Membe Kurudi CCM, Je, Taratibu zilifuatwa?

Filosofia ya Rorya

JF-Expert Member
Sep 20, 2021
3,215
3,587
Kurejeshwa kwy chama Kada aliyefukuzwa CCM Bernard Membe kumefuata taratibu zipi za kikatiba na vikao husika vya chama?

Hatujasahau ya CUF, ya Chadema yakajiri, hatujafunga ukurasa wa Chadema ya CCM hayoooo kwa Membe.

Msajili wa Vyama vya Siasa anavileaje vyama ili kuhakikisha maslahi mapana ya wanachama wao?

Baraza la Vyama vya Siasa lina jukumu gani kusaidia kusahihisha mienendo hii ya wadau/wanachama wake; ambayo inadhoofisha demokrasia nchini?

Maswali magumu:

1. Membe amerudishwa kwa kifungu kipi cha katiba ya chama?

2. Membe amerejeshwa na kikao kipi cha chama?

3. Membe lini ameomba msamaha hadharani km Kinana ili kustahili kurejeshwa?

4. Kada mahiri Sophia Simba hakuwahi kujiunga na upinzani ili kukishughulikia CCM km Membe alivyofanya.

5. Lowassa aliomba kurejea akajadiliwa na kukubaliwa. Membe lini ameomba na lini ombi lake limejadiliwa na lini amekubaliwa kurejeshewa kadi yake?

6. Ukiondolewa kwy CCM unaporudi unatakiwa ukae miaka mingapi kabla hujagombea nfs ya uongozi?

7. Wanachama wa CCM waliofukuzwa Shinyanga 2017 lini wataOMBWA na chama kurejeshwa?

8. Makada wenza wa Membe walioondolewa kwy chama ni lini wataBEMBELEZWA na chama kurejeshwa?

9. Ktk hili pana tofauti gani ya kutendeana haki wanachama; baina ya Chadema, CCM, CUF, NCCR Mageuzi na ACT Wazalendo? Sijui Baba wa taifa alimaanisha nini aliposema kwa Kizanaki "Wooote madeganyanga"

10. Je, tutarajie Sophia Simba pia apambe kurasa za mbele za media kwamba "CCM yamrejesha Sophia Simba"

11. Membe alikimbilia upinzani kukisulubu CCM, Sophia Simba alitangaza mbele ya media kwamba yeye hakihami chama (ataendelea kuwa Mwanaccm asiye na kadi) ht akifukuzwa kwy nyumba ya NHC Upanga bado CCM kiko moyoni mwake (hawezi kuwa mpinzani wake/anaendelea kutunza kiapo chake cha uaminifu kwa CCM milele) na tumeshuhudia akiishi dhamira yake hii.

12. Je, tuamini kuwa ni kweli kaulimbiu ya CCM isemayo "CCM kina wenyewe?" Chadema kina wenyewe? ACT Wazalendo kina wenyewe? CUF kina wenyewe? NCCR Mageuzi kina wenyewe?

13. Afrika inapoelekea na mfumo huu wa demokrasia nachelea kuamini kuwa huenda wananchi waamua kuachana na kushabikia vyama vya siasa vya ndani na kugeukia kushabikia vyama vya siasa vya mataifa makubwa duniani km walivyogeukia kushabikia soccer la Ulaya. Huenda wakageukia:
1. CPC China,
2. Independent Russia,
3. Republican & Democrat US,
4. Labour UK,
5. La Republique en marche France,
6. CDU & SPD Gernany nk.

Tafakari hizi zinanisukuma kukubaliana na uamuzi wa chama kumrejesha Membe CCM:

1. Nadhani CCM kilimkosea Membe pa kubwa kwa kutojuwa umuhimu wake kwy chama.

2. Bila Membe CCM, ni km chama kinafuga mtetea bila jogoo kikitarajia kupata matokeo makubwa ya ufugaji huo.

3. Membe hakifai chama chochote Tz zaidi ya CCM.

4. Mchango wa Membe umeacha alama (legacy) kitaifa na kimataifa kiasi kwamba dunia ingeendelea kuishangaa Tz na CCM kumuweka Membe nje ya mfumo wa urasimu (system of bureaucracy).

