Cathelin
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 2,071
- 3,992
Kubali ukatae Samia bado anawaitaji Sana Chadema, ndo maana mwanzoni mwa utawala wake alikuwa anaongea kwa jeuri, kiburi juu ya Chadema na Kesi ya Mbowe, aliwaona Chadema kama Chama kidogo Ila kesi ya Mbowe, ilimfundisha pakubwa.
Baada ya kesi ya Mbowe, Samia alikumbana na kitu kizito Sana, si nchini au Ughaibuni, kila alikoenda Ni Mbowe, Mbowe, uku nchini ilikuwa Mbowe, Mbowe baada ya Moto kuwaka ndani na nje, akabadirika akamuachia ndo Mambo ya Maridhiano yakaanza.
Sasa unataka maridhiano ya kweli uku unamchezea rafu unayetaka maridhiano naye, huu Ni uhuni. Endapo Bunge la CCM litawakumbatia Covid-19, Basi Chadema wajitoe kwenye maridhiano ya Samia, wamwache Samia na CCM yake.
Na Mbowe alisema Kama muafaka hautapatikana kwa maridhiano watarudi kwenye ground yaani kwa Wananchi, hii ni Mbaya maana Samia anajua akimdhibiti Mbowe kwa Dora ni dosari kwenye utawala wake mbele ya macho ya Dunia.
So Chadema you have nothing to lose. Wabunge 19 wakikubaliwa Bungeni jitoeni kwenye maridhiano Rais Samia abaki na vyama shikizi