Wabunge wa bunge la sasa wengi ni walalamishi na washabiki badala ya kuwa viongozi.
Sasa bei ya mafuta mnataka Rais afanyeje kama bunge lenyewe haliwezi kukata kodi. Kukata kodi inabidi mkate na budget!
Sasa mnataka mishahara iongezeke, kodi ipunguzwe , miradi imalizike na Mama asikope sasa inawezekana vipi!
Wabunge ni lazima wawe wawazi sio kuaminisha wananchi uongo. Wananchi wamejifunza ubaya wa kuwa na bunge fake kama hili