ShyaRuwa
JF-Expert Member
- May 30, 2015
- 8,534
- 15,590
Siasa za wapinzani ni illusion tupu!
Zimejaa zaidi mambo ya kufikirika yanayozidi uwezo wa utendaji wao.
Utasikia "mwaka huu tunachukua nchi saa nne asubuhi" ilihali wakijua fika aina ya tume na katiba tulizonazo.
Wanaonekana kuwa ni watu wasiokuwa na alternatives za kufanya kazi za kujijenga na kujiimarisha.Ndio sababu wamebaki wakilalamika baada ya kuzuiwa kwa mikutano ya kisiasa ambayo ni haki yao kikatiba.
Hizi political fantasies haziishii kwa viongozi tu! bali zina sambaa hadi kwa wafuasi wao.Extremists wasiokuwa na uti wa mgongo, wanaobadilishiwa majina ya rangi kulingana na wakati uliopo.Ndio maana haishangazi kuona watu wanaotegemea Magufuli ashindwe uchaguzi 2020.