CCM itatawala mileleni mpaka mwisho wa dunia

CCM itatawala mileleni mpaka mwisho wa dunia

Pain killer

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2017
Posts
14,365
Reaction score
21,747
Habari wakuu

Hizi taarifa ziwafikie wapinzani wote na vyama vipya ambavyo vinaanzishwa kuwa ni rahisi Sana ngamia kupenya kwenye tundu la sindano kuliko Chama kikubwa na chenye wafuasi nchi nzima kuanzia vijijini ndani ndani kabisa mpaka taifa chama cha mapinduzi (CCM ) kutoka madarakani.

CCM ni dude kubwa ambalo limetamalaki kuanzia kwenye akili ,ubongo na kusambaa mwilini mwa watanzania hivyo basi hakuna raia yeyote ,kiumbe chochote ,binadamu yeyote ,kikundi chochote chenye uwezo wa kuyumbisha chama kikongwe Tanzania na duniani kwa ujumla.

Watabaki Wanateta ,kuongea ,kunungunika ,kujisonya ,kukebehi ,kutukana,kuponda na maneno mazito lakin CCM is their to stay mora than thousand million years ,yaani ni kushinda uchaguzi back to back karne Hadi karne.

CCM oyeeeeeeee.
 
Back
Top Bottom