Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mmoja anakwenda pale kukagua shughuli za usafirishaji wa abiria na mwingine anakwenda kufuatilia mgomo wa madereva. Je, wananchi na wafanyabiashara washike lipi?
3 Reactions
14 Replies
277 Views
Musevi kasema hajui kinachoendelea mradi wa Tanga. Hii ni nchi ambayo mpaka leo hakuna plant ya kusafisha gas maana wale Norway na wamarekani wamegoma kuwapa 10% viongozi wetu toka wakati wa kikwete.
2 Reactions
5 Replies
214 Views
Wakuu Mjasiriamali maarufu wa Zimbabwe, Wicknell Chivayo, anayejulikana pia kama Sir Wicknell, amemtembelea Rais wa Tanzania, Samia Suluhu, Ikulu kwa ajili ya kumpa pole baada ya kufiwa na Mume...
18 Reactions
151 Replies
4K Views
Hivi vituo vikuu vya mabasi ya mikoani uendeshaji wake ni wa siri na wanufaika hawajulikani huku wenye mabasi wakikamuliwa kwenye ushuru. Ili mnufaike na ushuru mnaolipa ni lazima nanyi muwe...
2 Reactions
2 Replies
72 Views
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Septemba 30, 2026, amekutana na kufanya mazungumzo na Viongozi wa Madereva wa mabasi na malori Nchini. Mazungumzo hayo...
1 Reactions
13 Replies
358 Views
Mwigulu Nchemba amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa madereva wa mabasi na malori nchini. Viongozi hao wamekubali kusitisha mgomo uliodumu kwa siku mbili, ili huduma za usafiri...
4 Reactions
11 Replies
233 Views
Mgomo wa mabasi ya abiria na maroli umeitikisa nchi. Umewaonyesha viongozi wa serikali kwamba nchi inaweza kusimama kwa muda na mambo yasiende wanavyotaka wao. Pongezi sana kwa ujasiri huu wa...
6 Reactions
22 Replies
602 Views
  • Redirect
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Septemba 30, 2026 amesafiri kwa treni ya Reli ya Kisasa (SGR) kutoka Dar es Salaam kuelekea Dodoma. Waziri Mkuu ameambatana na Waziri wa Afya, Mohamed...
0 Reactions
– Replies
– Views
Heshima kwenu wanajamvi. Sasa ni wazi Dangote kaamua kujenga kiwanda cha kusafisha mafuta Lamu,Kenya. Tanzania tuko busy kupambana na siasa mbovu. Siasa zetu za ndani hazivutii uwekezaji...
3 Reactions
13 Replies
197 Views
Katika kuboresha utendaji kazi wa Serikali na kutokana na baadhi ya viongozi kustaafu kazi, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi na uhamisho wa...
19 Reactions
165 Replies
5K Views
  • Redirect
π——π—žπ—§. 𝗠π—ͺπ—œπ—šπ—¨π—Ÿπ—¨ π—”π—žπ—¨π—§π—”π—‘π—” 𝗑𝗔 π—©π—œπ—’π—‘π—šπ—’π—­π—œ π—ͺ𝗔 π— π—”π——π—˜π—₯π—˜π—©π—”, π— π—šπ—’π— π—’ π—ͺπ—”π—¦π—œπ—§π—œπ—¦π—›π—ͺ𝗔 Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Septemba 30, 2026, amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa madereva wa mabasi na...
0 Reactions
– Replies
– Views
Msishangae Mkurugenzi wa mashtaka kufuta mashitaka kabla ya maamuzi kuokoa mahakama. Kwa kesi ya kijinga hivyo serikali haiwezi kushinda. Wakipewa ushindi na majaji kila mtu atasema kutokana na...
15 Reactions
23 Replies
687 Views
27 September 2026 Colonel (rtd) Haruni Ramadhani Kondo : Signs of CHADEMA's Collapse https://m.youtube.com/watch?v=a8mEesJHed4 Dk. Kanali mstaafu Ramadhani Kondo anakichambua chama bila bias...
3 Reactions
25 Replies
423 Views
🚨 *THOMAS SANKARA: MAISHA, MSIMAMO, NA UKWELI MCHUNGU KWA TANZANIA * 🚨 Huu ni wasifu kamili wa "Mtu Muungwana" Rais wa Kwanza Wa Burkina Faso na Mwanamapinduzi, Thomas Sankara na kioo...
1 Reactions
0 Replies
125 Views
Msikilize anavyoropoka hapa kama sio yule wa kizimbani mahakamani, ambae hata sauti ilikua inagoma kutoka. Eti ndio ana akili huyo :pedroP: Aise! Ama kwahakika maisha ni siasa Mungu Ibariki...
0 Reactions
0 Replies
94 Views
Mtanzania ni mpole, lakini akiamua jambo lake, utamuua tu. Jana nilikuwa naangalia vitisho vya Polisi nikabaki nacheka. Polisi wanahisi bado wanaheshimika kama zamani. Tangu waue 29.10.2025...
11 Reactions
20 Replies
414 Views
Mchambuzi wa masuala ya siasa nchini Tanzania Deus Kibamba ametoa tahadhari kuhusiana na kile alichokitaja kama "unono" wa kisiasa na kutokuwepo kwa uwiano wa mgawanyo wa maslahi ya kiutumishi...
6 Reactions
23 Replies
1K Views
Awamu zote hiii awamu kiboko Ina viongozi mzigo kuanzia kitongoji mpka huko juu kwenye mihimili wana uwezo mdogo sana IQ na EQ zao kwakweli zinatia mashaka makubwa sana...
3 Reactions
18 Replies
235 Views
Sote tunatambua kuwa, wabunge wa bunge la Jamhuri ya Muungsno wa Tanzania hawalipi kodi kwenye Kila kitu licha ya kuwa wanalipwa mishahara minono na marupurupu ya kutosha. Baada ya kustaafu au...
3 Reactions
5 Replies
168 Views
Wakati Bunge la Jamhuri ya Muungano litakapokuwa limevunjwa Agosti 3, 2025, kinachofuata baada ya hapo ni Wabunge kulipwa mafao yao baada ya kutumia nafasi zao kwa miaka mitano. Hata hivyo...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…