Hongera Rais Samia na Mbowe kutafuta maridhiano

Hongera Rais Samia na Mbowe kutafuta maridhiano

Lord OSAGYEFO

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2021
Posts
3,079
Reaction score
4,893
Ni AIBU kwa walikuwa Wanachochea UHASAMA na CHUKI kwa WATANZANIA kupitia CCM na CHADEMA.

Hakika RAIS SAMIA na Mh. MBOWE "LEGACY" ya Kutafuta MARIDHIANO itakumbukwa na VIZAZI Vilivyopo na VIJAVYO

NAWACHUKIA SANA wale wote WANAOBEZA na KUJELI Vikao vya Mh.RAIS na Mwenyekiti wa CHADEMA.

Ni Imani ya Watanzania Viongozi hao wawili Watalipatia Ufumbuzi Suala zima la CHUKI iliyojengwa na UTAWALA wa AWAMU ya 5 Chuki ambayo HAIKUWAHI KUWEPO toka Mfumo wa VYAMA VINGI umeanzishwa.

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Ni AIBU kwa walikuwa Wanachochea UHASAMA na CHUKI kwa WATANZANIA kupitia CCM na CHADEMA
Hakika RAIS SAMIA na Mh.MBOWE "LEGACY" ya Kutafuta MARIDHIANO itakumbukwa na VIZAZI Vilivyopo na VIJAVYO
NAWACHUKIA SANA wale wote WANAOBEZA na KUJELI Vikao vya Mh.RAIS na Mwenyekiti wa CHADEMA.
Ni Imani ya Watanzania Viongozi hao wawili Watalipatia Ufumbuzi Suala zima la CHUKI iliyojengwa na UTAWALA wa AWAMU ya 5 Chuki ambayo HAIKUWAHI KUWEPO toka Mfumo wa VYAMA VINGI umeanzishwa.

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
MUNGU ibariki Tanzania
JamiiForums692172956.jpg


Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Kweli ni aibu hadi tukapitwa demokrasia na zambia na malawi wakaheshimika duniani sisi tupotupo kama matoroli
 
Yaani leo mitandao yote imechafuka Na ujinga huu nikafikiri fikiri bei ya vitu imeshuka kumbe ni ujinga huu Haya tuambie Sasa nini tumepata sisi watanzania
 
Back
Top Bottom