Huyu mwalimu wa Rais Samia alisomea combination gani?

Teko Modise

JF-Expert Member
May 20, 2017
1,911
6,001
Bi Khadija alimfundisha Mh. Rais Hesabu na Kiingereza alipokuwa form two/three.

Je, huyu Mwl Khadija alisomea combination gani mpaka akaja kufundisha Hesabu na Kiingereza?

DD294B12-F8EA-4450-830A-146DF0F3D683.jpeg
 
Bi Khadija alimfundisha Mh. Rais Hesabu na Kiingereza alipokuwa form two/three.

Je, huyu Mwl Khadija alisomea combination gani mpaka akaja kufundisha Hesabu na Kiingereza?

View attachment 2232770
Labda ni mwalimu QT!
So, anafundisha masomo yote.
Bt kwa sekondari za kawaida ni vigum kukutana na mwl wa masomo hayo kwa pamoja.
Itabidi atafutwe atupe details zaidi!
 
Labda ni mwalimu QT!
So, anafundisha masomo yote.
Bt kwa sekondari za kawaida ni vigum kukutana na mwl wa masomo hayo kwa pamoja.
Itabidi atafutwe atupe details zaidi!
Inawezekana alikuwa mwalimu wa shule ya msingi wa hesabu na kiingereza akajiendeleza baadaye akawa mwalimu wa sekondari.

Mimi namfahamu mwalimu wangu wa shule ya msingi alikuwa anafundisha hesabu na kiingereza na alikuwa vzuri sana.. sasa hivi anafundisha sekondari ktk masomo hayohayo.

Alijiendeleza chuoni
 
Bila shaka PCM. Then akajiongeza/akaombwa kufundisha English kwa kuwa labda hakukuwa na waalimu

Aliyesoma HGL hawezi kusogea kufundisha Mathematics
Inawezekana hata kwa mtu aliyesoma HGL kufundisha hesabu kama kuna uhaba wa mwalimu wa hesabu.

Ninao ushahidi mnamo mwaka 2012 halmashauri ya manispaa ya shinyanga(jina la shule kapuni) kuna mwalimu alikuwa anafundisha civics form four na basic mathematics form one.Hivi vitu ukiwa unaambiwa tu unaweza usiamini kwa kuwa pengine umepita shule zisizokuwa na changamoto.Hiki ni kitu nilichoshuhudia kwa macho yangu.

Mungu amlaze mahali pema peponi mwalimu huyu,maana alishatangulia mbele ya haki.
 
Watu wanajifanya hawajui changamoto ya uchache wa walimu wa masomo ya hesabu na sayansi.
 
Ukiachia mbali hoja ya combination, na kama alimfundisha sekondari ya kawaida, bado kuna maswali mengi.
Ikiwa rais ana 60+yrs, huyo mwalimu wake ana umri gani?

Je, ni kulipa fadhila au kuna tija kwa taifa?
Halafu collegemate wake anaonekana mzee kuliko mwalimu wake.
Duh nchi hii, kazi kweli!
 
Bi Khadija alimfundisha Mh. Rais Hesabu na Kiingereza alipokuwa form two/three.

Je, huyu Mwl Khadija alisomea combination gani mpaka akaja kufundisha Hesabu na Kiingereza?

View attachment 2232770
Mbona kazi rahisi. Wale vichwa mnanielewa. Wazee wa Mabanda yooote 7 au 10 kabisa. Sio vilaza wa siku hizi anasoma masomo manne tu na bado anafeli yoote.
 
Hizi tahasusi huwa zinabadilika badilika mkuu. Siyo msahafu.

Ndiyo maana mwaka juzi zimetengezwa nyingine kama
KMC = KISW, MATH, CHEM
CPM = COMPUTER, PHY, MATH
CMC = COMPUTER, MATH, CHEM
KFC = KISW, FRENCH, CHINESE
CFC = COMPUTER, FRENCH , CHINESE
Nyingine ni MEG Maths English Geography
 
Kwa walimu wa sampuli hiyo,inaakisi matokeo ya upande wa pili wa muungano.

Hiyo ni "Goli kona" hakuna tahasusi hapo.
 
Back
Top Bottom