Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 18,664
- 22,255
NSSF huwa haina kawaida kuongeza malipo kwa wastaafu licha ya kuwa na pesa zao zinazofujwa! Tunajua serikali huwa haihusiki kuongeza viwango vya malipo kwa wanachama wa NSSF, jukumu hilo liko chini ya NSSF kutokana na pesa ilizonazo kuwa ni mali ya wanachama.
Hakuna ubishi kuwa kunaufujaji mkubwa sana wa pesa za michango ya wafanyakazi, pesa hizo zimekuwa zikitumika kwenye miradi ambayo baadae hutelekezwa huku wahusika wakilipwa viwango duni bila sababu.
Kutokana na hali ya maisha kupanda ni wakati umefika kwa NSSF kuongeza viwango vya malipo kwa wastaafu wake.