katika kuyafanya mnaisha ya mwanadamu kustawi zaidi, hakuna binadamu yeyote ambaye anaweza kuishi bila ya kuwa na itikadi.

Neno itikadi linamaana nyingi na utata kwenye kulielezea au kutafsiri kwa sababu imegusa kila kona ya maisha ya mwanadamu.

Huenda tusijue sababu ya madhara na madhira yanayotuzonga kama taifa au bara katika nyanja ya uchumi au siasa ila tyukigeukka upande wa pili, ITIKADI kwani kuamini katika ubinafsi ni kuamini katika kushindwa kwa binadamu kwani huwezi kusimama kwa kutumia mguu mmoja always utafeli,umoja ni nguvu na utengano ni udhaifu mabadiliko yeyote yanayotokea katika jamii huanza na moja na kufikia laki moja..

Labda utajiuliza kwanini itikadi,kwa sababu nyingi zinatufanya kama jamii ya kiafrika kuanguka katika utekelezaji na kwa kipindi kifupi cha awamu ya tano kimedhihirisha kuwa itikadi na falsafa za kijamaa ndio mwarubaini wa tatizo la maendeleo ya jamii ya kiafrika

ATHARI ZA UTEGEMEZI WA ITIKADI

Kukosa maono kama nchi au taasisi
kushindwa katika utekelezaji
migogoro na vita utegemezi

SULUHISHO LA KUDUMU
Uanzishwaji wa mfumo rasmi wa kikatiba (rasmi katika maandishi na utekelezaji) kwa kuiridhisha na kuukubali mfumo wa ujamaa na kuifanya serikali kutawala uchumi kwa kutoa huduma nyingi muhimu na kujiwezesha kutekeleza miradi yake bila ya masharti .
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom