Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hawa waliteuliwa kwa vikao halali, kwa barua ya CHADEMA, na wakaapishwa, waende Mahakamani kesho kwa hati ya dharura!
6 Reactions
131 Replies
8K Views
Dar es Salaam. Imepita miaka minane tangu Kiongozi Mkuu wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe na wenzake walipofukuzwa Chadema kwa madai ya usaliti; sasa ameibuka na kusema ni kosa kubwa...
2 Reactions
32 Replies
3K Views
Halima na wenzake wasipoteze muda kutaka kwenda Mahakamani,kwani wanatuhumiwa kughushi sahihi za Viongozi wa chadema Hata kama hawakughushi wao,aliewasaidia kughushi yupo. Kwa hiyo kama wakitaka...
16 Reactions
49 Replies
4K Views
"...gharama za cement zimeendelea kupanda kila mara na hilo la vita ya Ukraine na Urusi ndilo limeongeza changamoto ya kupanda kwa bei..." "...nimewataka wadau waone namna bora ya kupunguza...
6 Reactions
73 Replies
6K Views
Picha linaanza mafuta yamepandishwa bei, Kama unavyotujua watanzania Kelele nyingi kama chura yupo mtoni, Malkia akawaza nini nifanye mbona hizi kelele zinaumiza masikio yangu kikaitwa kikao cha...
1 Reactions
6 Replies
569 Views
Tetesi: - Uwenda ARV za bure kupotea kwenye hospitali za Serikali ikiwa USA haitobadili sera yake WHO Niliwahi kuandika huu uzi miaka ya 2020. Watu wakanibeza na kufikiri natania ila nataka mjuwe...
0 Reactions
3 Replies
684 Views
Zikiwa zimesalia saa kadhaa mkutano wa baraza kuu la Chadema Kuanza,wabunge 19 wa bunge la Jamhuri ya Muungano wanaotokana na Chama hicho wamewasili maeneo jirani na kunapofanyika mkutano huu hapa...
5 Reactions
143 Replies
11K Views
Mkuu wa wilaya ya Arumeru ,Jerry Muro huenda akaingia kwenye msuguano mkali na chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema wilayani humo kwa hatua yake ya kushusha bendera zake pindi anapokuta...
15 Reactions
141 Replies
18K Views
Husna Amri Said na makada wengine wa CHADEMA wameendelea na zoezi la kupandisha bendera za Chama katika Jimbo lote la Chato ambako CCM waliamua kuzishusha. Mtia nia Ubunge jimbo la Chato bi...
2 Reactions
204 Replies
23K Views
Kipindi cha miaka sita iliyopita mkutano kama huu wa baraza kuu la CHADEMA tungeshudia bendera za CDM zikishushwa na wahuni, vyombo vya habari vikubwa visingekuwepo , Bobi Wine kupata kibali cha...
3 Reactions
1 Replies
686 Views
Taarifa za EA TV ambayo ni Television ya Africa Mashariki , imemuonyesha Mpigania Uhuru kamili wa Uganda , Mh Robert Kyagulani akiteremka kwenye uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa JK NYERERE , akiwa...
25 Reactions
69 Replies
5K Views
Mwandishi Njonjo Mfaume anauliza nini mustakbali wa ACT Wazalendo kwenye siasa za upinzania Tanzania? =========== Kuna baadhi ya viumbe ni vigumu kuwaainisha. Kati ya hao yuko popo. Popo...
2 Reactions
37 Replies
3K Views
Mwanzo mwanzoni niweke wazi, kama ilivyo kawaida yangu, kuwa mimi si mwanachama wala mshabiki wa chama chochote cha kisiasa hapa nchini au nje ya nchi hii. Nikiongozwa na uzalendo na utanzania...
44 Reactions
89 Replies
9K Views
Wakati hoja ya Katiba Mpya ikitawala mijadala na hotuba za viongozi mbalimbali katika Baraza Kuu la CHADEMA, mwanasiasa wa upinzani kutoka nchini Uganda ambaye alikuwa mgeni rasmi kwenye baraza...
15 Reactions
45 Replies
5K Views
TBC katika taarifa yao kwa maelekezo kutoka Tume ya Uchaguzi ya Taifa wametoa maangalizo mengi lakini mimi moja ambalo nimeliona kama mgombea Urais kupitia CCM analikiuka sana. Lile tangazo...
10 Reactions
63 Replies
6K Views
Hiki ni kikao ambacho kimsingi ndimo huandaliwa Ajenda karibu zote za Chama na kuwasilishwa kwenye Baraza Kuu . Baada ya kamati kuu leo , kesho ajenda hizi zitawasilishwa kwenye Baraza Kuu ...
7 Reactions
27 Replies
2K Views
Hii ni aibu aisee, yaani inatia kinyaa sana niko namsikiliza anapiga kampeni Magu kila baada ya maneno matatu ni full kisukuma. Haileti picha nzuri kabisa, kwa sababu kampeni inarushwa Tanzania...
21 Reactions
193 Replies
19K Views
Nimemsikia mgombea urais kupitia CCM, Dkt. Magufuli, kwenye kampeni zake zinazoendelea huku kanda ya ziwa, amekua akitumia kisukuma mara kwa mara. Hatukuwahi kusikia Rais yoyote waliotangulia...
2 Reactions
36 Replies
4K Views
Jana katika hotuba ya Mbowe, alizuia Siasa za matusi zonazofanywa na wanasiasa waandamizi wa chadema. Kimsingi, wanachadema hutumia matusi, kejeli na dharau kubwa dhidi ya wanaowapinga, ili...
0 Reactions
2 Replies
850 Views
Hivi kama nchi tunatumia fikra za nani hasa? Nimesikitika kusikia mamlaka ikitetea uamuzi wa kuwakopesha watoto wa watumishi tu kupata masomo ya vyuo vya kati. Hivi tunafeli wapi kama nchi. Hiyo...
1 Reactions
5 Replies
808 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…