Salaam Wakuu,
Chama kipya cha Siasa kinachoitwa Umoja Party, inasemekana ni chama kinachofuata, Uongozi wa Hayati Magufuli. Inasemekana Vigogo wengi wa CCM wapo nyuma ya hiki chama.
Wafuasi...
Niliposikia kwa mara ya kwanza kwamba hii Sinema ya Royal Tour (ambayo Rais wetu Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan ni Main Actor and Tour Guide) ina assert kwamba kifo cha Hayati John Pombe Magufuli...
Kiwanda cha kutengeneza matairi cha General Tyre kiliwahi kuwa na mchango mkubwa sana katika uchumi wa mkoa wa Arusha na Taifa kwa ujumla.
Kili generate ajira nyingi za moja kwa moja na zisizo za...
Ilikuwa katika kuchangia hoja ya kumpongeza Rais Samia kwa kutunukiwa Tuzo ya Babacar Ndiaye huko Accra Ghana.
Kwamba ni Rais ambaye amesimamia vizuri Ujenzi wa Miundombinu ya Barabara kwa mwaka...
[emoji778] Abiria kutoka Nje waongezeka kwa asilimia 106
[emoji778] Mashirika Makubwa Emirates, Qatar yaongeza safari. Emirates ndege 7 kwa wiki, Qatar ndege 15 kwa wiki
[emoji778] Dege kubwa la...
Inatajwa kuwa miaka ya 1980s kuelekea 90s Mzee Mwinyi akiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alivunja Baraza lake la mawaziri.
Nini kilimfanya alivunje baraza hilo
Inasemekana kuna waziri...
Nawasalimu kwa JMT.
Bila kupoteza muda, Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan imedhamiria kufuta kabisa tatizo la kukosekana kwa maji safi na salama Vijijini na mijini.
Kwa mwaka mmja uliopita...
Kabla sijafika miji mikongwe kama Bagamoyo nilijua ni miji ya kuvutia kwa makazi yaliyoboreshwa kumbe nilikuwa najidaganya.
Tuongelee mji wa Bagamoyo na makazi yake, yaani wingi wa nyumba za...
Mjumbe wa halmashauri kuu ya ACT wazalendo mh Jussa amesema chama chake kimepeleka mapendekezo yake kwa Kikosi kazi cha Prof Mkandalla na Zitto Kabwe
Mapendekezo yako 10 ikiwemo hitaji la Katiba...
Mkuu wa mkoa mpya wa Dares Salaam bwana Amos Makala mara alipoapishwa tu alitoka mbiombio kwenda kufanya kazi na kero ya kwanza aliyoiona kwenye jiji la Dar es Salaam ni wamachinga kufanya...
Kama kweli ikiiwa tunataka nchi yetu Ipige hatua, ni vyema kila changamoto inayojitokeza, tuione kama fursa ya kutufikisha pahala!
JPM ingawa hatumpendi, lakini wakati wa Covd 19, yeye aliona...
Prof. Ibrahim Haruna Lipumba ambaye ni Mwenyekiti wa CUF yeye tayari ameonyesha wazi kumuunga mkono mama, juzi kati lipokuwa akihojiwa na waandishi wa habari alikwenda mbali sana kwa kuonyesha...
Mnatapeli ili iweje? Mnataka kuonyesha kuwa mnakubalika? Kwa nini jiwe la msingi mnaandika kwa peni inayofutika? Sababu mnataka kudanganya.
Hili jengo ni mali yenu? Huko misungwi? Semeni kweli...
Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi anayeungwa mkono na Chadema Mbatia amesema Wasaidizi wa Rais Samia wanaomuhujumu
Mbatia amesema haiwezekani wakati Rais Samia kwa nia njema kabisa yuko kwenye...
Kwanini Magufuli anasemwa tu.
Sisemi Magufuli ni Mungu lakini mnaumiza familia yake. Mtu ambaye ashapumzika achwe apumzike.
Na Rais Suluhu Samia katajwa kuwa James Mbatia alienda kuomba uteuzi...
Kurejeshwa kwy chama Kada aliyefukuzwa CCM Bernard Membe kumefuata taratibu zipi za kikatiba na vikao husika vya chama?
Hatujasahau ya CUF, ya Chadema yakajiri, hatujafunga ukurasa wa Chadema ya...
Lipo wazi CCM wengi hawampendi Magufuli, ila wanajitahidi kutomshambulia moja kwa moja sababu alikuwa kiongozi wao waliomuunga mkono alipokuwa kiongozi, CHADEMA ndiyo hawampendi kabisa, ACT ndiyo...
Wanabodi,
Kama kawaida yangu siku za Jumamosi asubuhi, huwa sipitwi na kipindi hiki cha Jicho Letu Ndani ya Habari, kinachorushwa live na Star TV, kikiendeshwa na nguli Dotto Emmanuel Bulendu...
Kuna video inazunguka mitandaoni ikimuonyesha mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe akikiri kuwa hayati rais Magufuli alikuwa na kipaji cha uthubutu wa hali ya juu na alifanya maamuzi magumu...
Nimekuona ukiongozana na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Godwin Gondwe askari pamoja na mfanyabiashara mwenye asili ya Kiarabu.
Umezungumza na wachimbaji hao kwa lugha ya vitisho ukiwaambia waondoke...