Kwani Wabunge wa ACT Wazalendo hawawezi kuongoza PAC na LAAC hadi wasubiriwe wa Chadema tu?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
61,978
92,572
ACT wazalendo ina Wabunge wanne wa kuchaguliwa wakati Chadema na Cuf sana mbunge mmoja mmoja.

Kwa sasa Chadema inaongoza PAC na kule LAAC ina makamu Wote kutoka Covid 19.

Ina maana wabunge wa viti maalumu Chadema wana uwezo mkubwa kuliko vile vidume vya ACT wazalendo?!
 
Lord OSAGYEFO

JF-Expert Member
Feb 19, 2021
3,086
4,859
ACT wazalendo ina Wabunge wanne wa kuchaguliwa wakati Chadema na Cuf sana mbunge mmoja mmoja.

Kwa sasa Chadema inaongoza PAC na kule LAAC ina makamu Wote kutoka Covid 19.

Ina maana wabunge wa viti maalumu Chadema wana uwezo mkubwa kuliko vile vidume vya ACT wazalendo?!
Ukisikia kula Mbegu ndio huku Mwendazake hakujua kuwa Kamati hizo lazima ziongozwe na Upinzani baada ya kuiba kura zote za Wabunge wa Upinzani Akaona ili Awapate tena ili waongoza hizo KAMATI akawarubuni kina Halima na Genge lake kwani Wana Njaa Kali

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom