Kada wa CCM amchana Mbunge Gambo kuhusu ufisadi aliofanya Arusha

waziri2020

Senior Member
May 31, 2019
190
451
Mbunge wa Arusha Mjini Mrisho Gambo kashindwa kujibu hizi hoja za kada mtiifu wa CCM kaamua kutumia jeshi la polisi wilaya ya Arusha kumweka ndani

Kada huyo Benny maarufu kama Trump ameshikiliwa na jeshi la polisi kwa siku tatu akipatiwa mateso makali akionywa aache kumfuata fuata mbunge huyo wa Arusha Mjini

Mesage zilizomweka matatani Trump hiyo hapa

TUNATAKA MRISHO MASHAKA GAMBO ACHUNGUNZWE

Walileta mgogoro wa ujenzi wa stendi kubwa Arusha akiwa yeye na Mwenyikiti wa CCM wilaya Arusha jiji mpanga safu mwenzake wamenunua viwanja kwa siri wakilazimisha Serekali inunue maeneo Yao kwajili ya kujenga stend ya Arusha jiji ambayo paka Leo aipo aijajengwa sababu ni yeye akiwa RC na ndio sababu za kuleta chochocho za kumfitini mkurugezi Madeni na DC Daqaro hapa Arusha na kama serekali inataka ushaidi wakaletwe apa CD Madeni na DC Daqaro ushaidi uko wazi mwinzi kiongozi wa jiji ninani paka Sasa tunavyo ongea

Swali langu au jibu anatoa wapi ujasiri wakuita wengine wezi nakuwafukuza kazi wakati yeye ndio mualifu mkuu paka Sasa

Tunataka kuona serekali ikiwa makini na mtu uyu nasio vinginevyo kwenye jiji letu la arusha

*

Kusimamia ufisadi wa vibanda 395 vilivyopo stand ndogo Arusha ambavyo ni mali halali ya halimashauri ya Jiji la Arusha. Huku akifahamu vibanda vile vilijengwa kwa makubaliano ya waliovijenga kuvitumia bure kabisa kwa miaka kumi Ili kurejesha gharama zao, aliitisha kikao katika ukumbi wa mkuu wa mkoa na kuwabatiza mafisadi ambao wengi hawakujenga vibanda hivyo kwamba ni "wawekezaji wajenzi" huku akijua si kweli. Kwa hatua hiyo aliikosesha mapato makubwa sana halmashauri ya Jiji la Arusha. Akiwa mkuu wamkoa wa Arusha huku akijua ni jukumu lake kama mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama, kuhakikisha wananchi na mali zao ni salama, aliruhusu wawekezaji hao wajanjawajanja KUHARIBU mali za wafanyabiashara, kuvunja na kuiba Mali, kufungia maduka mengi bila sababu za MSINGI na kinyume na utaratibu huku wafanyabiashara hao wakiwa wamelipa kodi. Kuingilia kazi za mkurugenzi wa Jiji, pia wawekezaji wajenzi hao walipuuza amri halali za mahakama. Swala hili mpaka leo limeendelea kuleta sintofahamu, na kushindikana kufanyika maboresho eneo hilo Kwa maslah mapana ya wakazi wa Arusha. Wakati huo wafanyabiashara halali wamebaki wakiwa na waswas na biashara zao huku wakitishiwa Sana na wajenzi hao FEKI. Serkali ifanye uchunguzi yakinifu kuhusiana na swala hili. Live pls

Beny Heny Trump sipendi ujinga uyu mtu anatoa wapi ujasiri wakubeza wenzio kwenye jiji la arusha wakati yeye Dunia inajua ni tatizo

Sina hatia kama anajiamini atoke adharani yeye na genge lake la wapanga safu Ccm arusha jiji na wale walioko serekali na kamchezo kao kakulindana tunataka achunguzwe

MUKAPIMWE AKILI LIVE PLS

Wakati munamsema we zenu majizi jiji wakati nayie muliwai kua apo mukaiba muwe wa wazi kwanza kwenye mulio ya fanya awali

Mukisema kuhusu Machinga kwenye jiji la arusha kua gambo ni mtetezi tena kuhusu samunge munakosea Sana Sana kabisa

BINGWA NA MTETEZI WAMACHINGA KWENYE JIJI LA ARUSHA ALIKUA DC MOGELA AMBAYE SASA NDIO RC WA MKOA KWA Sasa Ndio alio waweka pale samunge mukapimwe akili

MULICHO FANYA NYIE SAMUNGE NIKULICHOMA SOKO MOTO NAKUCHUKUA PESA ZA WADAU KINYEMELA KUGAWA MABATI FEKI NAKUWEKA WATU LOKAPU KILOFA BILA MAKOSA MKIGOMA KUAMBIWA KWELI ALAFU LEO MUNAJIFANYA SAMUNGE YENU KWELI SHETANI HANA AIBU LIVE PLS

MUKAPIMWE AKILI WATU WOTE MULIO NYUMA YA SHETANI WAJIJI LETU NDIO MAANA MUNAKIMBILIA KUJENGA SAFU KWENYE CHAMA MUKIFIKIRIA MUTAKUA SALAMA MUWE HURU KWENYE KILA IDARA MUONE MATOKEO

BENY HENY TRUMP SIPENDI UJINGA WAKUMSIFU SHETANI BURE WAKATI HANA KITU KWETU LIVE PLS
 
Ulivyoandika x badala ya c nikakuona kilaza kabisa

USSR
 
Mbunge wa Arusha Mjini Mrisho Gambo kashindwa kujibu hizi hoja za kada mtiifu wa CCM kaamua kutumia jeshi la polisi wilaya ya arusha kumwek ndani

