Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Jaji Chande amesema kuwa imebainika makundi yaliyoshawishiwa ndiyo wahusika zaidi katika ghasia wakati wahusika wakuu na waratibu wa ghasia hawakuwepo kwenye maeneo ya matukio hali iliyochangia...
0 Reactions
1 Replies
117 Views
Jaji Chande akiwasilisha ripoti ya uchunguzi wa matukio ya uchaguzi mkuu 2025 anasema hayakuwa maandamano ya amani bali ni ya ghasia. Anasema "Kilichotokea siku ya uchaguzi mkuu, Oktoba 25...
0 Reactions
3 Replies
193 Views
  • Redirect
JAJI CHANDE ◾️Kuzuia na kuvuruga uchaguzi mkuu wa 29 Oktoba 2025 ◾️Waliharibu vituo vya kupiga kura na kushambulia mawakala na mali za wananchi waliojitokeza kupiga kura ◾️waratibu wa ghasi...
0 Reactions
Replies
Views
Jaji Chande akiwasilisha ripoti ya Uchunguzi wa matukio ya Oktoba 29, anasema "Jumla ya picha mjongeo 450, picha mjongeo 880, zilikusanywa kwa njia mbalimbali na baadhi zilikuwa zimesambaa...
0 Reactions
6 Replies
336 Views
Samia amekua delussional hadi hajui anazidi kujikaanga hata CCM watamkataa
0 Reactions
1 Replies
99 Views
Anazungumza Jaji Chande leo wakati anakabidhi anakabidhi Ripoti ya Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani Yaliyotokea Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2025, tarehe 23...
3 Reactions
9 Replies
349 Views
Tume ya Uchunguzi ya matukio ya Oktoba 29 inatarajiwa kuwasilisha ripoti yake tarehe 23 mwezi huu (Alhamisi) kwa Rais Samia Suluhu. Hayo yamebainishwa na Mwenyekiti wa Tume hiyo, Jaji Othman...
5 Reactions
30 Replies
918 Views
  • Redirect
Uchambuzi wa video na picha ulikuwa sehemu kubwa katika uchambuzi wa tume, hususan katika kuelewa madhara ya kibinadamu. Jumla ya picha mnato 450 na picha mjongeo (video) 880 zilikusanywa kwa njia...
0 Reactions
Replies
Views
Jaji Chande akielezea kuhusu vichocheo vya matukio ya Oktoba 29, 2025 amesema kuwa baadhi ya wanasiasa na wanaharakati walitumia changamoto za wananchi zilizotokana na vyanzo mbalimbali kama fursa...
0 Reactions
0 Replies
148 Views
Huu ndio utabiri wangu huku Tundu Lissu akiwa ndio mlengwa mkuu ili tu isionekane ameshinda kesi ya uhaini bali ametoka kutokana na mapendekezo ya Tume. Pia, mtarajie habari ya maridhiano...
4 Reactions
9 Replies
216 Views
Kazi ya uchunguzi ilihusisha maeneo 202 yaliyoathirika zaidi katika wilaya 21 na mikoa 11, tume pia ilitembea Zanzibar na Kilimanjaro kama sampuli ya maeneo ambayo hayakuwa na ghasia ili kujifunza...
0 Reactions
3 Replies
284 Views
  • Redirect
Jaji Chande amesema baadhi ya Wanasiasa na wanaharakati walishawishi Wananchi kushiriki ghasia
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Jaji Chande ni nguli kweli kweli kwenye mambo haya!.. 🚨Tuna imani kubwa sana kuwa ripoti hii itaeleza ukweli wa nani alikuwa nyuma ya vurugu za 29 Oktoba 2025 🚨Kwa uzoefu huu wa Jaji Chande...
1 Reactions
Replies
Views
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema kuwa tasnia ya mazao ya bustani siyo tu sehemu ya sekta ya kilimo, bali ni sekta ya kimkakati ya biashara ya kimataifa inayounganisha Tanzania na Masoko...
0 Reactions
0 Replies
113 Views
Jaji Chande anasema kuwa kuna vyama vya siasa vichache, wanaharakati, wanasiasa na viongozi wa NGo wachache walioalikwa kufika mbele ya tume lakini hawakufa hivyo
0 Reactions
0 Replies
114 Views
Asema kuna miradi inakwama utekelezaji sababu ya migawanyiko WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amewataka viongozi wa Mamlaka za Serikali za Mitaa waepuke migogoro na mizozo kwa sababu kuna miradi...
1 Reactions
0 Replies
139 Views
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema kuwa tasnia ya mazao ya bustani siyo tu sehemu ya sekta ya kilimo, bali ni sekta ya kimkakati ya biashara ya kimataifa inayounganisha Tanzania na Masoko...
0 Reactions
0 Replies
124 Views
Huruma ya Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba kwa Mwenyekiti wa ALAT anayemaliza muda wake.
0 Reactions
0 Replies
183 Views
Namuona hapa Kaimu Balozi Andrew Lentz akiwa Ikulu akisubiri ripoti ya Jaji Chande Wachina na Warusi sijawaona hapa, au hii ripoti haiwahusu? ?
1 Reactions
7 Replies
191 Views
Back
Top Bottom