instinct desire
JF-Expert Member
- Mar 17, 2026
- 1,434
- 1,167
Tunamuomba msajili akifute chama cha Chadema hiki chama ni adui wa amani ya Tanzania yetu .
Na wafuasi wao pia wauliwe?? Maana huezi kuua Ideology,wataendelea kudai haki zao hata bila kuwa na chama.Tunamuomba msajili akifute chama cha Chadema hiki chama ni adui wa amani ya Tanzania yetu .
Utafutwa wewe na Mungu uzikwe leo au kwesho. AMINATunamuomba msajili akifute chama cha Chadema hiki chama ni adui wa amani ya Tanzania yetu .
Chadema hawajui hata maana ya ideologyNa wafuasi wao pia wauliwe?? Maana huezi kuua Ideology...
Kumbe wewe ni Zack Abdul. ID kibao zinasaidia nini?Tunamuomba msajili akifute chama cha Chadema hiki chama ni adui wa amani ya Tanzania yetu .
Una akili za kijinga sana wewe.Tunamuomba msajili akifute chama cha Chadema hiki chama ni adui wa amani ya Tanzania yetu.
Wewe ni punguani kabisa, duniani kila mtu ana kitu anachokiamini na kukisimamia, hata wewe jinga, na hiyo ndiyo ideology, hata nikiitamka kwa lugha usiyoifahamu ila haiondoi ukweli kuwa kila mtu anayo, grow up fool.Chadema hawajui hata maana ya ideology
Hauna kifutio?Tunamuomba msajili akifute chama cha Chadema hiki chama ni adui wa amani ya Tanzania yetu .
naunga mkono hojaTunamuomba msajili akifute chama cha Chadema hiki chama ni adui wa amani ya Tanzania yetu .
Halafu ndio nchi itakuwa na barabara kila kata?Tunamuomba msajili akifute chama cha Chadema hiki chama ni adui wa amani ya Tanzania yetu .
Asante sana Mkuunaunga mkono hoja
Wauji ndo nini ?Nyie wauji mmelaniwa mbinguni na duniani
Uko sahihi maana hadi sasa ccm imeonyesha kuishindwa cdm kisiasa.Tunamuomba msajili akifute chama cha Chadema hiki chama ni adui wa amani ya Tanzania yetu .
Chadema ni mpango wa Mungu.Tunamuomba msajili akifute chama cha Chadema hiki chama ni adui wa amani ya Tanzania yetu .