Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hiyo ni kauli alioitoa jana rais wakati anaongea na wamarekani wenye asili ya Tanzania mi najaribu kujiuliza ivi kuwa kimya ndo dalili ya shida na kulalamika ndo dalili ya RAHA mbona rais...
1 Reactions
5 Replies
590 Views
"Wenyeviti wa mashina na wajumbe wake ni watu muhimu sana kwa sababu wanakaa na wananchi, ndiyo wanaopokea changamoto na kutupa sisi taarifa kama viongozi wao hivyo tuendelee kushirikiana ili...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Msikubali kudanganyila kwa misosi na jojo za kutafuna.
0 Reactions
4 Replies
756 Views
Ziara ya mkuu wa nchi anayondelea nayo nchini marekani zaidi ya wiki sasa ni nzuri sana ila ni lazima tuseme ukweli haitatuletea mapinduzi ya kiuchumi na nchi yetu kuwa na uchumi wa hali ya juu...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
KINANA : CCM TUMUENZI NYERERE KWA KUWA WATETEZI WA WANANCHI Dunia na watanzania wameendelea kumheshimu na kumsema kwa mazuri Mwl Julius Kambarage Nyerere huku kila wakati jina akiwa midomoni na...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Nilimsikiliza vyema Waziri Mkuu mstaafu Mzee Joseph Sinde Warioba pale alipopewa nafasi ya kuhutubia nyumbani kwa Mwalimu Nyerere pale Msasani kama sehemu ya sherehe ya kufikisha miaka 100 ya...
34 Reactions
128 Replies
8K Views
Kassim Hanga alikuwa shujaa mwanamapinduzi na alikuwa mmoja wa waasisi wa Smz. Ikumbukwe kuwa bila ya SMZ kuungana na Tanganyika leo kusingukuwa na JMT. Kwa nini alipozikwa Kassim Hanga...
4 Reactions
18 Replies
2K Views
Kwa miaka kadhaa sasa, kumekuwa na mijadala kadhaa Tanzania kuhusu uwezekano wa Watanzania kuwa na uraia pacha. Serikali imekuwa na woga wa kutoa uraia pacha kwa hoja kwamba itaongeza hofu ya...
3 Reactions
28 Replies
3K Views
MIAKA 58 YA MUUNGANO;MAONI MBALIMBALI YALIYOPATA KUZUNGUMZWA JUU YA MUUNGANO. Leo 12:15pm 26/04/2022 Muungano wetu ni muungano wa pekee na wa aina yake duniani,hakuna Muungano mwingine wowote...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hakuna ubishi kuwa enzi ya utawala wa awamu ya tano wa hayati John Magufuli kulikuwa na vitendo lukuki vilivyokuwa na ukatili mkubwa dhidi ya binadamu. Kuanzia watu kuokotwa fukweni, kupotea...
0 Reactions
1 Replies
580 Views
Wakati Serikali yetu ikiwa busy kwenye uzinduzi wa filamu yetu huko Marekani. Thamani ya Chai yetu inazidi kuporomoka kwenye soko la kimataifa. Katika mnada uliofanyika Mombasa nchini Kenya hivi...
0 Reactions
0 Replies
899 Views
Mzee Ali Mzee amemshukuru na kumpongeza Dr Suleiman Jaffo kwa kuamua kwenda kuoa Zanzibar ikiwa ni ishara ya Zanzibar. Mzee Ali amesema Bara kuna warembo wengi lakini Jaffo ameichagua Zanzibar...
0 Reactions
10 Replies
895 Views
Wheel loader pekee iliyokuwa inafanya shughuli ya kupakia shehena ya clinker kuelekea Rwanda imeharibika tena tokea majuzi na operation ya kupakia shehena ya clinker imekwama hali iliyosababisha...
8 Reactions
44 Replies
4K Views
Kwa mara yakwanza katika historia, tarehe 26/04/2022 Tanzania ina adhimisha miaka 58 ya muungano huku mkuu wa nchi akiwa nchini Marekani. Haijawahi kutokea kabla, mama anaandika historia nyingine...
6 Reactions
28 Replies
2K Views
Mzee Msekwa amesema wakati muungano unaasisiwa yeye alikuwa ni Katibu wa bunge na ndiye aliyeupeleka Ikulu muswada huo baada ya kupitishwa na bunge ili ukasainiwe na iwe sheria. Mzee Msekwa...
0 Reactions
5 Replies
957 Views
Waliowahi kukutana na Mwalimu Nyerere, hawatakosa kumwelezea Mwalimu jinsi alivyojiona kuwa ni sawa na watu wengine. Nikiwa shule ya msingi, darasa 4, nilipata nafasi kwa mara ya kwanza kushikana...
21 Reactions
53 Replies
4K Views
Mzee Warioba amewataka viongozi wa serikali ya muungano kushughulikia maswala ya Uchumi wa bluu na Utalii kama maswala ya muungano ili kuimarisha uchumi wa pande zote mbili. Warioba amesema...
1 Reactions
0 Replies
623 Views
Na Yhabiti Kombo Mm kwa mtazamo wangu kwa sasa kumekuwa na makundi manne! Na kila kundi linafanikiwa kwa namna yake! Lkn ktk mafanikio hayo! Kuna kundi litafanikiwa na kunufaika zaidi,nalo ni...
1 Reactions
2 Replies
565 Views
Hii inatia hasira sana hizi hela zimeliwa kama muchwa bila huruma yaani zimepigwa vikundi hewa hivi viko vya kutosha watu wameingia front wakapita na hizi pesa bila aibu === Vikundi hewa 30...
0 Reactions
4 Replies
719 Views
Hii ni nyaraka ambayo imekuwa declassified kuhusu Jamhuri ya Muungano na Uhusiano na hali ya kisiasa huko Zanziba.IKO kwa Kiingereza
0 Reactions
0 Replies
606 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…