Ofisi ya DPP na Mahakama zimegeuka vitovu vya Rushwa, wenye pesa ndio wanaachiwa na wasio na pesa wanaozea jela na mahabusu

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Oct 2, 2020
4,086
6,568
Sasa hivi ni rushwa na pesa yako ndio itakufanya usiende gerezani.

Dpp na mahakama ndio imekuwa kitovu cha kuachia wenye pesa hata kama wanamakosa.

Hayati JPM alidhibiti kabisa hii hali ya rushwa hasa mahakamani na ofisi ya Dpp.

Dpp anafuta kila siku kesi za watu ambao ipo wazi kabisa wana makosa.

Mwaka mmoja tu, tunashuhudia mabadiliko makubwa. Huko polisi ndio hovyo kabisa
 
Sasa hivi ni rushwa na pesa yako ndio itakufanya usiende gerezani.

Dpp na mahakama ndio imekuwa kitovu cha kuachia wenye pesa hata kama wanamakosa.

Hayati JPM alidhibiti kabisa hii hali ya rushwa hasa mahakamani na ofisi ya Dpp.

Dpp anafuta kila siku kesi za watu ambao ipo wazi kabisa wana makosa.

Mwaka mmoja tu, tunashuhudia mabadiliko makubwa. Huko polisi ndio hovyo kabis.
Mwendazake Alishindwa kudhibiti Rushwa mpaka anakufa

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Magufuli hakuwahi kudhibiti hali ya rushwa kwenye mahakama na ofisi ya Dpp, bali alizitumia hizo taasisi kukomoa na kuumiza wote aliokuwa na chuki nao. Mahakama na Dpp aliwatumia kubambikia kesi na kutoa hukumu zilizo kwenye utashi wake. Chini ya utawala huu wa kulindana wa ccm watafichiana maovu yao, lakini iko siku ukweli wote utakaa hadharani.

Huenda kwakuwa vyombo vua habari vilidhibitiwa na kupangiwa cha kuandika , ndio ukadhani Magufuli alikuwa wa maana.
 
Mwendazake Alishindwa kudhibiti Rushwa mpaka anakufa

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
Hakuna anayeweza kudhibiti rushwa na ufisadi nchi hii sababu jamii yenyewe inaabudu mafisadi japo inapiga na kuua vibaka wa kuku na wakwapua simu. Itokee siku moja fisadi likamatwe na wananchi wenye hasira halafu livishwe tairi shingoni kisha limwagiwe petroli na kutiwa kiberiti mchana peupe ndiyo labda tutaanza kuona mabadiliko.

Sasa hivi ukipewa madaraka ukawa mwadilifu kabisa kabisa ukaja kuyaacha ukiwa bado hujajilimbikizia mali jamii hiyo hiyo inakucheka kuwa we ni boya ulizubaa. Hakuna incentives zo zote za kuwa mwadilifu. Wakati huo huo ukiiba sawasawa unasifiwa kuwa we ndo mtoto wa mjini...na hata ukitajwa kwenye ripoti ya CAG mara mia hakuna ambacho utafanywa.

Kuwa mkali na kubweka bweka kidogo pengine inasaidia lakini hii ya kuambiana kabisa kuwa eti kuleni kwa urefu wa kamba zenu sijui itakuwaje. Nchi inasikitisha sana hii !!!

tapatalk_1565855230907.jpg
 
umeharibu pale uliposema JPM alidhibiti kabisa hii hali ya rushwa. Kupata hicho kichekesho unabonyeza ngapi
Cheti feki na kufukuzwa kazi ni tatizo la Mtu kuwa na chuki zaidi hadi;

Kuuugua kansa,

Vidonda vya tumbo,

Msongo wa mawazo hadi ukagongwa na gari,

Mshtuko wa ubongo hadi ukaparalaizi,

Kuugua BP na

Kuzeeka mapema.

Wahi hospitali haraka kwa ushauri wa Dr
 
Sasa hivi ni rushwa na pesa yako ndio itakufanya usiende gerezani.

Dpp na mahakama ndio imekuwa kitovu cha kuachia wenye pesa hata kama wanamakosa.

Hayati JPM alidhibiti kabisa hii hali ya rushwa hasa mahakamani na ofisi ya Dpp.

Dpp anafuta kila siku kesi za watu ambao ipo wazi kabisa wana makosa.

Mwaka mmoja tu, tunashuhudia mabadiliko makubwa. Huko polisi ndio hovyo kabis.
Vipi kuhusu katiba mpya unaitaka aua unapiga mayowee tu?
 
Sasa hivi ni rushwa na pesa yako ndio itakufanya usiende gerezani.

Dpp na mahakama ndio imekuwa kitovu cha kuachia wenye pesa hata kama wanamakosa.

Hayati JPM alidhibiti kabisa hii hali ya rushwa hasa mahakamani na ofisi ya Dpp.

Dpp anafuta kila siku kesi za watu ambao ipo wazi kabisa wana makosa.

Mwaka mmoja tu, tunashuhudia mabadiliko makubwa. Huko polisi ndio hovyo kabis.
Chatu mliyemfuga amewageuka🤣🤣
 
umeharibu pale uliposema JPM alidhibiti kabisa hii hali ya rushwa. Kupata hicho kichekesho unabonyeza ngapi
huo ndio ukweli hata kandi kuusikia. kama hauna strong leader hata uwe ba shria nzuri haziwezi fanya kazi. Tuambie wewe nani alidhibit haya mambo. viongozi wote si wapo alieondoka ni JPM, mbona hawadhibi hayo mambo
 
Shetani dikteta mwendazake amewaambukiza roho Yake chafu,

Yaan we mmmmbwa unakereka DPP na mahakama zikiondoa kesi za hovyo,Raha yako wewe Quuuuu$#ma watu wafie jela
Kesi za hovyo? Hapa tunazungumzia watu wasio na pesa mama.
 
Back
Top Bottom