Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nawaomba wasimamizi wa uchaguzi mliowahi kutishwa kutimuliwa kazi eti msimtangaze wapinzani kwa vile mmepewa magari, mmepewa na mishahara. Toeni shaka hakuna mtu mwenye mamlaka ya kumfukuza DED...
1 Reactions
4 Replies
863 Views
Jumuiya ya viongozi wanawake kutoka vyama mbalimbali vya siasa, wamelaani tabia ya baadhi ya wanasiasa nchini kutoa lugha za vitisho. Wamesema tabia hiyo inaweza kusababisha uvunjifu wa amani...
0 Reactions
2 Replies
660 Views
Wadau nini kimetokea? Ukijaribu tuma ujumbe mfupi wenye maneno Tundu Lissu au John Magufuli hauendi ila jumbe nyingine zinaenda.... Jaribu kwa Airtel, Vodacom
7 Reactions
134 Replies
18K Views
Mgombea wa urais Dr. John Pombe Magufuli amewaahidi wakazi wa Karatu kulala wilayani hapo alipokuwa akiendelea na kampeni za kutafuta urais mkoani Arusha. Rais Magufuli ametoa ahadi hiyo na...
4 Reactions
61 Replies
9K Views
Mgombea urais kwa tiketi ya chama cha wananchi CUF Profesa Ibrahim Lipumba, amesema atakapopata ridhaa ya kuwaongoza Watanzania, serikali yake itashirikiana na Jumuiya ya Umoja wa Kimataifa ili...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwenye kampeni za CCM baada ya wasanii kupewa zawadi yakofia leo mzee wetu Lowassa amekabidhiwa zawadi ya kofia kutoka kwa mgombea Urais kupitia Tiketi ya CCM ndugu JMP Kampeni zinaendelea
2 Reactions
20 Replies
3K Views
Kamati ya amani na dini mbalimbali Mkoa wa Singida inayojumuisha viongozi wa madhehebu na dini zote imetoa tamko lenye maazimio saba kuelekea Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 28, mwaka...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Tutakuwa tukibadilisha badilisha kutaja maeneo halisi atakayokuwepo mgombea kwa muda husika kutokana na jinsi tunavyoona kiusalama. Pia hili gari analotumia Lissu msilichukulie poa maana yaliyomo...
49 Reactions
135 Replies
15K Views
Mheshimiwa Jimbo la California sio saizi yetu kabisa, huko ni maji marefu sana. Mheshimiwa Magufuri anataka kuifanya Arusha kuwa kama Calfornia, Marekani. Kwa ambao hatujui ni kwamba ukitaja...
48 Reactions
80 Replies
9K Views
Wanabodi,Siku nne kabla ya uchaguzi ngome zetu wana CCM hasa vijijini zimechakazwa na kutikiswa na Tundu Lissu. Wilaya ya Tunduru Ruvuma, Mambo sio mambo ni ngome yetu wana CCM lakini wananchi wa...
16 Reactions
106 Replies
7K Views
Mgombea Udiwani kupitia ACT Wazarendo kata ya Kinyerezi Ndugu Albert Nyange arudi CCM leo Tarehe 24/10/ 2020, Tukio hilo limetokea katika kampeni za lala salama za mgombea wa CCM Kata ya...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
CCM mwaka huu wameonyesha walilala zaidi ya wapinzani kipindi chote siasa zilipokatazwa. Awakujipanga kuanzia juu Hadi kwenye tawi na kibaya zaidi hata UCHAGUZI wa serikali ya mtaa awakufanya bali...
16 Reactions
55 Replies
5K Views
Wakuu natanguliza salamu , Ikumbukwe kwamba tumebakiwa na siku 3 tu za kampeni ambapo baada ya hapo ni Uchaguzi wa kihistoria ambao unakwenda kukata minyororo ya utumwa waliyofungwa Watanzania kwa...
25 Reactions
87 Replies
10K Views
Leo mgombea urais kupitia chama cha Mapinduzi, Dkt. Magufuli yupo Arusha na Monduli akiendelea kunadi sera na ilani ya chama cha Mapinduzi kuomba ridhaa ya kuongoza Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
4 Reactions
51 Replies
5K Views
Tunachimba madini hapa na kuuza nje,pesa imayopatikana kwa wachimbaji na serikali sio kubwa Kama tungekua na kiwanda cha kuprocess madini hapa kwetu, nikipata nafasi ya kuongoza nchi hii serikali...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
NEC mbona mgombea CCM anavunja sana maadili na hawampi adhabu? Akivaa kijani yupo kama mgombea na mbona anazungumuza tumetenga hela, nitawaletea hiki hela ipo, anapiga simu kwa Mfugale kuhusu...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Nimerudi safari na kupiga kambi kwenye jimbo langu la uchaguzi. Mambo niliyoshuhudia wiki hii ya mwisho hayakufikirika miaka ya nyuma na hata mwanzoni mwa kampeni za mwaka huu. Vile vijembe vya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tofauti na miaka mingine ya Uchaguzi Mkuu, mwaka huu Tume ya Uchaguzi Tanzania(NEC) imechapisha form ya kupigia kura kwa ngazi ya Urais wa JMT isiyo na mfumo rasmi wa mpangilio wa alfabeti. Hii...
43 Reactions
110 Replies
13K Views
Katika muendelezo wa michezo ya uvunjifu wa sheria, makada wa CCM wameanza utaratibu haramu wa kuwachukua watoto wa shule na kuwaelekeza kumpigia Magufuli kura Huku watoto wakiwa kwenye uniform...
6 Reactions
57 Replies
6K Views
Lissu mgombea urais wa mijini anayezunguka town to town kampeni akiacha asilimia 80 ya wapiga kura waishio vijijini. Lisu ni wakili kakulia mjini ndio maana siasa zake za kimjini mjini zaidi...
16 Reactions
109 Replies
11K Views
Back
Top Bottom