Kada huyo Benny maarufu kama Trump ameshikiliwa na jeshi la polisi kwa siku tatu akipatiwa mateso makali akionywa aache kumfuata fuata mbunge huyo wa Arudha Mjini

Mesage zilizomweka matatani Trump hiO hapa

TUNATAKA MRISHO MASHAKA GAMBO ACHUNGUNZWE

Walileta mgogoro wa ujenzi wa stendi kubwa arusha akiwa yeye na Mwenyikiti wa Ccm wilaya arusha jiji mpanga safu mwenzake wamenunua viwanja kwa siri wakilazimisha serekali inunue maeneo Yao kwajili ya kujenga stend ya arusha jiji ambayo paka Leo aipo aijajengwa sababu ni yeye akiwa RC na ndio sababu za kuleta choxhocho za kumfitini mkulugezi maden na DC daqaro apa arusha na kama serekali inataka ushaidi wakaletwe apa CD Madeni na DC Daqaro ushaidi uko wazi mwinzi kiongozi wa jiji ninani paka Sasa tunavyo ongea

Swali langu au jibu anatoa wapi ujasiri wakuita wengine wezi nakuwafukuza kazi wakati yeye ndio mualifu mkuu paka Sasa

Tunataka kuona serekali ikiwa makini na mtu uyu nasio vinginevyo kwenye jiji letu la arusha

*

Kusimamia ufisadi wa vibanda 395 vilivyopo stand ndogo Arusha ambavyo ni mali halali ya halimashauri ya Jiji la Arusha. Huku akifahamu vibanda vile vilijengwa kwa makubaliano ya waliovijenga kuvitumia bure kabisa kwa miaka kumi Ili kurejesha gharama zao, aliitisha kikao katika ukumbi wa mkuu wa mkoa na kuwabatiza mafisadi ambao wengi hawakujenga vibanda hivyo kwamba ni "wawekezaji wajenzi" huku akijua si kweli. Kwa hatua hiyo aliikosesha mapato makubwa sana halmashauri ya Jiji la Arusha. Akiwa mkuu wamkoa wa Arusha huku akijua ni jukumu lake kama mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama, kuhakikisha wananchi na mali zao ni salama, aliruhusu wawekezaji hao wajanjawajanja KUHARIBU mali za wafanyabiashara, kuvunja na kuiba Mali, kufungia maduka mengi bila sababu za MSINGI na kinyume na utaratibu huku wafanyabiashara hao wakiwa wamelipa kodi. Kuingilia kazi za mkurugenzi wa Jiji, pia wawekezaji wajenzi hao walipuuza amri halali za mahakama. Swala hili mpaka leo limeendelea kuleta sintofahamu, na kushindikana kufanyika maboresho eneo hilo Kwa maslah mapana ya wakazi wa Arusha. Wakati huo wafanyabiashara halali wamebaki wakiwa na waswas na biashara zao huku wakitishiwa Sana na wajenzi hao FEKI. Serkali ifanye uchunguzi yakinifu kuhusiana na swala hili. Live pls

Beny Heny Trump sipendi ujinga uyu mtu anatoa wapi ujasiri wakubeza wenzio kwenye jiji la arusha wakati yeye Dunia inajua ni tatizo

Sina hatia kama anajiamini atoke adharani yeye na genge lake la wapanga safu Ccm arusha jiji na wale walioko serekali na kamchezo kao kakulindana tunataka achunguzwe

MUKAPIMWE AKILI LIVE PLS

Wakati munamsema we zenu majizi jiji wakati nayie muliwai kua apo mukaiba muwe wa wazi kwanza kwenye mulio ya fanya awali

Mukisema kuhusu Machinga kwenye jiji la arusha kua gambo ni mtetezi tena kuhusu samunge munakosea Sana Sana kabisa

BINGWA NA MTETEZI WAMACHINGA KWENYE JIJI LA ARUSHA ALIKUA DC MOGELA AMBAYE SASA NDIO RC WA MKOA KWA Sasa Ndio alio waweka pale samunge mukapimwe akili

MULICHO FANYA NYIE SAMUNGE NIKULICHOMA SOKO MOTO NAKUCHUKUA PESA ZA WADAU KINYEMELA KUGAWA MABATI FEKI NAKUWEKA WATU LOKAPU KILOFA BILA MAKOSA MKIGOMA KUAMBIWA KWELI ALAFU LEO MUNAJIFANYA SAMUNGE YENU KWELI SHETANI HANA AIBU LIVE PLS

MUKAPIMWE AKILI WATU WOTE MULIO NYUMA YA SHETANI WAJIJI LETU NDIO MAANA MUNAKIMBILIA KUJENGA SAFU KWENYE CHAMA MUKIFIKIRIA MUTAKUA SALAMA MUWE HURU KWENYE KILA IDARA MUONE MATOKEO

BENY HENY TRUMP SIPENDI UJINGA WAKUMSIFU SHETANI BURE WAKATI HANA KITU KWETU LIVE PLS
Mrisho Gambo hana utofauti na Sabaya, alikuwa toto pendwa la Jiwe na kwenye kura ya maoni ya ubunge alipita kindavandava.
 
Mrisho Gambo na Bashite ndio walewale watoto wa Jiwe sasa hivi wanajifanya nao Chawa wa Samia!!!Kingwangala nae anajitahidi kuwa chawa lakini hakubariki kwani hana mvuto tena!!!
 
Kweli ccm kumejaa vilaza, huyo mtoa tuhuma hata kuandika kwa ufasaha ni shida.

Japo amesema kweli kuwa Gambo ni jizi lililofaidika na utawala wa kidhalimu wa Magufuli.
 
Back
Top Bottom