Nimetembelea tovuti ya Wizara ya Fedha nikakutana na mgawanyo wa fedha za Majimbo yote. Fedha hizi zinafanya kazi gani majimboni?
Inawezekana kabisa fedha nyingi hapa nchini zinaishia kwenye...
SAFARI YA KITAALUMA
- Mwaka 1985 Alitunukiwa shahada ya kwanza ya Sheria (LLB) ya Chuo kikuu cha Dar es salaam, akishinda pia Tuzo ya Mwanafunzi bora ya Kitivo cha Sheria katika "Constitution...
Magufuli: Sisi ni matajiri, tunaweza kuwasaidia hata Ulaya, misaada/mikopo yao masharti magumu
Samia Suluhu: Nimeenda Ulaya, pesa za miradi zilikwama tumezikwamua.
Nipo nazitafuta za kaka Jakaya..
Condester Sichalwe(Momba): Ni nini watu wa TBS wanaweza wakatusaidia kutoa makali ambayo yapo kwenye gongo yafanane konyagi, yafanane na pombe nyingine ambazo mnaziona za kifahari ambazo matajiri...
Ukisikia kuwa mjini ni shule basi hii ndiyo maana yake.
Gwajima alikutana na wazee wa mjini wasiyo na uoga wa kijinga na akapigwa maswali hadi akadata.
Hawa ndiyo wazee wanaotakiwa kuwa wana...
Je wazanzibari wananufaika na fursa za bara Au wabara wananufaika na fursa za Wazanzibari?
Kipindi hiki nimeona wabara wakilalamikia sana Wazanzibari mpaka kufikia hatua wanatamani katiba ya...
Upande wa kwanza Zanzibar ni nchi iliyoungana na Tanganyika ikapatikana Tanzania, katika huu muungano Zanzibar inabidi iwe na raisi au makamu wa raisi wa Tanzania, Pia Wazanzibari katika huu...
Spika wa Bunge Job Ndugai leo November 30,2020 atawaapisha Wabunge wawili walioteuliwa na Rais Magufuli, Wabunge hao ni Humphrey Polepole ambaye ni Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi wa CCM na Riziki...
Sijuwi leo nililalia ubavu gani! Nimeamka na wazo hilo hapo juu. Ni baada ya wiki iliyoishia jana kupokea simu nyingi mno za ndugu na rafiki zangu kuomba ushauri na misaada mbalimbali.
Elimu yetu...
NSSF huwa haina kawaida kuongeza malipo kwa wastaafu licha ya kuwa na pesa zao zinazofujwa! Tunajua serikali huwa haihusiki kuongeza viwango vya malipo kwa wanachama wa NSSF, jukumu hilo liko...
Wakili wa upande wa utetezi Moses Mahuna akieleza kuhusu Sabaya na wenzake
kushinda rufaa yao na kuachiliwa huru katika Mahakama Kuu Kanda ya Arusha.
Sabaya na wenzake watatu wamebakiza ngwe...
TAFSIRI POTOFU YA JF MEMBER NDUGU TATHMINI YA IBARA YA 36 (2) YA KATIBA KUHUSU UTEUZI WA RAIS WA MTENDAJI MKUU WA TANROADS.
1. UTANGULIZI.
Ndugu yangu Tathmini ambaye ni Member mwenzangu wa JF...
Wabunge wa bunge la sasa wengi ni walalamishi na washabiki badala ya kuwa viongozi.
Sasa bei ya mafuta mnataka Rais afanyeje kama bunge lenyewe haliwezi kukata kodi. Kukata kodi inabidi mkate na...
Ule uzinduzi wa Marekani ulikuwa na faida sana kwa wale ambao tulipata nafasi ya kwenda kuhudhuria kule na kuhamasisha. Ingawa tulikaa siku chache sana lakini si haba. Wengi wameweza kufanya kitu...
Kulikuwa kuna hoja kadhaa kuhusu matumizi ya fedha nataka nikiri kwenu kwamba fedha yote tuliyokusanya ndiyo iliyotumika kwenye 'Royal Tour' na tulitumia kiasi cha Bil.7 kulipa kampuni iliyofanya...
Assalamualaikum wana JF!
Niende kwenye hoja moja kwa moja kama ifuatavyo:
1. Ni haki ya mfanyakazi kupata nyongeza ya mshahara pale inapokuwa lazima kutokana na gharama za maisha kupanda.
2. Bei...
Hashim Rungwe Spunda ametia nia kugombea Urais wa Tanzania katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba kwa tiketi ya CHAUMA
Amesema, "Sera yangu ya kuimarisha lishe kwa watanzania bado iko...
Leo Rais Samia amepokea ripoti ya CAG Ikulu Dodoma na kuongelea mambo kadhaa ikiwemo suala la mafuta. Rais Samia amesema waziri husika aliondoa tozo ya Tsh 100 kwenye lita ya mafuta bila kuangalia...
Heri ya siku kuu ya Maulid
Bwana Yesu aendelee kuwa nanyi
Operation Kubwa inakuja na taasisi pekee inayoonekana kuwa na weledi kwenye operation hiyo ni JW tu ,
Watu wanajiuliza kwanini Jeshi...
Wakuu Akitimiza Mwaka Mmoja Madarakani.
.
Filamu yake ya Utalii Ya Royal Tour Imeikomba Serikali yake takribani 7b Kwa Ajili ya Kutengeneza Hyo Filamu Tu.
.
Hakika anaupiga Mwingi
=====...