CHADEMA masuala mengine aibu tupu

Getrude Mollel

JF-Expert Member
Apr 26, 2022
259
353
Sawa tunatambua hamna ofisi ya maana inayoendana na hadhi ya chama chenu. Lakini tunajua pia mnapata hela kupitia michango ya wanachama.

Haipendezi hadi leo mnatumia Gmail kwenye mawasiliano yenu. Hiki chama kina watu, takribani miaka 30 sasa, bado mnafanya mambo ya ajabu kama haya.

Kuchukua dola kunategemea mambo mengi sana, sio kura tu za Watanzania. Kuna mambo huwa tunatazama kuona namna gani mko 'serious' ili tuwape dhamana kubwa zaidi.

Ila mkishindwa mambo madogo kama haya mtapata sana taabu huko mbeleni.
20220523_075143.jpg
 
Sawa tunatambua hamna ofisi ya maana inayoendana na hadhi ya chama chenu. Lakini tunajua pia mnapata hela kupitia michango ya wanachama.

Haipendezi hadi leo mnatumia Gmail kwenye mawasiliano yenu. Hiki chama kina watu, takribani miaka 30 sasa, bado mnafanya mambo ya ajabu kama haya.

Kuchukua dola kunategemea mambo mengi sana, sio kura tu za Watanzania. Kuna mambo huwa tunatazama kuona namna gani mko 'serious' ili tuwape dhamana kubwa zaidi.

Ila mkishindwa mambo madogo kama haya mtapata sana taabu huko mbeleni.View attachment 2235016
Kwa hiyo hicho ndio kipimo chako na dhamana wanatoa wananchi Kwa Chama Chao wanachokipenda Chadema.Pia ninachojua mawasiliano ni mawasiliano na mawasiliano ambayo mtu anayaamini atayatumia bila mashaka.
 
Ukweli mchungu.Hii ni critisism ya kujenga ili muonekane mpo serious.
 
Kwa hiyo hicho ndio kipimo chako na dhamana wanatoa wananchi Kwa Chama Chao wanachokipenda Chadema.Pia ninachojua mawasiliano ni mawasiliano na mawasiliano ambayo mtu anayaamini atayatumia bila mashaka.
Yaani kama hadi leo bado unawaza tu kwamba mawasiliano ni mawasiliano bado una safari ndefu sana, pole sana.
 
Sawa tunatambua hamna ofisi ya maana inayoendana na hadhi ya chama chenu. Lakini tunajua pia mnapata hela kupitia michango ya wanachama.

Haipendezi hadi leo mnatumia Gmail kwenye mawasiliano yenu. Hiki chama kina watu, takribani miaka 30 sasa, bado mnafanya mambo ya ajabu kama haya.

Kuchukua dola kunategemea mambo mengi sana, sio kura tu za Watanzania. Kuna mambo huwa tunatazama kuona namna gani mko 'serious' ili tuwape dhamana kubwa zaidi.

Ila mkishindwa mambo madogo kama haya mtapata sana taabu huko mbeleni.View attachment 2235016
Nashangaa sana Chadema wanavyoweza kuendesha chama vizuri bila hata kulipwa ruzuki! Kweli Mbowe ni mwamba.
 
Sawa tunatambua hamna ofisi ya maana inayoendana na hadhi ya chama chenu. Lakini tunajua pia mnapata hela kupitia michango ya wanachama.

Haipendezi hadi leo mnatumia Gmail kwenye mawasiliano yenu. Hiki chama kina watu, takribani miaka 30 sasa, bado mnafanya mambo ya ajabu kama haya.

Kuchukua dola kunategemea mambo mengi sana, sio kura tu za Watanzania. Kuna mambo huwa tunatazama kuona namna gani mko 'serious' ili tuwape dhamana kubwa zaidi.

Ila mkishindwa mambo madogo kama haya mtapata sana taabu huko mbeleni.View attachment 2235016
Hiyo Gmail inapunguza nini juu mawasiliano? Makahaba wa twitter mna matatizo sana
 
Yaani kama hadi leo bado unawaza tu kwamba mawasiliano ni mawasiliano bado una safari ndefu sana, pole sana.
Tuambie tatizo unaliona wapi,na kwanini kwakuwa uhuru wa habari hapa kwetu ulikuwa jinai,Hivyo ni Bora kutumiwa mifumo huru ya ulimwengu huu kuliko kutegemea Ile ya nyumbani ambayo inaweza kufanyiwa uharamia na watu wa nyumbani Kwa kuwa ndio wa toa huduma🚶
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom