Halima Mdee wenye akili timamu tumekulewa

Lituye

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2015
Posts
1,864
Reaction score
5,697
Halima Mdee na wenzie 18 tumesikia malalamiko yenu baada ya rufaa zenu kutupiliwa mbali na kufukuzwa uanachama wa Chadema kuwa maamuzi ya kuwafukuza yalifanywa kihuni.

Mnasema mliteuliwa kihalali na hao Wahuni walio wafuta uanachama kihuni lakini wakati wakiwateua hamkuwaona kuwa ni Wahuni?

Mlikubali kwenda ktk mkutano kusikiliza rufaa za kesi mlizo peleka huku mkijua kuwa wanao sikiliza rufaa zenu ni Wahuni walio wateu ninyi kwenda Bungeni kihuni.

Lakini ktk rufaa zenu mlishindwa kuonesha uhalali na ushahidi pasi na shaka kwa wajumbe kuwa ninyi mliteuliwa kihalali na Chama chenu na hamana hatia yeyote.

Kwa kifupi ni kuwa kama walio wafuta uanachama ni Wahuni basi ni Wahuni hao hao ndio walio wapeleka Bungeni ninyi. Kwahiyo hakuna haja ya kulalamika mlipelekwa Bungeni kihuni na mmefutwa uanachama kihuni vilevile.
 
Mhuni mkuu ni Ndugai.
 
Ingekuwa North Korea wangepiga risasi hadharani iwe fundisho
 
Kwenye hiyo namba 8 mbowe pia aelwze Hela milioni miamoja alizopewa na sabodo za kujenga ofisi alizipeleka wapi? Halafu Kuna mtu mwenye akili kweli anaweza kumuamini mbowe?
Pole ndugu,
ninadhani wa kutiliwa mashaka zaidi ni wewe, uliye na ushahidi wa mambo yote hayo lakini wabakia 'kuloloma' tu, badala ya kuchukua hatua za kupeleka vyombo vya sheria.
 
Alikwambia hivyo mlivyokutana kichochoro gani?

Kwanini asingesema hivyo siku ile ya kikao cha baraza kuu alivyopewa nafasi ya kuongea?
 
Huyu demu ananivutiaga sana, natamani kupiga naye game ya kirafiki, doggy style
Mademu zake hawawezi kuruhusu hilo litokee hasa yule life-partner wake kwani wako sambamba 24/7, partnership yao iko tight mpaka kapotezwa muelekeo wa kisiasa.
 
Halima Mdee na wenzie 18 tumesikia malalamiko yenu baada ya rufaa zenu kutupiliwa mbali na kufukuzwa uanachama wa Chadema kuwa maamuzi ya kuwafukuza yalifanywa kihuni.

Mnasema mliteuliwa kihalali na hao Wahuni walio wafuta uanachama kihuni lakini wakati wakiwateua hamkuwaona kuwa ni Wahuni?

Mlikubali kwenda ktk mkutano kusikiliza rufaa za kesi mlizo peleka huku mkijua kuwa wanao sikiliza rufaa zenu ni Wahuni walio wateu ninyi kwenda Bungeni kihuni.

Lakini ktk rufaa zenu mlishindwa kuonesha uhalali na ushahidi pasi na shaka kwa wajumbe kuwa ninyi mliteuliwa kihalali na Chama chenu na hamana hatia yeyote.

Kwa kifupi ni kuwa kama walio wafuta uanachama ni Wahuni basi ni Wahuni hao hao ndio walio wapeleka Bungeni ninyi. Kwahiyo hakuna haja ya kulalamika mlipelekwa Bungeni kihuni na mmefutwa uanachama kihuni vilevile.
Imekaa vizuri. Hii isomwe na wale wanaowatetea hawa Covid 19.
 
Mtapata taabu sana
 
Back
Top Bottom