Zitto kabwe ameibuka na kauli kuhusu Usafirishaji wa wanyama Pori kwenda nje ya nchi uliositishwa leo na Waziri wa Maliasili na utalii akisema umegubikwa na udini ndani yake.
Kwamba waliokosoa...
Ukweli usio na Mashaka Serikali imeomba kuidhinishiwa Pesa kwa Ajili ya Kukarabati Viwanja vya CCM
Najiuliza CCM ilivipata wapi hivyo VIWANJA?
CCM lini ilitangaza MKANDARASI wa kujenga hivyo...
Baada ya kuenea taarifa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu kumchangia Sabaya, nimefuatilia na kugundua kuwa hakuna mchango wa maana zaidi ya kikundi Fulani Cha Wapigaji wanaotaka kumfanya Sabaya...
Juzi hapa Rais alipofanya mahojiano na Tido Mhando alisema Magufuli alikua anaendesha miradi kwa mikopo na mikopo mingine ya gharama sana.
Wanasiasa uchwara kama Zito wamewahi kumsema Magufuli...
Serikali kwa ufadhili wa Benki ya Dunia imezindua Programu ya miaka mitano yenye thamani zaidi ya shilingi Trioni moja,lengo kuu ikiwa ni kuhimarisha ufundishaji na ujifunzaji (BOOST)katika shule...
HOTUBA YA MSEMAJI WA SEKTA YA KILIMO, MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI NDG. MTUTURA A. MTUTURA KUHUSU MPANGO NA BAJETI YA WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI KWA MWAKA WA FEDHA 2022/2023.
Utangulizi
Jana...
Mpango wa Serikali kuwahamisha wananchi katika eneo la Ngorongoro umelenga kuwaboreshea huduma za kijamii na kuimarisha maisha yao ikiwa ni pamoja na kuwawezesha kuwa na makazi ya kudumu.
OFISI YA WASEMAJI WA KISEKTA
HOTUBA YA MSEMAJI WA SEKTA YA MALIASILI NA UTALII- ACT WAZALENDO NDG. JULIANA DONALD KUHUSU MAPITIO YA UTEKELEZAJI WA BAJETI NA HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA...
Wapendwa wana JF,
Nadiriki kuandika uzi huu hapa nikiamini wataalam wa mambo ya SIASA wapo katika jukwaa pendwa la JF.
Mada yangu ni kuangazia makosa yaliyofanyika mpaka chama cha demokrasia na...
Huu ndio ujumbe wa Shangazi wa Taifa.
Wataalam wa siasa za kimataifa wanaita hizi ni spana za kisoviet.
Wakati unaendelea kutupatia ukweli.
Shujaa hakuendekeza wanasiasa na wanaharakati njaa...
Fatma Karume ametumia mtandao wa Twitter kuwashambulia wafuasi wa Chadema wanaomporomoshea matusi kwa sababu ya yeye kuonekana kumuunga mkono Rais Samia.
Amewaita ni wanafki kwa kupongeza Mbowe...
Kwa tuliokuwa tunaulizia mradi wa kufua umeme wa Julius Nyerere ulipofikia, leo CAG ametoa majibu, hauna dalili ya kuisha, ndio kwanza umefikia asilimia 48, kwa hesabu za asilimia maana yake hata...
Wakuu
Nimekaa nimewaza nikajikuta natafakari kuhusu kampeni za kawe na ahadi alizokuwa anazitoa mtumishi Mungu Mch Gwajima, natamani kujua siku hizi 100 za kwanza zinakaribia kuisha tangia...
Mfumo wa vyama vingi vya Siasa unatimiza miaka 30 huku vyama vyote vikubwa vikielea katika dimbwi la umaskini kasoro CCM peke yake
CHADEMA na CUF wamekuwa wakipokea mabilioni ya tsh kila mwaka...
Anaandika Mwanazuoni Mmoja.
.
Nilisema picha ya Samiah iliyowekwa katka bango la biashara kule Dunai lijulikanalo kama Burj Khalf lililopo katka jiji la Dubai kwamba ni uongo haijawekwa bure kama...
January shule zinafunguliwa uku kukiwa na idadi kubwa saaana ya wanafunzi wa kidato Cha kwanza watakao anza masomo yao, wanafunzi hao wanaitaji walimu ili waweze kusoma vizuri.
Mwezi wa 9 waziri...
Hawa Chadema sahivi wanakaba hatari[emoji1].
Wametawanya viongozi wao kitaifa, viongozi wa Bavicha, viongozi wa Bawacha nchi nzima kusajiri wanachama wao kwa njia ya kidigitali, whatever we like...
Wakuu habari
Baadhi ya Mambo yaliyofanywa na marehemu Magufuli bado yananishangaza. Hivi ni kwanini alitoa amri ya kuwapunguzia mishahara watumishi halali wa serikali. Kosa lao kubwa ilikuwa na...
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mohamed Mchengerwa leo amewasilisha bajeti ya wizara hiyo kwa mwaka wa fedha wa 2022/2023 ya zaidi ya shilingi bilioni 35.4
Akiwasilisha bajeti hiyo bungeni...
Katika nchi yoyote yenye Upinzani wa kweli ni lazima Msajili wa vyama vya siasa na Tume ya Uchaguzi wataheshimu vyama vyote na viongozi wao
Ukiona vinginevyo basi elewa mfumo wa vyama vingi...