Mbunge wa Simanjiro Christopher Ole Sendeka wakati akichangia hoja bungeni amempongeza Dr Tulia Ackson kwa kuchaguliwa kwa kura zote kuwa Spika wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na...
Kwenye interview hii aliyofanya na clouds tv naibu waziri wa kilimo Mh Hussein Bashe amesema alishawahi kushukiwa kama mwewe na hayati rais Magufuli pale alipoiba taarifa za kamati kuu na...
Kwenye video hii Tundu Lisu amemtetea spika Ndugai kutokana na kukataa kwa mara ya kwanza bunge kuwa rubber stamp wa serikali, kwani mikopo yote hupita bungeni lakini huu wa trillion1.3...
Waziri Mwambe aliyetumbuliwa leo alifikia hatua ya kusema ujenzi wa bandari ya bagamoyo uliwekewa jiwe la msingi na rais wa nne Jakaya Kikwete bila mkataba wowote
Na akaenda mbali zaidi kwa...
Mbunge wa viti maalumu mh Halima Mdee ameishukia vikali serikali bungeni kwani mpaka sasa mwaka wa fedha unaenda kuisha lakini hakuna barabara mpya ya lami hata moja iliyojengwa mpaka sasa,badala...
Tangu Mama kashika usukani kutwa kucha wamekuwa wakiwanga afeli
Walitegemea miradi ya kimkakati itafeli wapate cha kuongea badala yake miradi inaendelea na hakuna kilichosimama, kuanzia bwawa la...
Katibu mkuu wa CCM bwana Chongolo leo akiwa anazungumza na waandishi wa habari kuelezea mafanikio ya CCM kwa miaka 60 amesema kwenye ilani ya uchaguzi ya chama cha mapinduzi ya 2020 - 2025...
OFISI YA RAIS-UTUMISHI KUTEKELEZA KWA WAKATI MAELEKEZO YA MHE. RAIS YA KUPANDISHA MISHAHARA YA WATUMISHI
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe...
Halima Mdee na wenzie 18 tumesikia malalamiko yenu baada ya rufaa zenu kutupiliwa mbali na kufukuzwa uanachama wa Chadema kuwa maamuzi ya kuwafukuza yalifanywa kihuni.
Mnasema mliteuliwa kihalali...
HABARI YA MBOWE KUMTAFUTIA KAZI MBADALA MDEE NI #KUWEWESEKA
Mmmh! Hizi #hekaya hizi hazina sababu, kwamba Halima amekataa kazi ya mshahara wa 15,000USD aliyotafutiwa na Mbowe kwasababu ya...
Nachojua siasa za upinzani zinahitaji mtu asiyeyumba, Asiye na Tamaa na anayejitoa.
Kwa harakati wanazofanya hasa kwa kujitoa kwao, Zilivyo logical naamini Kuna sehemu watakipeleka chama mbali...
Kipindi cha maswali na majibu wabunge wa Tanganyika huuliza masuala mbalimbali kuhusu utekerezaji wa serikali katika miradi mbalimbali ya maendeleo.
Pia katika kuchangia bajeti mbalimbali za...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt.Hussein Mwinyi ametangaza ongezeko la mshahara kwa 15%
Kutokana na utaratibu huo kima cha chini cha mshahara kitapanda kutoka Tsh...
Halima Mdee ananiuma kwa sababu nyingi.Halima nimemtoa chuo kikuu akiwa msichana. Nimempika kwa gharama sana. Ndiyo maana nilitumia juhudi zangu zote hata kuwaita wazazi wake, wamshawishi aachane...
Na Mwandishi Wetu,
Kutoka Babati.
KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka, amesema uamuzi wa serikali kuwapanga vyema wafanyabiashara wadogo hauna...
ACT wazalendo ina Wabunge wanne wa kuchaguliwa wakati Chadema na Cuf sana mbunge mmoja mmoja.
Kwa sasa Chadema inaongoza PAC na kule LAAC ina makamu Wote kutoka Covid 19.
Ina maana wabunge wa...
Hivi kusambaza barua za ofisi kutoka Chadema kwenda taasisi nyingine kama vile Bunge NEC au kwa Msajili wa vyama vya siasa ni kazi ya Naibu katibu mkuu?
Chadema heshimuni vyeo vya Watendaji wenu
Kamati kuu ya NCCR-Mageuzi inakutana kesho, huku pia Halmashauri kuu ya chama hicho ikitarajia kukutana 21 May 2022.
Wakati Kamati Kuu ikikutana, hali ya mambo ndani ya chama hicho siyo shwari...
Mwanasiasa akiingia ndani na akakwambia nje mvua inanyesha toka kahakikishe...
Mwanasiasa akisema anakupenda... Geuza kwa upande wake kinyume...
Akisema amekufanyia hivi au vile... Chunguza...