Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 26,012
- 25,353
...
ukitumia fedha kuupata ubunge ni hatari sana......
stay tuned on www.jamiiforums.com
ukitumia fedha kuupata ubunge ni hatari sana......
stay tuned on www.jamiiforums.com
ukikaribia uchaguzi atawaleteeni zawadi ya kufia na Tshirt kama alivyokupeni mwanzo
...
ukitumia fedha kuupata ubunge ni hatari sana......
stay tuned on www.jamiiforums.com
ukikaribia uchaguzi atawaleteeni zawadi ya kufia na Tshirt kama alivyokupeni mwanzo
Mbunge wangu Paulina Gekul,huyu jamaa atarudi kwao na makatapila yake
Mbunge wangu Paulina Gekul,huyu jamaa atarudi kwao na makatapila yake
Bbt hamna lolote si mlimpa ubunge kuwajengea barabara?, bbt hamna lolote, muhindi amekuwa mbunge ngoja tumlete bi cheka msanii kama hamtamchagua
haa haa mkuu hapo hata akija kugombea vick kamata au azizi atashinda tu almradi aje na kanga au mapesa! Wapiga kura wananunuliwa kama njugu!Bbt hamna lolote si mlimpa ubunge kuwajengea barabara?, bbt hamna lolote, muhindi amekuwa mbunge ngoja tumlete bi cheka msanii kama hamtamchagua
mkuu nasikia alimwaga mamilioni ya kutisha mpaka wairaq wakachanganyikiwa!Sijawahi kumsikia Chambili akisema hata neno moja bungeni! wana babati walilogwa sijui na nani. Labda waliamini ule usemi usemao nabii hakubaliki kwao baada ya Chambili kukataliwa na Wakurya lakini Wairaq wakamkumbatia.
Nadhani Omar Qwang anawacheka sasa
Paleso tegemeo la wana babati jimbo hilo chambili chali