Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Tanzania imebarikiwa kuwa na mchanganyiko wa hali ya hewa inayoakisi karibu mabara yote duniani. Yapo maeneo yenye mvua hadi kero, maeneo yenye baridi, sehemu zenye mvua chache na kadhalika. Mbali...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Leo waziri wa habari Napa wakati akisoma bajeti ya wizara amesema wizara imetenga bajeti ya kuchapisha picha ya raisi nakala 12794. Si Jambo baya Ila kwa wakati huu sjo sahihi, serikali mara...
6 Reactions
28 Replies
2K Views
Leo huko kwenye mkutano wa raisi naona kila waziri anasema eneo lake ila kila baada ya sentensi wanamshukuru raisi kwa kibwagizo Cha tokea Uhuru haijawahi kutokea. Huwa mara zote najiuliza raisi...
10 Reactions
46 Replies
3K Views
Imeelezwa kwamba Wakuu hawa wa Mikoa na Wilaya enzi za awamu ya 5 walimsifia sana Mh Rais wa Wakati huo na kumpamba sana , Lakini jambo hilo halifanyiki kwenye awamu ya 6 , ambako Rais wa sasa...
7 Reactions
70 Replies
5K Views
Hotuba ya Waziri wa Ulinzi na JKT, Dkt. Stergomena Tax wakati akiwasilisha Bajeti ya Wizara yake kwa mwaka wa Fedha 2022/2023 Bungeni, Mei 19, 2022. HOTUBA YA DKT. STERGOMENA LAWRENCE TAX...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Kubali ukatae Samia bado anawaitaji Sana Chadema, ndo maana mwanzoni mwa utawala wake alikuwa anaongea kwa jeuri, kiburi juu ya Chadema na Kesi ya Mbowe, aliwaona Chadema kama Chama kidogo Ila...
19 Reactions
62 Replies
3K Views
Mbunge Salome Makamba, amesema kuwa habari ya mabando kuisha muda wake baada ya kujiunga ni sawa na kuwaibia watanzania, adai kuwa ukijuinga bando la simu liwe la dakika za maongezi au la data...
9 Reactions
17 Replies
2K Views
Kifungu hiki nimeakiambatanisha chini kinazuia watu walio katika hifadhi,mabondeni,Pembezuni mwa eneo la Barabara na maeneo mengine yanayoitwa hatarishi kutotakiwa kuwekewa anwani za makazi...
0 Reactions
0 Replies
940 Views
Moja kwa moja kwenye mada. Katika Hali ya kushangaza, Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Rorya Mkoa wa Mara walikutana usiku kupanga njama za kumteka Mwenyeki wa Halmashauri yao. Kiini cha...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
RIDHIWANI: WALIOTELEKEZA NYUMBA ZA NHC KUNYANG'ANYWA. Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete amewataka wapangaji wa nyumba za Shirika la Nyumba la Taifa...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwanza kabisa ni declare my interest, nimekuwa muumini sana na siasa za Mh, Jakaya Kikwete pamoja Ally Hassan Mwinyi. Twende kwenye point yangu ya msingi, huyu mama ana siasa za kiustaarabu sana...
0 Reactions
1 Replies
743 Views
Mbunge wa Ukonga akichangia bajeti ya Wizara ya Habari na Mawasiliano leo Bungeni, amesema licha ya Serikali kuwa na Kituo cha Taifa Cha Takwimu za Mtandao (NIDC) na Mamlaka ya Serikali ya...
3 Reactions
1 Replies
1K Views
Ardhi si mali ya Muungano: "Mwanasheria anena na JAMHURI" "Sheria ya Ardhi ya Zanzibar ya mwaka 1992 hairuhusu mtu asiye Mzanzibari (wakiwamo Watanganyika) kumiliki ardhi Zanzibar."...
1 Reactions
12 Replies
9K Views
Waziri mstaafu wa Awamu ya 5 Dr Kigwangalla amesema katika awamu yao Wawekezaji walikimbia.kwa maelfu lakini sasa wameanza kurejea kwa kasi. Dkt. Kigwangalla amemshukuru sana Rais Samia kwa...
5 Reactions
57 Replies
4K Views
AWAMU YA 6 INAVYOCHANGA VYEMA KARATA KUKABILIANA NA TATIZO LA AJIRA NCHINI KWA KUTENGENEZA AJIRA MILIONI 8. Na Bwanku M Bwanku. Jana Alhamisi Mei 19, 2022 kwenye Gazeti la TANZANIA LEO Ukurasa...
1 Reactions
2 Replies
909 Views
Mbunge wa viti maalum, Judith Kapinga leo bungeni ameongelea kuhusu sheria ya ulinzi wa data na utaratibu wa kuomba 'Loss report' LOSS REPORT Mbunge Judith amesema utaratibu wa kuambiwa kutafuta...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mikutano ya ikulu kimya kimya akienda peke yake. Ishu ya wabunge wa covid 19 alivyokuwa anawatafuta kimya kimya Kufanya negotiation wakati walishafukuzwa mpakaa kutaka kumuonga kazi Halima...
19 Reactions
76 Replies
4K Views
Mbunge Ester Bulaya (Viti Maalum) amesisitiza Mabadiliko katika Sheria ya Huduma ya Habari 2016 akisema Waandishi wa Habari bado wanatishwa na hawafanyi kazi kwa Uhuru kwenye baadhi ya maeneo...
0 Reactions
0 Replies
817 Views
Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Hassan Abbasi wakati wa uzinduzi wa Royal Tour Dodoma leo amempongeza Rais Samia kwa kazi kubwa aliyoifanya wakati wa utengenezwaji wa Filamu...
4 Reactions
14 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…