Shyrose Bhanji amuomba Rais Magufuli amteue

Interest

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2015
Posts
3,434
Reaction score
7,097
Aliyewahi kuwa Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA), Shyrose Bhanji ameonesha kutamani kupata uteuzi kwenye Serikali ya Awamu ya 5 inayoongozwa na Dkt. John Pombe Magufuli.

Kupitia ujumbe mfupi wa maandishi, Shyrose amesema anatamani apewe nafasi na kuahidi ataifanyia kazi kwa juhudi, uwezo, maarifa na talanta zake zote alizobarikiwa na Mungu.

Ikumbukwe kuwa Shyrose amekuwa MwanaCCM kindakindaki tangu aachane na kazi yake ya Utangazaji na kuingia kwenye siasa.

Ukimtazama kwa uzoefu alionao Shyrose, ni nafasi ipi akipewa ataitendea haki?!

The President is too big to ignore, especially Africa President.

Nakumbuka alipoachwa kwenye kuteuliwa ubunge wa Afrika Mashariki alipiga kelele nyingi za kumlaumu Rais Magufuli.

Kwa sasa fikra imekaa vizuri na kumfanya kujua kuwa hawezi kufanikiwa bila mkono wa Rais Magufuli.
 
Bangi zime muharibu huyo mama maana huwa analipuka wakati wowote na popote walahi
Scandal lake la kwenye ndege......uwiii hawezi tulia kabisa huyo walahi
 
Aliyewahi kuwa Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA), Shyrose Bhanji ameonesha kutamani kupata uteuzi kwenye Serikali ya Awamu ya 5 inayoongozwa na Dkt. John Pombe Magufuli.

Kupitia ujumbe mfupi wa maandishi, Shyrose amesema anatamani apewe nafasi na kuahidi ataifanyia kazi kwa juhudi, uwezo, maarifa na talanta zake zote alizobarikiwa na Mungu.

Ikumbukwe kuwa Shyrose amekuwa MwanaCCM kindakindaki tangu aachane na kazi yake ya Utangazaji na kuingia kwenye siasa.

Ukimtazama kwa uzoefu alionao Shyrose, ni nafasi ipi akipewa ataitendea haki?!

Rais atateua wangapi kama wote watamwomba? Huyu Mama alikuwa Mbunge kalipwa Pensheni yake awaache na wengine Wateuliwe
 
Wanasiasa huwa wanakoswa nini wasipopewa madalaka yaani wao ni kujipendekeza kinafiki ilimladi wapate teuzi. Halafu hawa ndio waliopata 200m+ kama pensheni. Mimi nikipata hata 100m sihitaji kusikia habari ya siasa tena wala kuajiliwa tena ni biashara Tu.
 
Jamani kila binadamu ana mapungufu, Kina Waitara walitukana ya nguoni. Yeye kajirudi tumtakie heri katika nia yake njema.Historia mbaya tupa kapuni.Uzuri Rais hapangiwi Acheni Kelele.
Yeye ameshawahi kututakia heri lini mkuu?
 
The President is too big to ignore, especially Africa President.

Nakumbuka alipoachwa kwenye kuteuliwa ubunge wa Afrika Mashariki alipiga kelele nyingi za kumlaumu Rais Magufuli.

Kwa sasa fikra imekaa vizuri na kumfanya kujua kuwa hawezi kufanikiwa bila mkono wa Rais Magufuli.
Shyrose anamnanga JPM kiaina kwa kukimbilia kuteua kina Waitara at the expense of wafia chama.

2020 CCM pasu kwa pasu tupa kule!!
 
Wanasiasa huwa wanakoswa nini wasipopewa madalaka yaani wao ni kujipendekeza kinafiki ilimladi wapate teuzi. Halafu hawa ndio waliopata 200m+ kama pensheni. Mimi nikipata hata 100m sihitaji kusikia habari ya siasa tena wala kuajiliwa tena ni biashara Tu.
Wakiwa kwenye madaraka huyatumia kufanya deal chafu.
 
Kwani lazima ateuliwe? Kwani hawezi kufanya kazi mpaka ateuliwe? Kwaiyo asipoteuliwa hawezi kufanya kazi kwa ueledi na talanta zake zote? Je ni kweli anataka kuteuliwa kwa dhati au nini lengo lake kisiasa 2020 kupitia huo uteuzi? Alipokuwa anamponda JPM alimaanisha au ilikuwa hasira ya kukosa Cheo? Je kuomba kwake uteuzi kuna tofauti gani na ubinafsi?
 
Atukane kwanza upinzani
Ndio. Na aanze kumsifia kila sifa aionayo inakuja mbele yake atafanikiwa.
Anaweza kusema hakuna presida handsome Afrika nzima kama jamaa, au presidaa in mweupe sana utadhani mwarabu mpaka wapinzani wanamuonea wivu nk nk.
Kwa jinsi tunavyo mjua anapenda hizo basi utasikia DC Kibaha ili awe karibu na Dar Kwa ajili ya masuala fulani fulani yahusuyo unyago
 
Back
Top Bottom