Membe angefanya kampeni 2020 angepata kura nyingi kuliko Tundu Lissu

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,947
141,924
Zitto Kabwe pamoja na kumtosa mgombea wa chama chake na kuhamia kwa mgombea wa Chadema lakini Tundu Lissu bado aliambulia 13% tu ya kura zote.

Magufuli ambaye alifanya kampeni kwenye mikoa isiyozidi 6 alipata 84%.

Membe alifanya kampeni kwa siku moja tu alipata.1% ya kura zote.

Tundu Lissu alifanya kampeni nchi nzima.

Mungu ni mwema wakati wote.
 
Yaan nyie matikiti mnachekesha, hivi huu ujinga Tanzania utaisha lin mgombea Hana bango nchi nzima, Hana coverage kwenye TV nchi nzima, Hana msanii Ila alikimbiza mbaya
🤣🤣🤣🤣 Alikimbiza mbaya kwa kukipatia chama chake mbunge mmoja mwaka 2020? Je dr Slaa wa mwaka 2010 aliekipatia chama chake wabunge zaidi ya 100 bila kutegemea mitandao na hivyo ulivyoorodhesha, na yeye tusemaje?
 
Mmekosa Cha kuongea?. Kitendo tu Cha kuzima mtandao kwa wiki tatu kipindi Cha kupiga kura ilikuwa udhaifu mkubwa Sana.

Nakumbuka usiku wa kuamkia uchaguzi Wana CCM walikuwa wanasema nchi haijawa tayari kwa mabariliko wasubiri kwanza.
 
Zitto Kabwe pamoja na kumtosa mgombea wa chama chake ma.kuhamia.kwa.mgombea.wa Chadema.lakini Tundu Lisu bado aliambulia 13% tu ya kura zote...
Waliopiga kura walikuwa mil 12 tu , Tundu Lissu alipata zaidi ya kura mil 7 , hizo kura mil 4 zilizosalia waligawana wagombea waliosalia .

Ila maajabu sasa , kuna kituo kimoja huko Mgulani S/Msingi waliojiandikisha walikuwa 150 tu , waliojitokeza kupiga kura walikuwa 98 tu , Tundu Lissu alipata kura 76 , zilizobaki 22 waligawana wagombea wengine , lakini ubao wa matangazo ukaonyesha kwamba Mgombea wa ccm kapata 376 ! jiulize wewe wapiga kura halali ni 150 , hiyo 376 imetoka wapi ?
 
Zitto Kabwe pamoja na kumtosa mgombea wa chama chake ma.kuhamia.kwa.mgombea.wa Chadema.lakini Tundu Lisu bado aliambulia 13% tu ya kura zote

Magufuli ambaye alifanya kampeni kwenye mikoa isiyozidi 6 alipata 84%

Membe alifanya kampeni kwa siku moja tu alipata.1% ya kura zote

Tundu Lisu.alifanya kampeni nchi nzima

Mungu ni mwema wakati wote

Jina la John the Baptist lina heshima kubwa sana kwa wasoma Biblia. Alisimamia ukweli bila kujali cheo cha mtu. Unakiamini kweli ulicho kiandika hapa?
 
Zitto Kabwe pamoja na kumtosa mgombea wa chama chake ma.kuhamia.kwa.mgombea.wa Chadema.lakini Tundu Lisu bado aliambulia 13% tu ya kura zote

Magufuli ambaye alifanya kampeni kwenye mikoa isiyozidi 6 alipata 84%

Membe alifanya kampeni kwa siku moja tu alipata.1% ya kura zote

Tundu Lisu.alifanya kampeni nchi nzima

Mungu ni mwema wakati wote
Hivi wewe johnthebaptist huna akili au unajitoa ufahamu?
Kwa akili yako (tukiondoa ushabiki wa vyama) kwa kutumia akili yako na elimu yako ya fomfoo bila kuchanganya na akili za watu wengine, ukiwa hujalewa Wala hujavuta bangi hujui kwamba ule uchaguzi ulikua sio wa haki?
 
Zitto Kabwe pamoja na kumtosa mgombea wa chama chake ma.kuhamia.kwa.mgombea.wa Chadema.lakini Tundu Lisu bado aliambulia 13% tu ya kura zote

Magufuli ambaye alifanya kampeni kwenye mikoa isiyozidi 6 alipata 84%

Membe alifanya kampeni kwa siku moja tu alipata.1% ya kura zote

Tundu Lisu.alifanya kampeni nchi nzima

Mungu ni mwema wakati wote
Johny si tulikubaliana tusifukue makaburi??
Itoshe tu kusema kuanzia nchi hii ipate uhuru hakuna uchaguzi ulishawai kuthibitika na kuaminika kuwa ni huru na haki.
Sababu ziko wazi lakini mojawapo ni kukosekana kwa TUME HURU YENYE WAJUMBE NA WATENDAJI HURU (nchi nzima)!
Chaguzi zimekuwa zikifanyika kwa taratibu ambazo zingefanyika kwenye usimamizi wa mitihani au soka au afya za watu tungekuwa na maafa makubwa sana!
2015, 2019 na 2020 ni miaka inayothibitisha hoja yangu!
 
Back
Top Bottom