Tetesi: Inadaiwa Wakili Peter Madeleka amekamatwa na Jeshi la Polisi akiwa Serena Hotel

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,014
144,372
Wakili Peter Madeleka adaiwa kutekwa na watu wasiojulikana muda mfupi baada ya kutoka katika Hotel ya Serena Jijini Dar Es Salaam Jioni hii.

----

Hilda Newton kupitia akaunti yake ya Twitter amesema haya

Wakili Peter Madeleka amekamatwa muda huu Serena Hotel Dar Es Salaam na askari waliovalia kiraia anapelekwa Central Police Dar Es Salaam.

Familia ya Peter Madeleka wanasema wamefika Central Police Dar muda huu kwa ajili ya kujua Madeleka kakamatwa kwa kosa gani lakini wameambiwa kwamba Jeahi la Polisi hawajamkamata wala hawamshikilii Madeleka.

Tusaidiane kupaza sauti
#FreePeterMadeleka

Familia ya Peter Madeleka wanasema kwamba wamearifiwa kwamba Madeleka yupo Makao Makuu ya Jeshi la Polisi anahojiwa kwa tuhuma za kuwatuhumu Uhamiaji kuwa wanataka kumuua.

Yani badala ya kuwahoji hao waliokuwa wanapanga kumuua wao wamemgeuzia kibao Madeleka, Inasikitisha

madeleka.JPG

THRDC yazungumzia Taarifa ya kukamatwa kwa wakili Peter Madeleka

THRDC  yazungumzia Taarifa ya kukamatwa kwa wakili Peter Madeleka.jpg
Pia soma
 
Habari hii ni kwa mujibu wa Hilda Newton kupitia mtandao wa twitter:

View attachment 2194271
Mbona watu wanakamatwa kila siku na maisha yanaenda tu...kama kafanya kosa lazima akamatwe labda kama habar ingekuwa inasema kaonewa au kuna kitu hakipo sawa ila swala la kudakwa ni inshu ya kawaida sana labda tu kama tunataka kukuza mambo.

Huku uswahilini kupelekwa kituoni ni kawaida sana na wala hutaandki mitandaoni.
 
Mleta mada ungeweka sababu za kukamatwa ungeonekana akili zako kichwani zimo kwa uandishi ulioandika unaonyesha kichwa chako nusu kaputi na umo jamiiforums kwa bahati mbaya sio kama great thinker
Bora umesema na wewe mkuu...yaani kuna mijitu mijinga kabisa siku hizi humu ndani...huyo wakili ni nani hasa hata kukamatwa kwake iwe ni tatizo.
 
Jamiiforums mada kama hizi mfute kama mtu hana reason Ili kujenga hadhi ya jamii forums itasaidia kuweka discipline kuhakikisha mtu kuleta mada kama hizi awe na ushahidi wa kakamatiwa nini?

Moderators mu enforce discipline kufanya jamiiforums kuwa platform highly reliable
 
Kwa hiyo isisemwe kakamatwa hii SII Ile enzi ya kutekana kishamba🤔
 
Nchi ya ahadi imegeuka nchi ya kuishi kama digidigi.

Huyo mwanaharakati mwenye kutaka Rais wa chama cha mawaniniii aendelee huku anataka a Katiba Mpya mwambieni basi amwambie Murais akamtetee mwanachama wao... nimegundua safari ya ukombozi ni ndefu sana.

Mwambieni amechemsha watu hawamuamini tena

Wanaharakati wengi huwa hawajitambui nini wanapigania
 
Bora umesema na wewe mkuu...yaani kuna mijitu mijinga kabisa siku hizi humu ndani...huyo wakili ni nani hasa hata kukamatwa kwake iwe ni tatizo.
Tulizoea uonevu wa kuratibiwa ndio maana Kila mmoja anashangaa Yale yamerudi au🤔
 
Mleta mada ungeweka sababu za kukamatwa ungeonekana akili zako kichwani zimo kwa uandishi ulioandika unaonyesha kichwa chako nusu kaputi na umo jamiiforums kwa bahati mbaya sio kama great thinker
kama polisi hawajasema mleta mada ataitoa wapi. umejikuta hata wewe huna uGT wowote zaidi ya kumiliki tu mdomo. Hii ni habari,mengine yatafuata
 
Mleta mada ungeweka sababu za kukamatwa ungeonekana akili zako kichwani zimo kwa uandishi ulioandika unaonyesha kichwa chako nusu kaputi na umo jamiiforums kwa bahati mbaya sio kama great thinker
Mtoa mada yupo sahihi ameleta habari kama ilivyo lengo ni kuwajulisha flani amekamatwa na wala hajaongeza chumvi umepewa na screensht wenda na yeye anahisi mnazijua sababu tujadiliane unaanza kulalamika basi subir ITV saa mbili jion watakupa sababu maana inaonekana hujui maana ya forum
 
Mleta mada ungeweka sababu za kukamatwa ungeonekana akili zako kichwani zimo kwa uandishi ulioandika unaonyesha kichwa chako nusu kaputi na umo jamiiforums kwa bahati mbaya sio kama great thinker
Kama Polisi wenyewe hawatoi sababu za kukamatwa yeye mleta mada atazijuaje?

Yeye kaleta taarifa kwamba wakili kakamatwa shida iko wapi?
 
Back
Top Bottom