CCM haina nia ya kuiendeleza Tanzania, ina nia ya dhati kutawala tu

elvischirwa

JF-Expert Member
Jan 26, 2013
13,788
14,921
Tangu tulipomaliza mwaka wa uchaguzi na kuingia mwanzo wa miaka mingine mitano CCM imejikita kwenye kampeni ya Urais 2025! Lugha iliyoko CCM hivi sasa ni Urais 2025!

Hii inamaana kwa miaka mitano CCM imo kwenye kampeni na si vinginevyo na chama kingine chochote kikithubutu kuuwazia Urais ole wake hapo ndipo kitakapouona ukali wa CCM, nchi imesimama kisa Urais!
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom