Elitwege
JF-Expert Member
- Jun 4, 2017
- 5,154
- 10,809
Waziri Mwambe aliyetumbuliwa leo alifikia hatua ya kusema ujenzi wa bandari ya bagamoyo uliwekewa jiwe la msingi na rais wa nne Jakaya Kikwete bila mkataba wowote
Na akaenda mbali zaidi kwa kusema hayati rais Magufuli aliwandanganya watanzania kuhusu bandari ya bagamoyo na lazima ijengwe.
Spika aliyejihuzuru Job Ndugai alisafirishwa mpaka China kwa gharama za wachina na aliporudi akaanza kuponda ujenzi wa SGR na akaanza kupigia debe ujenzi wa bandari ya bagamoyo kwa kasi kubwa.
Mara baada ya kifo cha Magufuli ,Ndugai ndiyo alikuwa mtu wa kwanza kutangaza kuwa serikali lazima iendelee na ujenzi wa bandari na kwamba Magufuli alipotosha.
Laana ya kumsaliti Magufuli itang'oa wengi na bado.