5. Sasa inathibitika Membe kumbe ana potentials kichama na kiserikali.

6. Membe alikuwa na agenda ambayo kwa wakati ule kumbe CCM hakikuiona na alipotaka kutumia haki yake ya uanachama kukiuzia chama agenda hiyo bahati mbaya akatafsiriwa vibaya na kuhukumiwa.

7. No. 6 hapo juu ndiyo ACT Wazalendo kimecopy na kupaste kumfungulia Membe mlango wa kutokea.

8. Political odyssey ya Membe imetaka kuwa kama ya Yesu ambaye alizaliwa wakamkubali, alipotafuta fursa ya kuboresha ufalme akakataliwa na kusulubiwa, baadaye wakamtafuta wenyewe wakamkubali na kuiamini Injili yake ambayo hatimaye imeleta ushindi na wokovu ht kwa waliomkataa.

Rai:
1. Bernard Kamillius Membe forgive the past (samehe yaliyopita) kwa afya na ustawi wa CCM mpya.

2. Umethibitika hukustahili kikombe ulichopimiwa. Usimpimie mtu awaye yote kikombe asichostahili.

3. Shiriki ukarabati wa chama bila mitandao/makundi.

4. Yaliyokukuta CCM na ACT Wazalendo yamekujenga na kukuimarisha zaidi.

5. Dhahabu yenye thamani kubwa lzm ivumilie ukali wa moto wa tanuru na suluba za zebaki.

Nimebalance story.
 
Haya maswali unamwuuliza nani akupatie majibu? Kikao gani, sababu gani na ibara gani ilitumika kumfukuza Membe?
 
Membe kaombwa kurudi CCM

usifananishe taratibu za kurudi kwake na wengine walioomba

Membe alifukuzwa CCM kinyume cha taratibu

Mtu kutoka CUF na Kijarida cha Femina walijipa jukumu la kufukuza Wapiganaji waadilifu wa CCM wa muda wote
 
SHUJAA ni Mzee KINGUGE amekufa KUSHUJAA

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Kamwulize Bashiru!
 
Membe kaombwa kurudi CCM

usifananishe taratibu za kurudi kwake na wengine walioomba

Membe alifukuzwa CCM kinyume cha taratibu

Mtu kutoka CUF na Kijarida cha Femina walijipa jukumu la kufukuza Wapiganaji waadilifu wa CCM wa muda wote
Dr mbunge WA viti maalum, sijui anajisikiaje!?
 
Umeandika mambo mengi mpaka nimeshindwa kusoma, punguza kukaza fuvu dunia haitaki makasiriko.

Fight your own battles in silence.
 
Katiba inampa uhuru mtu yeyote kujiunga na chama chochote, yanayobaki ni kwa mujibu wa chama na mtu mwenyewe.
 
Membe kaombwa kurudi CCM

usifananishe taratibu za kurudi kwake na wengine walioomba

Membe alifukuzwa CCM kinyume cha taratibu

Mtu kutoka CUF na Kijarida cha Femina walijipa jukumu la kufukuza Wapiganaji waadilifu wa CCM wa muda wote
Hivi Bashiru alikuwa akihusika na jarida la Femina?
 
Kurejeshwa kwy chama Kada aliyefukuzwa CCM Bernard Membe kumefuata taratibu zipi za kikatiba na vikao husika vya chama?

Hatujasahau ya CUF, ya Chadema yakajiri, hatujafunga ukurasa wa Chadema ya CCM hayoooo kwa Membe.

Msajili wa Vyama vya Siasa anavileaje vyama ili kuhakikisha maslahi mapana ya wanachama wao?

Baraza la Vyama vya Siasa lina jukumu gani kusaidia kusahihisha mienendo hii ya wadau/wanachama wake; ambayo inadhoofisha demokrasia nchini?

Maswali magumu:

1. Membe amerudishwa kwa kifungu kipi cha katiba ya chama?

2. Membe amerejeshwa na kikao kipi cha chama?

3. Membe lini ameomba msamaha hadharani km Kinana ili kustahili kurejeshwa?

4. Kada mahiri Sophia Simba hakuwahi kujiunga na upinzani ili kukishughulikia CCM km Membe alivyofanya.

5. Lowassa aliomba kurejea akajadiliwa na kukubaliwa. Membe lini ameomba na lini ombi lake limejadiliwa na lini amekubaliwa kurejeshewa kadi yake?

