Zito Kabwe ni bondia anayeshangilia ushindi kwa kupigana na hewa

Kiturilo

JF-Expert Member
Sep 27, 2021
709
2,858
Zitto amekuwa akimshambulia Hayati Magufuli kama mtu binafsi ( Rais) ilhali katiba ya JMT inaeleza wazi Rais hashtakiwi popote , pia zuzu Zito Kabwe anashindwa kuelewa kuwa anapomtukana Magufuli anakuwa anawatukana wasaidizi wote wa Magufuli, kuanzia Rais Samia, Dk Mpango , Kassim Majaliwa etc

Kwenye kichwa cha Zito Kabwe kumshambulia Magufuli ni muhimu zaidi kuliko kushambulia mgao wa umeme, wizi wa madini ya ruby ya billioni 240 ambayo yanauzwa Dubai bila waziri wa madini kujua chochote!

Kuchelewa kwa mradi wa kufua umeme si muhimu kwenye kichwa cha Zito kabwe.

Zito Kabwe ni mdini, mbinafsi , fisadi anayeamini uvhaguzi ujao atashinda uchaguzi na kuaminiwa na wananchi kupitia kumtukana Magufuli.

Ndio najiuliza huyu Zitto Kabwe anachukia kweli ufisadi
au ana chuki tu na hayati Magufuli?!!

Hivi ulishawahi kukaa na kujiuliza taifa la Tanzania lingelekea wapi bila ujio wa hayati Magufuli kama rais?

Hivi ulishawahi kujiuliza kama Magufuli angefariki kwenye mwaka wake wa kwanza wa urais kingetokea nini?

Kama leo baada ya hayati Magufuli kukaa madarakani kwa miaka 6 kuna watu wanakuja kuponda miradi ya ndege, SGR, Bwawa la mwl Nyerere je vipi kama angeisaini tu na kufariki dunia hao wapondaji wangesema nini?

Vipi kama Magufuli angefariki kabla ya uchaguzi mkuu wa 2020 si Chadema wangezusha kwamba Magufuli amekimbia kipigo cha Tundu Lisu kwenye sanduku la kura?

Leo Corona imepuuzwa duniani kote na sasa wananchi wote wanafuata falsafa za hayati Magufuli lakini bado kuna baadhi ya Chadema wanashupaza shingo na kupuuza misimamo ya Magufuli, je ulishawahi kujiuliza ingekuwaje kama Corona ingeingia Tanzania tukiwa hatuna Magufuli?

Mungu alimtuma Magufuli kutuvusha kisha akamchukua na kwenda zake
 
Umemaliza.
 
Ni WACHACHE Sana tunao mwelewa zito!!huyo ni wakala wa umoja party ili ipate wanachama wengi na anasaidiwa na Mama kwa maslahi Fulani!!!na chama kipya kitapata wanachama wengi MNO ambao wanampenda JPM!!Na hilo litazuia kura za kanda ya ziwa zilizotakiwa kwenda Chadema kwa kisasi cha Mama kum crush jpm ziende Umoja party hapo 2025!!na kuzigawa Chadema isipate kura nyingi na kuizidi ccm na ACT !!!kuwepo uwiano fulani ili mshindi apatikane wa MWAKA huo wa uchaguzi!!!atakaeathirika na kupondwa kwa jpm ni Chadema SIO CCM!!kwani wafuasi wa jpm watapigia umoja party kwa chama kinachoenda kutangaza falsafa za jpm!!!ccm hawawezi kuikabidhi NCHI kwa Chadema lazima wanachanga karata zao VIZURI kama kikishindwa uchaguzi chama kidogo ndio kipewe ushindi na SIO Chadema!!!HESABU KALI SANA ZIMEPIGWA HAPO TUSUBIRI!!!
 
Doh!
 
Zitto ajue, Wafuasi na waliomwelewa JPM na wapo tayari kumtetea kwa hali yoyote na hata kukiacha hata chama chake cha CCM iwapo nao watalizingua jina na kazi za JPM niwengi kuliko ACT yote na Chadema!!!

Hawa wafuasi wa Falisafa za JPM ni wengi kuliko hao watukanaji wa jina la JPM!!

Tanzania inajua na CCM wanajua, chadema pia wanalifahamu hili
 
Zitto amekuwa akimshambulia Hayati Magufuli kama mtu binafsi ( Rais) ilhali katiba ya JMT inaeleza wazi Rais hashtakiwi popote , pia zuzu Zito Kabwe anashindwa kuelewa kuwa anapomtukana Magufuli anakuwa anawatukana wasaidizi wote wa Magufuli, kuanzia Rais Samia, Dk Mpango , Kassim Majaliwa etc
Kwenye kichwa cha Zito Kabwe kumshambulia Magufuli ni muhimu zaidi kuliko kushambulia mgao wa umeme, wizi wa madini ya ruby ya billioni 240 ambayo yanauzwa Dubai bila waziri wa madini kujua chochote!
Kuchelewa kwa mradi wa kufua umeme si muhimu kwenye kichwa cha Zito kabwe.
Zito Kabwe ni mdini, mbinafsi , fisadi anayeamini uvhaguzi ujao atashinda uchaguzi na kuaminiwa na wananchi kupitia kumtukana Magufuli.

Ndio najiuliza huyu Zitto Kabwe anachukia kweli ufisadi
au ana chuki tu na hayati Magufuli?!!

Hivi ulishawahi kukaa na kujiuliza taifa la Tanzania lingelekea wapi bila ujio wa hayati Magufuli kama rais?

Hivi ulishawahi kujiuliza kama Magufuli angefariki kwenye mwaka wake wa kwanza wa urais kingetokea nini?

Kama leo baada ya hayati Magufuli kukaa madarakani kwa miaka 6 kuna watu wanakuja kuponda miradi ya ndege, SGR, Bwawa la mwl Nyerere je vipi kama angeisaini tu na kufariki dunia hao wapondaji wangesema nini?
Vipi kama Magufuli angefariki kabla ya uchaguzi mkuu wa 2020 si Chadema wangezusha kwamba Magufuli amekimbia kipigo cha Tundu Lisu kwenye sanduku la kura?
Leo Corona imepuuzwa duniani kote na sasa wananchi wote wanafuata falsafa za hayati Magufuli lakini bado kuna baadhi ya Chadema wanashupaza shingo na kupuuza misimamo ya Magufuli, je ulishawahi kujiuliza ingekuwaje kama Corona ingeingia Tanzania tukiwa hatuna Magufuli?

Mungu alimtuma Magufuli kutuvusha kisha akamchukua na kwenda zake
Totally crap

Totally rubbish

Totally lunatic
 
Sawa mkuu
Jenga hoja acha Kuongelea watu

Jibu hoja za CAG na Zitto kwanza

Wapumbavu ambao hawana hoja za kujibu hukimbilia umbea umbea

Mkuu wewe huna hoja, Umekua mbea hapa JF

Hatusikilizi umbea tunahitaji hoja zako

Acha Kuongelea habari za zito binafsi, Jibu hoja za zito kutoka report ya CAG
 
Yaan Zitto Kabwe amejivua nguo na kuonesha taswira yake halisi ya udini,ubinafsi,unafiki.Na pia kichwani Hana kitu.
 
Back
Top Bottom