Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hicho ndicho kilichozuia machafuko zaidi! Bunduki haijawahi, haitawahi na haiwezi kumzuia mwanadamu anayetaka kujinasua kwenye uovu wa mtesi. Jeshi la wananchi lilitumia mbinu ya ulaghai...
0 Reactions
0 Replies
114 Views
Yaani baada ya kushugulikia kiini hasa ya maandamano tarehe 29 report imejikita kumsafisha muuji Samuya.kwa sababu mmekataa kushugulikia kiini cha matatizo basi jiandaeni zaidi .This is Nonsense
6 Reactions
20 Replies
340 Views
Mwenyekiti wa Tume, Jaji Mohamed Chande Othman, amesema Tume imewasilisha mapendekezo mbalimbali ya muda mfupi, wa kati na mrefu, huku akisisitiza kuwa hakuna pendekezo lolote linalopendekeza...
0 Reactions
5 Replies
230 Views
Wakuu, Moja ya mapendekezo aliyoyatoa Chande leo wakati wa wasilisho lake
0 Reactions
2 Replies
133 Views
Vilevile mashahidi walioshiriki kufanya ghasia waliokuja mbele ya tume na kukiri kuwa baadhi yao walipewa simu maalum za mkononi na kupewa kazi ya kupiga picha na video za matukio. kama vile...
2 Reactions
10 Replies
274 Views
  • Redirect
Milioni 600 ziliporwa kwenye Ma ATM: Jaji chande
1 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Baadhi ya wagombea waliokatwa kwenye vyama vyao walichochea chini chini machafuko: Jaji Chande
0 Reactions
Replies
Views
Ni vema jambo hili likaeleweka vizuri na kila mmoja wetu, kwamba kinachosubiriwa n.a. Wananchi siyo ripoti ya Tume ya Uchunguzi ya Chande, Hii Tume ilishakataliwa kote Tanzania, Kinachosubiriwa ni...
10 Reactions
32 Replies
554 Views
  • Redirect
Baadhi ya kauli Mbiu zilizochangia machafuko ni Oktoba tunatiki, Oktoba tunatoka, no Reform no Election, Samia Must Go.. Jaji Chande
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Mwenyekiti wa Tume, Jaji Mohamed Chande Othman, amesema ni maoni ya Tume kwamba ni muhimu Katiba Mpya ipatikane ifikapo mwaka 2028 ili iweze kutumika katika uchaguzi ujao wa Serikali za Mitaa...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Jukumu la Jaji Chande katika uchunguzi wa Lebanon lilihitaji uchambuzi wa kutoegemea upande wowote chini ya shinikizo. Utaalamu huo huo utahakikisha ripoti ya Tume ya Uchunguzi kwenye mtukio ya 29...
1 Reactions
Replies
Views
Jaji Chande amesema kuwa tume imebaini kuwa kuhusu maridhiano na katiba mpya, tume imebaini kuwa matukio ya Oktoba 29 pamoja na changamo vimesababisha nyufa na majeraha kwa taifa hivyo maridhiano...
1 Reactions
0 Replies
141 Views
"Ile ni ngazi ya kwanza ambayo polisi tu, kwa sura yake na nguo alizovaa, inasambaza makundi yaliyokusanyika. Lakini yapo pia maeneo mengine kutokana na kiwango cha tishio kwa uhai wa askari au...
0 Reactions
1 Replies
153 Views
Heri ya Mwaka mpya 2026 kwa kila mmoja, Mungu awe pamoja na kila mmoja kwa mwaka mzima. Katika hotuba ya Mhe.Rais ya kuaga mwaka 2025 na kukaribisha mwaka 2026 alizungymzia suala la kuanzisha...
0 Reactions
15 Replies
322 Views
  • Redirect
Sheria za kimataifa za kitaifa na kikanda, haziruhusu maandamano na waandamanaji kubeba silaha.. waandamanaji walibeba silaha mbali mbali za kijadi hivyo kuwa ni machafuko si maandamano
1 Reactions
Replies
Views
Tunamuomba msajili akifute chama cha Chadema hiki chama ni adui wa amani ya Tanzania yetu .
1 Reactions
22 Replies
245 Views
Wakuu Anazungumza Jaji Chande leo wakati anakabidhi anakabidhi Ripoti ya Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani Yaliyotokea Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2025...
1 Reactions
15 Replies
373 Views
Back
Top Bottom