Mbatia: Rais amezungukwa na Wasaidizi wanaomuhujumu

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,889
141,824
Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi anayeungwa mkono na Chadema Mbatia amesema Wasaidizi wa Rais Samia wanaomuhujumu

Mbatia amesema haiwezekani wakati Rais Samia kwa nia njema kabisa yuko kwenye Maridhiano ya kisiasa Wasaidizi wake nao wanaanza kutengeneza migogoro kwenye vyama vya siasa.

Huku ni kumujumu Rais, amesisitiza Mbatia

Chanzo: ITV habari
 
Ha haa. Mbatia keshaanza kuomba Poo! Mbatia alimwita Samia, 'Dada'. Sasa wanamwonesha kuwa, Samia sio dada, ni 'Malikia'...

Mbatia alidhani ile 'Bongo muvi' ilivyoitwa 'Safari ya malkia' ilikuwa ni grammatical error yeye na kingereza chake kibovu akaiita 'safari ya dada'... Sasa analo 🤗🤗🤗
Mbatia pona yake akatembee kwa mguu toka IFM mpaka Magogoni (kama Nape) akaombe msamaha arejeshewe cheo chake 😀😀😀
 
Mwenyekiti wa Nccr Mageuzi anayeungwa mkono na Chadema Mbatia amesema Wasaidizi wa Rais Samia wanaomuhujumu

Mbatia amesema haiwezekani wakati Rais Samia kwa nia njema kabisa yuko kwenye Maridhiano ya kisiasa Wasaidizi wake nao wanaanza kutengeneza migogoro kwenye vyama vya siasa.

Huku ni kumujumu Rais, amesisitiza Mbatia

Source ITV habari
Mbona wewe ulikuwa unahihujumu Chadema wakati wa MAGUFULI?

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Mwenyekiti wa Nccr Mageuzi anayeungwa mkono na Chadema Mbatia amesema Wasaidizi wa Rais Samia wanaomuhujumu

Mbatia amesema haiwezekani wakati Rais Samia kwa nia njema kabisa yuko kwenye Maridhiano ya kisiasa Wasaidizi wake nao wanaanza kutengeneza migogoro kwenye vyama vya siasa.

Huku ni kumujumu Rais, amesisitiza Mbatia

Source ITV habari
Sawa.
 
Ha haa. Mbatia keshaanza kuomba Poo! Mbatia alimwita Samia, 'Dada'. Sasa mwanamwonesha kuwa, Samia sio dada, ni 'Malikia'...
Mbatia alidhani ile 'Bongo muvi' ilivyoitwa 'Safari ya malkia' ilikuwa ni grammatical error yeye na kingereza chake kibovu akaiita 'safari ya dada'... Sasa analo
Mbatia pona yake akatembee kwa mguu toka IFM mpaka Magogoni (kama Nape) akaombe msamaha arejeshewe cheo chake
Kumbe alimuita pia dada
 
Rais unamuita dada ama kweli kalikoroga
 
Kumbe alimuita pia dada
Eeh! Naye Samia anavyotembelea magari chakavu, kila aliyepaki Land cruiser chakavu nyumbani kwake anaona wako levo moja! Hata aliyepaki Land cruiser Prado chakavu (kama Mbatia) naye anamuona kama dada tu!
Kabla mwaka huu haujaisha tunataka tumu upgrade, tumuweke kwenye hiki 'kichupa'

images (7).jpeg
 
Ha haa. Mbatia keshaanza kuomba Poo! Mbatia alimwita Samia, 'Dada'. Sasa wanamwonesha kuwa, Samia sio dada, ni 'Malikia'...

Mbatia alidhani ile 'Bongo muvi' ilivyoitwa 'Safari ya malkia' ilikuwa ni grammatical error yeye na kingereza chake kibovu akaiita 'safari ya dada'... Sasa analo
Mbatia pona yake akatembee kwa mguu toka IFM mpaka Magogoni (kama Nape) akaombe msamaha arejeshewe cheo chake
Kipindi cha utawala dhalimu wa Magu na genge lake, Mbatia aliwadharau Chadema na kutamba ana kwenda kuwa KUB hadi kujaribu kuisambaratisha Chadema. Kwa kuwarubuni makapi kina Mr 30 na komu.
Sasa Chadema ina peta Mbatia ana ugulia maumivu.
Hiyo ndiyo politic bro.. Sishangai kusikia ulihongwa pesa na ubunge. Hasa nikikumbuka ulivyo pata mapokezi ya kishujaa Mbeya kipindi Rc akiwa mwimba kwaya.
 
Mwenyekiti wa Nccr Mageuzi anayeungwa mkono na Chadema Mbatia amesema Wasaidizi wa Rais Samia wanaomuhujumu

Mbatia amesema haiwezekani wakati Rais Samia kwa nia njema kabisa yuko kwenye Maridhiano ya kisiasa Wasaidizi wake nao wanaanza kutengeneza migogoro kwenye vyama vya siasa.

Huku ni kumujumu Rais, amesisitiza Mbatia

Source ITV habari
Mwehu tuu huyo,amewataka wangapi wanaomhujumu?

Ameeleza namna wanavyomhujumu?
 
Mwenyekiti wa Nccr Mageuzi anayeungwa mkono na Chadema Mbatia amesema Wasaidizi wa Rais Samia wanaomuhujumu

Mbatia amesema haiwezekani wakati Rais Samia kwa nia njema kabisa yuko kwenye Maridhiano ya kisiasa Wasaidizi wake nao wanaanza kutengeneza migogoro kwenye vyama vya siasa.

Huku ni kumujumu Rais, amesisitiza Mbatia

Source ITV habari
Mpuuzi sana huyo mbatia,kakosa ubunge sasa anababaika hovyo
 
kwani mbatia ana tatizo gani? mbn chama chake ndio kimemuondoa tena kwa kikao halali chenye idadi ya wajumbe wanaokidhi vigezo vya kumuondoa kwa mujibu wa katiba yao?
 
Ameondolewa kwa mizengwe, ila acha aondolewe tu maana alitumika na Magufuli kuihujumu CDM na akakubali.
 
kwani mbatia ana tatizo gani? mbn chama chake ndio kimemuondoa tena kwa kikao halali chenye idadi ya wajumbe wanaokidhi vigezo vya kumuondoa kwa mujibu wa katiba yao?
Alizoea kuja pale chuo kikuu kumuomba Hela marehemu Dk Mvungi
 
Back
Top Bottom