Tokea Mwenyekiti wa Chadema, shujaa Freeman Mbowe, atoke jela, siku chache zilzopita, alikokuwa amekaa zaidi ya miezi 8 kwa Kesi ya michongo ya ugaidi, amekuwa alisisitiza Sana neno HAKI kuwa...
Kila taifa huwa Lina historia na tunu zake, tuna Rais wa kwanza mwanamama.
Tumpe kumbukumbu moja mujarabu ya hata sarafu yenye picha yake! Ni sisi tu afrika mashariki na kati
UVCCM_ TAIFA
APRILI 19, 2022
CHICAGO_ MAREKANI.
PICHA NA MATUKIO:
Picha na Matukio Mbalimbali ya Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Mhe. SAMIA SULUHU HASSAN akiwa na Dkt. H. Fisk Johnson...
Naunga mkono jitihada za kuifungua nchi, ila sikubaliani na approach inayotumika katika kufanya hivyo.
Ni kweli tunahitaji wawekezaji , ni kweli tunahitaji ajira lakini namna tunavyowatafuta na...
Taarifa nilizoskia sasa hivi ni kwamba ndege ya ATCL imeleta kizazaa Mwanza baada ya kuteleza na kuhama katika njia yake ya kutua (runway) wakati ikitua..habari njema ni kwamba hakuna...
Hakika huyu Mama licha ya kuwa ni Mjane, hana biashara yoyote wala cheo cha Kumwingizia KIPATO lakini ni mfano halisi wa UZALENDO kama wa Hayati Mume wake BABA wa TAIFA RAIS Mstaafu Mwl. NYERERE...
Vita kali ya maneno ya kumkosoa na kumdhihaki Magufuli inayoendelea sasa huenda ni matokeo ya kitendo cha Magufuli kukataa kabisa yeye na utawala wake kukosolewa akiwa hai.
Hichi kinachoendelea...
Disclaimer (Andiko hili ni kutoka clickhabari.com)
Imebaki miaka minne kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 nchini Tanzania. Chama kipya cha siasa kilijulikano kama Umoja Party (UP) kimeibuka...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, maana kila ninavyofungua kucheki Royal Tour naona yuko kwenye vyombo vya habari akihojiwa na kujibu
Kuna sehemu sioni kama ni heshima sana kwa Rais kuhojiwa...
Chadema Wana ideas zilizopangika na zinazofanikiwa bila kuhitaji nguvu ya ziada wala dola. Kitendo Cha kutumia mitandao iliyounganishwa na screen za TV zilizopo majumbani kumetoa fursa watu...
Ni vema hii Join the Chain ingeendana na ufuturishaji kwa sababu huu ni mwezi mtukufu.
Bado hamjachelewa kuna siku 9 mbele
Siasa ni pamoja na kuendana na mambo ya nyakati
Sabato njema!
WanaCCM wengi wamesusa kuchukua fomu na kishiriki chaguzi zinazoendelea.
CCM ya sasa imegeuka na kuwa CCM ya wajuaji na wapigaji.
WanaCCM wanaojitambua wameghazibika na sasa wameichukia CCM...
Hi ndoto ya mchana kwetu tulio.soma seminari na tuna maono uamini niaono yaliyotumwa na Mungu kwetu.
Nimeoteshwa kabisa Tundu LISSu aliwa Bado hajarud mpaka Leo na hataki kurudi.
Nimeoteshwa...
Mzalendo wetu JPM alitengeneza mabilionea wa kichina, tenda zote nchi nzima za ujenzi aliwapa wachina au Mayanga, aliwapa waturuki ujenzi wa reli, wamisri ujenzi wa bwawa la Stiglers...
Sheria ya mamlaka ya serikali za mitaa inayotumika ya mwaka 1983-1984 ilijenga muundo unaoisaidia chama kimoja kuongoza nchi kwa urahisi.
Tulipoingia vyama vingi bado hatukukumbuka kwa kina...
23 April 2022
LIVE : MUBASHARA :
Mh. Rais Samia Suluhu Hassan : Maendeleo ya Watu yanayolenga katika maji safi, elimu na fursa kwa wote ni muhimu sana
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
Hakuna maneno Muhimu na Machache katika ustawi wa maisha ya Binadamu kama Tafadhali, Asante na Samahani.
Katika Dhifa niliyoiandaa jana, nilialika watu wengi, Wanasiasa, Taasisi za Kiserikali...
Ni dhahiri shahiri Waaafrika wengi hatuwazi ujenzi wa Mataifa yetu bali tunawaza ujenzi wa familia zetu .
Tubadilike, kila mmoja abadilike kwa nafasi yake.
Asanteni
Kwanza kabisa niweke Wazi mimi sio mfuasi wa mfumo wa vyama vingi sababu
1. Unagawa watu hivyo ni rahisi kuingia katika machafuko
2. Ni rahisi kwa Baadhi ya viongozi wa vyama kuhujumu Nchi kwa...