Watanzania tujulishwe shughuli zote anazozifanya Rais Samia huko Marekani

Escrowseal1

JF-Expert Member
Dec 17, 2014
4,414
4,176
Ombi langu moja tu asubuhi ya leo. Rais juzi amesema kuwa amekutana na wasanii wakubwa nchini marekani

Watanzania hatukujua hilo, naamini anaendelea kukutana na wadau mbali mbali ila litakuwa kosa kubwa kuujenga utamaduni huu Rais wetu wa nchi kuwa anakutana na wadau gizani.

Popote duniani huo utamaduni haupo Rais hana uhuru huo ndo maana yuko under sport light 24/7.

Kama nimekosea mnisamehe ila binafsi naamini vyombo vya habari vina wajibu wa kutuangazia kila analolifanya. Hili ni kwa usalama wa Taifa letu kwani tuna historia si nzuri sana kuhusiana na hili.
 
Royal tour ni cover tuu, anapewa maelekezo huko,mkuu wa nchi unaenda nchi nyingine unakaa wiki nzima et kwenda kuzindua movie , nchi yako unaiacha bila high command ....
 
Ombi langu moja tu asubuhi ya leo. Rais juzi amesema kuwa amekutana na wasanii wakubwa nchini marekani

Watanzania hatukujua hilo ,Naamini anaendelea kukutana na wadau mbali mbali ila litakuwa kosa kubwa kuujenga utamaduni huu Rais wetu wa nchi kuwa anakutana na wadau gizani.

Popote duniani huo utamaduni haupo Rais hana uhuru huo ndo maana yuko under sport light 24/7 .

Kama nimekosea mnisamehe ila binafsi naamini vyombo vya habari vina wajibu wa kutuangazia kila analolifanya. Hili ni kwa usalama wa Taifa letu kwani tuna historia si nzuri sana kuhusiana na hili.
666

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Ombi langu moja tu asubuhi ya leo. Rais juzi amesema kuwa amekutana na wasanii wakubwa nchini marekani

Watanzania hatukujua hilo, naamini anaendelea kukutana na wadau mbali mbali ila litakuwa kosa kubwa kuujenga utamaduni huu Rais wetu wa nchi kuwa anakutana na wadau gizani.

Popote duniani huo utamaduni haupo Rais hana uhuru huo ndo maana yuko under sport light 24/7.

Kama nimekosea mnisamehe ila binafsi naamini vyombo vya habari vina wajibu wa kutuangazia kila analolifanya. Hili ni kwa usalama wa Taifa letu kwani tuna historia si nzuri sana kuhusiana na hili.
"Sport light",hiyo kali. Gerson Msigwa alisema atatoa taarifa( wakati bado yuko Marekani) . Kwa hiyo,subiri
 
Huu ujinga wa kujifanya kujua sijui utakwisha lini?Eti Rais aeleze kila kitu alichokwenda kufanya Marekani!!
Eti yupo chini ya"sports light"Eti tuna historia mbaya kuhusu hili! Lipi hilo?Historia mbaya ipi?
Wakati mwingine kama mtu huna cha kuandika basi soma tu waliyoandika wenzako.Ficha upumbavu wako.
 
Mkwere alikutana na 50cent, nafikiri safari hii tutakutana Jay Z au mzee Kanye W......
 
Huu ujinga wa kujifanya kujua sijui utakwisha lini?Eti Rais aeleze kila kitu alichokwenda kufanya Marekani!!
Eti yupo chini ya"sports light"Eti tuna historia mbaya kuhusu hili! Lipi hilo?Historia mbaya ipi?
Wakati mwingine kama mtu huna cha kuandika basi soma tu waliyoandika wenzako.Ficha upumbavu wako.
Kama jina lako mzee baba kama una kichwa ka tui la nazi .just relax utajidhuru bure. Nchi zote marais wake wanakuwa monitored wanachofanya.ndo maana hata maongezi ya simu huwa yanavuja. Marais wa kiafrica sihitaji kukukalisha darasani wana vinasaba vya mangungo wa msovero . Kama hukuwa bado nankamasi unaijua Richmond ilotutesa kwa miongo kadhaa ka madhara ya kudhani kika kiongozi yuko kabeba interest na watu wake. I don't need to go into details seniors wananielewe we kapige tuition kwanza baadae utajua nini namaanisha
 
hayo unayosema unadhani yanashindikana kufanyika akiwa hapa hapa bongo, kwani anamuogopa nani hasa, wewe wa mitandaoni?
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Umerukaruka tu bila kueleza cha maana.Marais wanakuwa monitored na nani?Ili iwe nini?Wakati wa kashfa ya Richmond nilikuwa nimeshamuoa mama yako.Hivyo kuwa na adabu unapozungumzia hoja na watu usiowajua.Unaandika bila substance ili nawe uandike.
 
Ombi langu moja tu asubuhi ya leo. Rais juzi amesema kuwa amekutana na wasanii wakubwa nchini marekani

Watanzania hatukujua hilo, naamini anaendelea kukutana na wadau mbali mbali ila litakuwa kosa kubwa kuujenga utamaduni huu Rais wetu wa nchi kuwa anakutana na wadau gizani.

Popote duniani huo utamaduni haupo Rais hana uhuru huo ndo maana yuko under sport light 24/7.

Kama nimekosea mnisamehe ila binafsi naamini vyombo vya habari vina wajibu wa kutuangazia kila analolifanya. Hili ni kwa usalama wa Taifa letu kwani tuna historia si nzuri sana kuhusiana na hili.
Kuna sheria imevunjwa?
 
Huyu ni Mkwere wa kike, usishangae naye akaenda Jamaica 🇯🇲 kubembea
 
Umerukaruka tu bila kueleza cha maana.Marais wanakuwa monitored na nani?Ili iwe nini?Wakati wa kashfa ya Richmond nilikuwa nimeshamuoa mama yako.Hivyo kuwa na adabu unapozungumzia hoja na watu usiowajua.Unaandika bila substance ili nawe uandike.
Haaaa haaa the worst thing unakuja na povu humu .mi unanijua ? Ama ndo mshaanza upuuzi wa unanijua mi nani .kakojoe huko ebo .
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom