Kuna anayejua baada ya Ripoti ya CAG what next? madudu yameonekana, kibaaao hasa kwa wale watoto pendwa wa mwendakwao ,lakini sioni kama kuna nia ya dhati ya kuchukua hatua.
Kwa mujibu wa Ripoti ya CAG 2017/2018: CHADEMA ilinunua gari jipya aina ya Nissan Patrol kwa shilingi milioni 147.5 lakini lilisajiliwa kwa jina la mwanachama badala ya Bodi ya Wadhamini.
Kwa...
Muanze mapema kabisa kuandaa mikakati ya maana kujiunga Umoja party na baada ya kuenguliwa mkigombea mtarudi bungeni kwa urahisi mno.
Picha ipo wazi kabisa maana kila mtanzania mzalendo hawezi...
NDANI YA SIKU 100, RAIS SAMIA AMEFANYA MAMBO MAKUBWA
Wanaandika Ndugu Twahir Abasi Kiobya na Denis Shanyangi
Kama kuna jambo lolote linalonipa amani na Faraja kwenye nafsi yangu katika siku 100...
Sote ni mashahidi tangu juzi kuna kakikundi ambako sidhani kama ni watanzania kweli au wachumia tumbo tu wanaolipwa kushibisha nafsi zao au la!
Tangu juzi tumeshuhudua kukurukakara za hapa na...
Kwa miaka mingi sana Tanzania tumekuwa tunalalamika jambo moja kuu, nalo ni kwamba, pamoja na kuwa na maliasili na utajiri mwingi ila nchi yetu hasa wananchi wamekuwa masikini sana!
Mjadala huu...
Katika Kongamano la Uthibit na Tathmini linalofanyika jijini Dodoma, Aliyekuwa CAG Ludovick Utoh ametoa wito kwa serikali kuongeza uwajibikaji ili kupunguza kiwango cha upotevu wa rasilimali ambao...
Walitana kwa ukaribu na hii ishara kuwa kuna uwezekano wa kuambukizana maana hata chanjo za kovidi hazizuii maambukizi
👇
Vice President Kamala Harris tests positive for COVID-19
Leo nimeingia katika website ya tume ya Haki za Binadamu na Utawala bora (THBUB) nimeona kwa kipindi cha 2015 hadi 2022 hawajawahi kutoa tamko la kulani mauaji ya raia yaliyowahi kutokea nchini...
Bado naliona tatizo sehemu, Rais kurejea nchini kutoka nje ya nchi sidhani kama ni issue sana maana akitua anashuka anasalimia anaingia kwenye gari anasepa zake. Sasa hii kwenda kuprint T-shirts...
Sherehe za Muungano wa Tanganyika na Zanzibar hufanyika kila mwaka. Ni kawaida rais wa JMT na rais wa Zanzibar kuhudhuria. Mwaka huu kwa mara ya kwanza viongozi Wakuu wote ni kutoka upande wa...
Wataiba Sana wakijua fika hawatashika madaraka tena na wamekata tamaa.
Ni sasa na Sio wakati mwingine tena!ndivyo wawazavyo mioyoni mwao.wataingia mikataba ya kifisadi ya kutisha ambayo...
Akiwahutubia Wana-CCM mkoani Kilimanjaro Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Ndg Abdulrahman Omar Kinana amesema chama hicho kimekuwa madarakani muda mrefu kwa sababu za...
Kupitia mtandao wa ClubHouse Mzalendo wa Kweli Tundu Lissu anahutubia na anaeleza kwa kina historia ya machif. Ameeleza chimbuko la machif wakati wa ukoloni na kufutwa kwake 1965. Anasema katika...
Wakati wa kampeni za uchaguzi mwaka jana, haya yalipatwa kunenwa na aliyekuwa makamu wa rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Je, hapo alinena kama mama, kama makamu wa rais na mjumbe wa...
Mara nyingi nimeonea serikali inakichukulia CHADEMA kama chama tofauti kabisa kulinganisha na vyama vingine vya upinzani.
Kwa mfano Rais wa JMT ameshakutana na Tundu Lisu na baadae akakutana na...
Na Mwandishi Wetu,
Arusha.
Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana, amejumuika na viongozi mbalimbali wakiwemo wa dini, serikali na Chama mkoani Arusha, katika...
Kwa kitendo Cha Rais kukwepa kupita mlango wa Mbele huko Marekani ili asionane na Watanzania walio kuwa na mabango mbali mbali kinafedhehesha taifa na taasisi yenyewe ya Uraisi.
Tumekuwa...
Katika kuadhimisha Miaka 58 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, Rais Samia Suluhu Hassan amewasamehe wafungwa wapatao 3,826 kwa masharti mbalimbali
Msamaha huo utahusisha Wafungwa wanaotumikia...