Ujenzi barabara: Wabunge wamkumbuka Hayati Magufuli

Wabunge waliochangia hotuba ya wizara ya ujenzi wamelia na kusuasua kea ujenzi wa barabara za majimboni mwao.

Wengine wamefikia hatua ya kumkumbuka Mwamba hayati Magufuli

Source: TBC
Ni wapuuzi, unadhani kinachojenga ni pesa au maneno?

Huyo Mwendazake wenu alijenga km chache Sana za barabara na kama mnazijua zilizokamilika nitajieni..

Mkoa niliko Mwendazake alikamilisha barabara moja tuu ambayo ilianza kujengwa miaka 10 iliyopita na bado Mkandarasi anadai..

Si bora hata Mama nimeona kuna ujenzi wa barabara 3 umeanza..

Mliacha kujenga barabara mnakomaa na mareli yasiyo na maana..

Pesa zikizoingia kwenye reli zingemaliza barabara Kwa 89% lakini zimezikwa zaidi ya til.15 na hata nusu hatujamaliza..

Hii ndio tatizo la kukosa mtu sahihi kwenye uongozi,kuacha huwezi lazima umalize hata kama ni tembo mweupe..

Mwisho kuna uzembe fulani kwa sababu kama ujenzi ulipanga km450 na zimejegwa 46% tuu ya barabara kuu ,kuna shida mahala.
 
Umeumia sana bwashee
 
Umeumia sana bwashee
Ndio nimeumia mnoo maana mtu aliyevuruga mpango wa Ujenzi barabara alikuwa Magufuli..

Alihamisha bajeti ya barabara ikahamia kwenye reli na sgr,miaka 6 ya Magufuli kajenga chini ya km2,000 za lami wakati Tulikuwa tunajenga wastani WA km 2500-3000 kwa miaka 5..

Hao hata walie au wapige sarakasi hakuna kitakachobadilika kwa sababu pesa hazitoshi..

Hayo ndio matokeo ya kuwa na mtu asiye na akili.Binafsi ninakereka Sana na Mwendazake kwa sababu aliharibu mambo mengi mno..

Mfano mkoa wa Songwe alijenga km 50 tuu kwa miaka yote 6,Rukwa hata km 1 hakuna,Katavi ndio alijenga km 390 kwa sababu Waziri wa Ujenzi alikuwa wa huko ndio hiyo barabara Rais alizindua juzi..

Kigoma hakuna, barabara zimeanza kujengwa mwaka juzi baada ya mkopo wa

Yaani kiufupi hakuna Mkoa ambao barabara zilijengwa zaidi ya km 100 kwa miaka 6..Mwaka wa kwanza wa Samia karibu pesa yote ya Wizara ya ujenzi imelipa madeni ya wakandarasi..

Mwaka huu ndio pengine barabara zitaanza kujengwa kwa angalau Kwa speed ya awali.
 
Pole mbwa kachoka.
Mzimu wa Magufuli unakufirimba kila siku usiku. Pole sana aisee
 
Watamzania tuliowengi tunamkumbuka sana.kipindi hicho miradi ilienda kwa kasi ya mwanga.alipofariki tu miradi ikasimama.mfano mradi wa mwendokasi morocco hadi mwenge ubungo umekufa.kule mbagara unasuasua na hauna ubora,umeme shida tupu.maji kutoka shinyanga hadi tabora umesimama na miradi mingine mingi tu R.IP mzalendo jpm.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndiyo wapi huko Bashite?
 
Ni wapuuzi, unadhani kinachojenga ni pesa au maneno?

Huyo Mwendazake wenu alijenga km chache Sana za barabara na kama mnazijua zilizokamilika nitajieni..

Mkoa niliko Mwendazake alikamilisha barabara moja tuu ambayo ilianza kujengwa miaka 10 iliyopita na bado Mkandarasi anadai..

Si bora hata Mama nimeona kuna ujenzi wa barabara 3 umeanza..

Mliacha kujenga barabara mnakomaa na mareli yasiyo na maana..

Pesa zikizoingia kwenye reli zingemaliza barabara Kwa 89% lakini zimezikwa zaidi ya til.15 na hata nusu hatujamaliza..

Hii ndio tatizo la kukosa mtu sahihi kwenye uongozi,kuacha huwezi lazima umalize hata kama ni tembo mweupe..

Mwisho kuna uzembe fulani kwa sababu kama ujenzi ulipanga km450 na zimejegwa 46% tuu ya barabara kuu ,kuna shida mahala.
Kuwa na aibu BASI.
Hata kimara kibaha huioni?
Vipi ile ya mafinga hadii igawa?
Tunduma hadii sumbawanga?

Umezingua Jamaa
 
Legacy ya mpumbavu yule itafutika automatically..

Nilikuuliza hapa nipe km za barabara alizojenga Mwendazake huna,kama hujui kachukue bajeti ya mwisho ya mwaka 2020 ina summary ya hizo uone uozo alioufanya..

Yule mtu wenu alikuwa hovyo Sana ,alikuwa anazindua barabara zilizokamilika toka 2014 mfano barabara ya Iringa -Dodoma, Sumbawanga-Tunduma nk..