6. Ukiondolewa kwy CCM unaporudi unatakiwa ukae miaka mingapi kabla hujagombea nfs ya uongozi?

7. Wanachama wa CCM waliofukuzwa Shinyanga 2017 lini wataOMBWA na chama kurejeshwa?

8. Makada wenza wa Membe walioondolewa kwy chama ni lini wataBEMBELEZWA na chama kurejeshwa?

9. Ktk hili pana tofauti gani ya kutendeana haki wanachama; baina ya Chadema, CCM, CUF, NCCR Mageuzi na ACT Wazalendo? Sijui Baba wa taifa alimaanisha nini aliposema kwa Kizanaki "Wooote madeganyanga"

10. Je, tutarajie Sophia Simba pia apambe kurasa za mbele za media kwamba "CCM yamrejesha Sophia Simba"

11. Membe alikimbilia upinzani kukisulubu CCM, Sophia Simba alitangaza mbele ya media kwamba yeye hakihami chama (ataendelea kuwa Mwanaccm asiye na kadi) ht akifukuzwa kwy nyumba ya NHC Upanga bado CCM kiko moyoni mwake (hawezi kuwa mpinzani wake/anaendelea kutunza kiapo chake cha uaminifu kwa CCM milele) na tumeshuhudia akiishi dhamira yake hii.

12. Je, tuamini kuwa ni kweli kaulimbiu ya CCM isemayo "CCM kina wenyewe?" Chadema kina wenyewe? ACT Wazalendo kina wenyewe? CUF kina wenyewe? NCCR Mageuzi kina wenyewe?

13. Afrika inapoelekea na mfumo huu wa demokrasia nachelea kuamini kuwa huenda wananchi waamua kuachana na kushabikia vyama vya siasa vya ndani na kugeukia kushabikia vyama vya siasa vya mataifa makubwa duniani km walivyogeukia kushabikia soccer la Ulaya. Huenda wakageukia:
1. CPC China,
2. Independent Russia,
3. Republican & Democrat US,
4. Labour UK,
5. La Republique en marche France,
6. CDU & SPD Gernany nk.

Tafakari hizi zinanisukuma kukubaliana na uamuzi wa chama kumrejesha Membe CCM:

1. Nadhani CCM kilimkosea Membe pa kubwa kwa kutojuwa umuhimu wake kwy chama.

2. Bila Membe CCM, ni km chama kinafuga mtetea bila jogoo kikitarajia kupata matokeo makubwa ya ufugaji huo.

3. Membe hakifai chama chochote Tz zaidi ya CCM.

4. Mchango wa Membe umeacha alama (legacy) kitaifa na kimataifa kiasi kwamba dunia ingeendelea kuishangaa Tz na CCM kumuweka Membe nje ya mfumo wa urasimu (system of bureaucracy).

5. Sasa inathibitika Membe kumbe ana potentials kichama na kiserikali.

6. Membe alikuwa na agenda ambayo kwa wakati ule kumbe CCM hakikuiona na alipotaka kutumia haki yake ya uanachama kukiuzia chama agenda hiyo bahati mbaya akatafsiriwa vibaya na kuhukumiwa.

7. No. 6 hapo juu ndiyo ACT Wazalendo kimecopy na kupaste kumfungulia Membe mlango wa kutokea.

8. Political odyssey ya Membe imetaka kuwa kama ya Yesu ambaye alizaliwa wakamkubali, alipotafuta fursa ya kuboresha ufalme akakataliwa na kusulubiwa, baadaye wakamtafuta wenyewe wakamkubali na kuiamini Injili yake ambayo hatimaye imeleta ushindi na wokovu ht kwa waliomkataa.

Rai:
1. Bernard Kamillius Membe forgive the past (samehe yaliyopita) kwa afya na ustawi wa CCM mpya.

2. Umethibitika hukustahili kikombe ulichopimiwa. Usimpimie mtu awaye yote kikombe asichostahili.

3. Shiriki ukarabati wa chama bila mitandao/makundi.

4. Yaliyokukuta CCM na ACT Wazalendo yamekujenga na kukuimarisha zaidi.

5. Dhahabu yenye thamani kubwa lzm ivumilie ukali wa moto wa tanuru na suluba za zebaki.

Nimebalance story.
Naona kama Membe kakuchanganya akili!
 
Back
Top Bottom