Ukiwa umebeba shoka, halafu ukikutana na mtu yoyote tu ukaona anazingua unampiga la kichwa (kwa kuwa unanguvu ya kulinyanyua na kushusha) huo si uongozi bora. Uongozi bora si kutumia silaha au...
Kwa siku mbili hizi za Jana na Leo nimepata nafasi ya kufuatilia bunge mubashara toka Dodoma. Nimetazama na kusikiliza lakini ile radha ya bunge haipo kabisa.
Kuna wenye hoja lakini kwa jinsi...
Nimeona niandike machache kwa leo yanayowahusu watumishi wa umma ambao ni walimu, watu wa sekta ya afya na kada mbalimbali katika utumishi wa umma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe...
Kazi ya mwanasiasa ni kufanya siasa.
Maamuzi ya mwisho ya kuwavua uwanachama wa CHADEMA wabunge Halima Mdee na wenzake 18 baada ya rufaa yao kukataliwa, huenda yakawatoa rasmi kwenye siasa za...
Wanawake mashujaa wa CHADEMA waliofukuzwa kihuni, Halima Mdee na wenzake bado wana nafasi ya kuipata haki yao.
Nawashauri waende mahakamani kuipata haki yao.
Kilichotokea kwenye mchakato wa...
Kwa jinsi navyozijua siasa za nchi hii, Mbowe ataalikwa kwenda Magogoni either yeye kama yeye, au ataambatana na viongozi wengine wa CHADEMA.
Watafanya yote ila target yao kubwa itakuwa ni kupata...
Hivi mnawaona watanzania kama watoto wadogo kiasi cha kuwadanganya namna hii?
Hii filamu ina nini nyuma yake mpaka muitetee hivi? Kuna nini kimejificha huko?
Haya unayotuambia PM Majaliwa ni...
Kelele za CHADEMA ni wimbo naona ni kelele tu ambazo hazina tija yoyote? Ikumbukwe kuwa katibu mkuu wa CHADEMA alilalamika kuwa sahihi yake ilighushiwa na wabunge 19 walioapishwa mwaka 2020 na...
Ukweli lazima usemwe.
Chadema ilipofikia inaelekea kufa kabisa katika siasa za vyama vingi Tanzania.
Chadema haikujengwa kwa sera bali ilijengwa na umahiri , weledi na uwezo wa mtu mmoja mmoja...
Nchi hii inaongozwa kwa sheria, kanuni na taratibu.
Swali la kujiuliza.
Je, ikiwa wale wabunge waliofukuzwa CHADEMA wakakata rufaa Mahakamani wataendelea kuwa Wabunge mpaka hapo Mahakama...
Nasema haipendezi kuona ndani ya bunge kuna wabunge wengine hawana vyama
Ili kuwatendea haki akina Halima Mdee na wenzake ni vema wamapewa kabisa kadi za CCM kama ilivyofa yika kwa Prof Kitila...
MEI MOSI NA MFUMUKO WA BEI; NINGEPUNGUZA PAYE KAMA RAIS MAGUFULI.
Leo 21:30pm 02/05/2022
Hayati Rais John Pombe Magufuli,alipunguza kodi katika mishahara kwa Wafanyakazi kutoka asilimia 11 hadi...
Mnyika anasema “Baada ya kutokea yaliyotokea nilikutana na Bulaya na wenzake ili dhamira yangu iniongoze, sawa wamekosea, lakini je, wapo tayari kutubu na kurudi?”
Anasema, “Nilichokigundua baada...
Huwa nawashangaa sana Chadema wanapomnenea mabaya hayati Magufuli
Chadema ni lazima waelewe hayati Magufuli yuko mioyoni mwa wata zania wengi na kwahiyo bado anaishi kwenye siasa za Tanzania...
Napenda kusema kwamba viongozi wa CHADEMA na kundi linaowaunga mkono waache nongwa kwa wabunge 19 walioapishwa na Spika Job Ndugai mwaka 2020 kwani kuwafukuza kwao kwenye chama bila kufuata...
Mwaka 2014, Zitto Kabwe aliitwa na Kamati Kuu ya Chadema akitakiwa kujibu tuhuma za usaliti dhidi ya chama lakini hakuitikia wito huo.
Badala yake Zitto kupitia kwa wakili wake Arbert Msendo...
Nilikuwa naongea na rafiki yangu hapa south africa. akawa ananiambia kuwa anatamani sana kama Rais Samia angekuwa Rais wao. Huyu jamaa yangu ni mfanya biashara mkubwa sana hapa Pretoria South...
OFISI YA WASEMAJI WA KISEKTA.
HOTUBA YA MSEMAJI WA SEKTA YA AFYA DR. NASRA OMAR – ACT WAZALENDO KUHUSU MAPITIO YA UTEKELEZAJI WA BAJETI NA HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA KWA MWAKA WA FEDHA 2022/23...
Kama hoja ni katiba mbona hata hii mbovu unavunjwa kila siku?
Sisi ni waovu, wabaya, watu tusiokuwa na maadili. Hili swala la hawa wanawake linaweza kuleta mgogoro mkubwa sana kama busara...