Nchi hii Barabara alijenga Kikwete.
Sure mkuu. 👏🏻👏🏻👏🏻 kuna miradi kibao alizindua afu hakujenga yeye. Na akawa anajipa maujiko kuwa nimeweza hiki sijui nini. Binafsi jiwe sijawahi mkubali na siwezi mkubali kwa maana aliharibu hili taifa mno
 
Ni wapuuzi, unadhani kinachojenga ni pesa au maneno?

Huyo Mwendazake wenu alijenga km chache Sana za barabara na kama mnazijua zilizokamilika nitajieni..

Mkoa niliko Mwendazake alikamilisha barabara moja tuu ambayo ilianza kujengwa miaka 10 iliyopita na bado Mkandarasi anadai..

Si bora hata Mama nimeona kuna ujenzi wa barabara 3 umeanza..

Mliacha kujenga barabara mnakomaa na mareli yasiyo na maana..

Pesa zikizoingia kwenye reli zingemaliza barabara Kwa 89% lakini zimezikwa zaidi ya til.15 na hata nusu hatujamaliza..

Hii ndio tatizo la kukosa mtu sahihi kwenye uongozi,kuacha huwezi lazima umalize hata kama ni tembo mweupe..

Mwisho kuna uzembe fulani kwa sababu kama ujenzi ulipanga km450 na zimejegwa 46% tuu ya barabara kuu ,kuna shida mahala.
Tatizo lako mahaba na hutembei, ila tunaopiga projects huku mikoani tuliyaona aliyofanya anko.
 
Ujumbe kwa Mheshimiwa Bashungwa, angalia barabara ya kwenda Rwakajunju kwenye chanzo cha maji ya wilaya nzima ya Kagarwe. Barabara wameanza kikwangua tena lakini bado inakuwa nyembamba sana kiasi kwanba hata premio mbili kupishana ni vigumu
Mtengeneza makaravati ameyapa upana wa kutosha lakini inakuta barabara ni nyembamba kuliko karavati hivyo maji ya mvua yanatuama tu. Nimepita njia hiyo wiki iliyopita, hakika ni majanga, Nafikiria usombaji wa kahawa ukianza malori yatapita wapi
 
Ni wapuuzi, unadhani kinachojenga ni pesa au maneno?

Huyo Mwendazake wenu alijenga km chache Sana za barabara na kama mnazijua zilizokamilika nitajieni..

Mkoa niliko Mwendazake alikamilisha barabara moja tuu ambayo ilianza kujengwa miaka 10 iliyopita na bado Mkandarasi anadai..

Si bora hata Mama nimeona kuna ujenzi wa barabara 3 umeanza..

Mliacha kujenga barabara mnakomaa na mareli yasiyo na maana..

Pesa zikizoingia kwenye reli zingemaliza barabara Kwa 89% lakini zimezikwa zaidi ya til.15 na hata nusu hatujamaliza..

Hii ndio tatizo la kukosa mtu sahihi kwenye uongozi,kuacha huwezi lazima umalize hata kama ni tembo mweupe..

Mwisho kuna uzembe fulani kwa sababu kama ujenzi ulipanga km450 na zimejegwa 46% tuu ya barabara kuu ,kuna shida mahala.
Magufui alikuwa na mikoa yake ya kujenga barabara.
Kuna mikoa aligoma kabisa.
Mbeya ni mfano mzuri.
Barabara ya Igawa-Tunduma , yenye kilometa karibu 200, na kuby-pass Jiji a Mbeya imeimbwa wakati wa ilani za Uchaguzi toka miaka ya Mkapa na Mwinyi.

Magufuli amekuwa waziri wa ujenzi mpaka rais miaka zaidi ya 20, na hakuna ilichofanyika.
Kule kwetu milimani barabara ya Tukuyu-Mbambo -Busokelo-Mwakaleli-Katumba, ya karibia kiometa 90, imeimbwa weee...... miaka yote ya uchaguzi.
Makandarasi yupo lakini kazi iliyofanyika ni kidogo sana.

Ujenzi wa barabara mwendazake alichagua za kujenga.
 
Magufui alikuwa na mikoa yake ya kujenga barabara.
Kuna mikoa aligoma kabisa.
Mbeya ni mfano mzuri.
Batarbara ya Igawa-Tunduma , yenye kilometa karibu 200, na kuby-pass Jiji a Mbeya imeimbwa toka miaka ya Mkapa na Mwinyi.
Magufuli amekuwa waziri wa ujenzi mpaka rais, na hakuna ilichofanyika.
Kule kwetu milimani batabara ya Tukuyu-Mbambo -usokela-Mwakaleli-Katumba, ya karibia kiometa 90, imeimbwa weee miaka yote ya uchaguzi.
Makandarasi yupo lakini kazi iliyofanyika ni kidogo sana.

Ujenzi wa barabara mwendazake alichagua za kujenga.
Alijilita kwenye barabara za kimkakati
 
19 Reactions
Reply
Back
Top Bottom