CCM yapata kipigo kingine kikali toka CHADEMA

Lituye

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
1,862
5,680
Ukiona adui yako anafurahia Jambo ulilo lifanya ujue ananufaika na Ujinga ulio ufanya hivyo fanya haraka kuangalia umekosea Jambo gani. Ukiona adui yako anakukosoa kuhusu Jambo ulilo lifanya ujue umemuumiza vibaya sana hakutegemea unge fanya Jambo hilo zuri lenye manufaa kwako.

CCM na Serikali yao walitwambia CHADEMA ingekufa kabla ya 2015 wakajiapiza akina Mwigulu Nchemba lakini Chadema ikazidi kunawili na kupata kura nyingi za mgombea urais uchaguzi wa mwaka 2015 na wabunge japo mgombea wa urais hakutangazwa kuwa rais ila ukweli ni kuwa Lowassa alimshinda Magufuli tena kwa mbali ila CCM walisema watashinda hata kwa bao la mkono.

Magufuli alisema Chadema itakufa kabala ya 2020 lakini pamoja na kuzuia mikutano ya hadhara alicho kipata ktk uchaguzi ule alijuta kuijua Chadema mpka akawa anasema eti wanatumia picha za miaka iliyopita kutuma ktk mitandao na hatujui yeye alipo na Chadema bado ipo inadunda na uchaaguzi ukavurugwa.

CCM walifungua kesi ya Ugaidi hewa dhidi Mbowe wakijua kuwa wakimfunga Mbowe Chadema itakufa lakini walipata kipigo Mahakamani mpka mashahidi wanaomba poo kwenda msalani na kwa aibu wakaifuta Ile kesi baada ya kuona Watanzania sio wajinga tena.

CCM waliwaleta Covid19 kusikiliza rufaa ktk mkutano wa Baraza kuu la Chadema wakijua kuwa kwa propa ganda uchwara walizo zifanya wajumbe wa Baraza kuu wangeweza kugawanyika na hatimaye wangeamua kuwa akina Mdee wasifukuzwe ili pawepo mgogoro ndani ya Chadema.

Covid19 waliletwa na bus lao maalumu wakiwa na ulinzi wao maalumu toka serikalini wanako lindwa ili kuja kupima upepo wa Chadema.

Kipigo walicho kipata hawakuamini maana kura zilipigwa wazi Mbele yao na msajili wao akiona kuwa Chadema ni Chama Cha watu wenye Akili timamu na wanao simamia misingi ya Chama chao.

CCM na serikali yake haiwezi kutetea wabunge wa Chadema kwa kuitaka Chadema ifuate KATIBA yao ili hali siku zote wanatamka maneno ya kuiombea ife na kufanya vitendo vya kunyanyasa, kuteka kuwapiga Risasi, kuwafungulia kesi za michongo wafuasi wa Chadema.

Ni wajinga wachache Kama akina Paschal ndio wanao kuja na porojo za Mahakama hapa jukwaani kwa kufikiri kwa kutumia Makalio yao.

Kama Chadema ndio iliyo wapeleka wakina Mdee Bungeni na Bunge likaridhia kwa nini Bunge Hilo Hilo linakata maamuzi ya Chama kile kile kuwaambia Sasa walio wapeleka wamewatengua? Walijuaje maamuzi ya kuwateua yalikuwa sahihi na Sasa ya kuwatengua hayapo sahihi mpka wapate taarifa ya Mahakama? Kama bunge walikubali maamuzi ya Chama kuwa teua ubunge ndio ya mwisho kwa nini hawataki kuona maamuzi ya Chama hicho ktk kuwatengua?

CCM Wana huruma gani na chadema? Ni kwanini hawakuwa na huruma na Tundu Antipas Lissu aliye pigwa Risasi nyumbani kwake mchana kweupee na akiwa matibabuni nje ya nchi walimfukuza ubunge na kumnyima maslahi yake? Mbona Chadema haikuwahi kumwandikia spika taarifa kuwa hawana taarifa za mbunge wao alipo?

Ni kwa nini CCM na Bunge lao hawakuwa na huruma na wabunge wa CUF walionfukuzwa na Lipumba japo walifungua kesi Mahakamani lakini spika ndugai alisema kuwa hawatambui kwa kuwa wamepoteza sifa za kuwa wanachama wa Chama kilicho wadhamini kwenda Bungeni?

Watanzania wenye Akili msisumbuke na Paschal. Paschal ana njaa kali na hata Magufuli kabla hajafa alibaini hilo kuwa jamaa anatumia tumbo kufikiri. Covid19 walitenga milioni400 kwajili ya kulinda ubunge wao na Paschal kwa njaa zake anatumia nafasi hiyo kushibisha njaa zake.

Maendeleo hayana Vyama.
 
Hapa walipigwa kwa kitu kizito pia
 
Ni wajinga wachache Kama akina Paschal ndio wanao kuja na porojo za Mahakama hapa jukwaani kwa kufikiri kwa kutumia Makalio yao.
Mkuu uache matusi sasa. Tuweke hoja zetu vizuri kama ulivyofafanua epuka matusi
 
Kipigo walicho kipata hawakuamini maana kura zilipigwa wazi Mbele yao na msajili wao akiona kuwa Chadema ni Chama Cha watu wenye Akili timamu na wanao simamia misingi ya Chama chao.
kWenye mikutano yao kura wanapiga kwa kujificha au kwa kusimama mmoja mmoja ili anayepinga maamuzi ashughulikiwe baadae😀😀
 
SASA KWANI CHADEMA INA NGUVU GANI SASA HIVI UKIZINGATIA MWENYEKITI MBOWE TAYARI YUKO KWENYE HIMAYA YA CHIFU HANGAYA KILA SIKU ANAKUNYWA KAHAWA IKULU MNACHEZA NA MCHAGA NYIE HICHO SIYO CHAMA NI SACCOS YA MBOWE NA WAKWE ZAKE ENDELEENI KUPOTEZA MUDA WENU
 
Back
Top Bottom