Wakati wa uwasilishaji rasmi wa Ripoti ya Chande uliofanyika Ikulu, Dar es Salaam tarehe 23 Aprili 2026, viongozi mbalimbali wa dini na siasa waliohudhuria walipongeza kazi ya tume hiyo na matokeo...
Namuona Nchimbi anaenda kuchekea bafuni!
Akiwa kama mnufaika mkubwa wa Ripoti ya Chande hasa pale Jaji kuonekana chawa kwa kuto kusema ni nani alitoa amri ya mauaji.
Raisi Samia ameomba mtu yoyote hatakiwi kuomba Ripoti ya Tume ya Jaji chande kwasababu hiyo Ripoti imeandaliwa kwaajili yake na yeye ndio aliounda hiyo tume.
📍NIRC Dodoma.
Naibu Waziri wa Kilimo, Mhe. David Silinde, amezindua Baraza la Sita la Wafanyakazi la Tume ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC), huku akitoa wito kwa watumishi wa Tume hiyo kudumisha...
23 Avril 2026
Dar es Salaam, Tanzanie
LA PRÉSIDENTE SAMIA HASSAN REÇOIT LE RAPPORT DE LA COMMISSION D’ENQUÊTE SUR LES TROUBLES ÉLECTORAUX DE 2025
https://m.youtube.com/watch?v=B_iAgTSLBrU
Son...
Katika kipindi cha miaka mitatu, Jaji Chande amesema jumla ya raia 758 waliripotiwa kupotea katika mazingira ya kutekwa au kujiteka, ambapo 113 walipatikana huku 445 wakiendelea kutafutwa hadi...
Mapungufu: Tume kuwauliza Polisi na usalama nani ni watekaji na wauaji? wakati tunajua watekaji wa wanasiasa na wanaharakati ni Polisi na wauaji wa vijana October 29 ni polisi na usalama
📍USHAHIDI WAONYESHA GHASIA ZA OCTOBA 29 ZILILENGA KUVURUGA UCHAGUZI
Mwenyekiti wa Tume iliyoundwa na Rais Dkt. Samia kuchunguza matukio yaliyojitokeza wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu October...
Kwamba Jeshi la Polisi mnataka mie nifike kwa DCI? Mnataka nijilete kwenu nyie ambao April 24, 2025 mliniteka pale Mahakama ya Kisutu mkakaa na Mimi Central Police kisha mkanijazisha na...
Probative value ya mahojiano/ ushahidi wenu na so called mliwahoji iko wapi bila kusikiliza upande mwingine!
Nilisema mnajiletea aibu mkiwa retired Chief Justices
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinarejea msimamo wake wa awali wa tarehe 19 Novemba 2025 kutotambua mchakato mzima wa Tume iliyoundwa na Samia Suluhu Hassan, na kinapinga kwa ujumla...
Je tume ya Raisi inaweza kusema ukweli kwamba tatizo kubwa ni dharau za Raisi Samia!. Tatizo na hizi tume ni za kichawa hawawezi kusema ukweli ndiyo maana ni lazima tume iwe ya nje kwa...
Wakuu,
Jaji Chande ameshauri serikali kuchukua hatua za kuimarisha huduma za msaada wa kisaikolojia na kijamii kwa kuandaa mkakati maalum wa kitaifa, kutenga rasilimali zinazohitajika ili...
Kinyume na madai ya maandamano ya amani, vitendo vilivyoonyeshwa vilitaka maisha, mali na usalama wa raia wasiohusika. Hivyo maandamano yalivuka mipaka ya sheria ya Tanzania na viwango vya...
Ushahidi unaonyesha kuwa maandamano yalikuwa na lengo la kuzuia wananchi kupiga kura. Vitendo vya kushambulia vituo vya uchaguzi na maafisa vinathibitisha nia ya kuharibu demokrasia ya Tanzania...
Polisi na vyombo vya usalama walikabiliana na vijana wenye silaha kama mapanga na mafuta ya kuunguza. Walitumia teargas na vifaa vya kudhibiti umati kulingana na kiwango cha hatari katika kila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.